Zitto adai ripoti ya TISS yaonyesha Rais Magufuli hawezi kushinda 2020

Gerald .M Magembe

JF-Expert Member
Jul 17, 2013
392
500
Aisee!!
Nauliza tu!? Tiss wanaitumikia Tanzania "umma" au CCM?
Tunaomba hii Taasisi iwe huru kama Mossad, CIA..... Wasiendelee kuwa kitengo ndani ya ccm!! Hatuwatendei haki watanzania na watumishi wenye weledi ndani ya TISS!!
TISS iko huru kabisa, lakini katika ujasusi anaefaidika ni yule aliyepo Madarakani. Ni kama vile unaishi nyumba chafu na chombo cha kufanya usafi kimetambua kuwa kuna nyumba chafu, Wanapokuja kutoa huduma nyumba isafishwe.

Nyumba inapo safishwa barabara na kuwa safi, anaefaidika ni anaekaa ndani ya nyumba muda huo. Hiyo huitwa the benefit of incumbance.
 
Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
5,360
2,000

Kadanganye wapuuzi wenzako wa Lumumba St. TISS ya Tanzania haiko huru ndiyo maana iko KISIASA ZAIDI kuisaidia CCM iendelee kubaki Madarakani na siyo KIUSALAMA!
TISS(Tanzania Intelligence Security Services) ni kuangalia Usalama wa Nchi kwa ujumla wake(Watanzania wote na Serikali yao) na si kikundi cha Watawala wachache wa CCM!
 
senzighe

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
1,452
2,000
Ujinga na kama si ujuha wa Zitto na timu yake.Hiyo ripoti ya TISS yeye ndiyo amekabidhiwa ? Haya maneno ni propoganda za kuzamani sana enzi za Nuhu na Yakobo.Inaonekana Membe atawaingiza mkenge vibaya mno.
 
Gerald .M Magembe

JF-Expert Member
Jul 17, 2013
392
500
Kadanganye wapuuzi wenzako wa Lumumba St. TISS ya Tanzania haiko huru ndiyo maana iko KISIASA ZAIDI kuisaidia CCM iendelee kubaki Madarakani na siyo KIUSALAMA!
TISS(Tanzania Intelligence Security Services) ni kuangalia Usalama wa Nchi kwa ujumla wake(Watanzania wote na Serikali yao) na si kikundi cha Watawala wachache wa CCM!
Naweza nikapoteza muda sababu ya uwezo wako wa kuelewa ni mdogo na ukashindwa kuelewa au MAPENZI YA UPINZANI YAMEKUZIDI.

Wao wanatakiwa wahakikishe nchi ni usalama, serikali ya nchi yao ni imara ili Serikali iweze kuwahudumuia wananchi wake.

Wao TISS wakIhakikisha iwe hivyo kama wanavyotakiwa na ni juukumu lao la kwanza. Ni nani anafaidika jukumu hilo likitekelezwa kwa ukamilifu?ni aliyeko madarakani.
Hata upinzani wa leo ungekuwa ndio chama tawala pia ndio upinzani ungefaidika. Sasa sijui nikwambie nini. TISS wasaidie chama cha Mbowe wakati sio Serikali ?.

JITAHIDI KUELEWA MAUDHUI YA MAJUKUMU.
 
kantasundwa

JF-Expert Member
May 25, 2020
1,035

Hakuna chama cha mbowe mkuu, uwe na adabu
 
Jankoliko

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
288
250
"Zitto adai ripoti ya TISS yaonyesha Rais Magufuli hawezi kushinda 2020".
Kiongozi umeamua kupotosha alichoandika Zitto ama ni kosa tu la kiuandishi?

"hawezi kushinda uchaguzi huru na haki". Hili halihitaji darubini hata ukifumba macho masikio yatasikia kelele za uchaguzi huru na haki kutoka kila kona. Hata polepole aliwahi kulipigia kelele jambo hilo, lakini alipogundua kwamba hakuna anae sikiliza aliamua kuungana nao kwenye ulaji.
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
31,814
2,000
Kama anayepiga kura ni TISS Basi itakuwa hivyo, lakini Kama wapiga kura ni watz wenyewe hata mje na ripoti zote za kibeberu na kifisadi, Magu bado atashinda kwa ushindi wa juu Sana ambao haijawahi tokes nchini...just wait n see na mkongomani wenu!
Hana sifa ya kushindana kwa njia ya box la kura. Fuatilia historia yake, na tazama chaguzi zote toka aingie awamu hii, zote ni mapichapicha.
 
Pauline rogat

Senior Member
May 2, 2020
156
225
What is happening in ccm today is madness. Two hundred people fighting for one position for ubunge is a joke and the demeaning of the title of ubunge. It means every Dick and Harry can be a Mbunge! What a shame!
 
Bana likasi

JF-Expert Member
Jan 7, 2020
6,976
2,000
Hana sifa ya kushindana kwa njia ya box la kura. Fuatilia historia yake, na tazama chaguzi zote toka aingie awamu hii, zote ni mapichapicha.
Ajawahi shinda chochote maishani bila kubebwa fatilia historia, uogopa ushindani
 
Hero

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
2,166
2,000
Hana sifa ya kushindana kwa njia ya box la kura. Fuatilia historia yake, na tazama chaguzi zote toka aingie awamu hii, zote ni mapichapicha.
Shida siyo mapichapicha, ni upofu wa akili, mind, ulionao maana tunaweza kuona like tu kilicho akilini mwetu! Kila kitu kipi 'crystal clear' ktk chaguzi zote na ccm iliibuka msindi kwa kupotesa kwa muelekeo kwenye chama pinzani Kama CDM! Ulitegemea mwananchi mwenye akili timamu na anayetaka maendeleo aendelee kupiga kura chama kinachoingia yote! Na hata uchaguzi wa October 2020 bado mtayaona mapichapicha zaidi maana bado vyama vyenu pinzani vimepoteza muelekeo kwa kudandia agenda zisizo na mashiko kwa maisha ya Kila siku ya watz! Mtakapopata hola msishangae maana mtavuna muyapandayo! Ni chozi ndie anayeweza kushangaa na kuona mapichapicha baada ya kupanda Mhogo akitegemea kuvuna kiazi: akikuta ni Mhogo uleule alafu aanze kushangaa na kuona mapichapicha watu watamuona ni mwendawazimu! Hiki ndicho watz wenye akili timamu wanachokiona wakiwatazama CDM, ACT et Al! Tegemeeni maumivu! Ila myasikilizie maumivu hayo kimya kimya hatutaki vurugu Tz!
 
Karungikana

JF-Expert Member
Jan 8, 2017
250
250
Kama mtu anajiamini, kwa nini figisu figisu zote hizi kwa wapinzani? Media zote zinazotoa habari za uhakika amezishughulikia; wasemaji wote amewashughulikia; wapinzani amewanunua, tena kwa pesa ya kodi zetu; miradi kibao anafanya bila kupitisha bungeni wala tenda za kawaida, na hivyo kuwapa kazi ndugu na marafiki; kila mtu mwoga sasa maana ukiongea hadharani utashughulikiwa kwa kubambikiwa kesi ya ML au madawa ya kulevya; wafanya biashara wengi wanalia; wafanyakazi wanalia, hata wa majumbani wanalia tu! Imebaki nyinyi Lumumba tu humu, kusifia na kuongea uongo uongo kuwa anapendwa na atashinda! Sijui mnalipwa shilingi ngapi? Maana kama ni kulia nyote mnalia kama wengine!
 
Gerald .M Magembe

JF-Expert Member
Jul 17, 2013
392
500
Shida siyo mapichapicha, ni upofu wa akili, mind, ulionao maana tunaweza kuona like tu kilicho akilini mwetu! Kila kitu kipi 'crystal clear' ktk chaguzi zote na ccm iliibuka msindi kwa kupotesa kwa muelekeo kwenye chama pinzani Kama CDM! Ulitegemea mwananchi mwenye akili timamu na anayetaka maendeleo aendelee kupiga kura chama kinachoingia yote! Na hata uchaguzi wa October 2020 bado mtayaona mapichapicha zaidi maana bado vyama vyenu pinzani vimepoteza muelekeo kwa kudandia agenda zisizo na mashiko kwa maisha ya Kila siku ya watz! Mtakapopata hola msishangae maana mtavuna muyapandayo! Ni chozi ndie anayeweza kushangaa na kuona mapichapicha baada ya kupanda Mhogo akitegemea kuvuna kiazi: akikuta ni Mhogo uleule alafu aanze kushangaa na kuona mapichapicha watu watamuona ni mwendawazimu! Hiki ndicho watz wenye akili timamu wanachokiona wakiwatazama CDM, ACT et Al! Tegemeeni maumivu! Ila myasikilizie maumivu hayo kimya kimya hatutaki vurugu Tz!
ON POINT .
 
Gerald .M Magembe

JF-Expert Member
Jul 17, 2013
392
500
SGR ni mradi mmojawapo wa miradi ya East African Community ikiwa ni sehemu ya ile ya Mombasa-Nairobi-Kampala-Kigali-Bhjumbura-Juba. Miradi mingine ni pamoja na barabara za Arusha By-pass, Arusha - Voi, Kenya (jiwe la msingi limekwisha wekwa), barabara toka mpakani Tanga hadi Bagamoyo itaunganisha Dar na Mombasa iko kwenye ujenzi. Flyover na Salender Bridge ni miradi ya Kikwete ikiendelea kutekelezwa wakati wa Awamu ya Tano, vivyo hivyo miradi ya Magufuli isipokamilika wakati wa Awamu ya Tano itakamilishwa na Awamu ya Sita au Saba.
MKUU HAPA UNATAKA KUTUAMBIA NINI?
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
31,814
2,000
Shida siyo mapichapicha, ni upofu wa akili, mind, ulionao maana tunaweza kuona like tu kilicho akilini mwetu! Kila kitu kipi 'crystal clear' ktk chaguzi zote na ccm iliibuka msindi kwa kupotesa kwa muelekeo kwenye chama pinzani Kama CDM! Ulitegemea mwananchi mwenye akili timamu na anayetaka maendeleo aendelee kupiga kura chama kinachoingia yote! Na hata uchaguzi wa October 2020 bado mtayaona mapichapicha zaidi maana bado vyama vyenu pinzani vimepoteza muelekeo kwa kudandia agenda zisizo na mashiko kwa maisha ya Kila siku ya watz! Mtakapopata hola msishangae maana mtavuna muyapandayo! Ni chozi ndie anayeweza kushangaa na kuona mapichapicha baada ya kupanda Mhogo akitegemea kuvuna kiazi: akikuta ni Mhogo uleule alafu aanze kushangaa na kuona mapichapicha watu watamuona ni mwendawazimu! Hiki ndicho watz wenye akili timamu wanachokiona wakiwatazama CDM, ACT et Al! Tegemeeni maumivu! Ila myasikilizie maumivu hayo kimya kimya hatutaki vurugu Tz!
Sioni hata unaandika nini, hapa naona furushi la maneno ya kiswahili yasiyo na mpangilio maalum.
 
pilipili kichaa

JF-Expert Member
Sep 3, 2013
10,616
2,000
Serious majuzi nilikuwa ktk kikao flani cha watu kama 30 hivi baada ya kinywaji kdg kila mmoja alijiachia kuwa kamwe hawezi kuwapa ccm kura hata iweje! hahahaaaaaaaaaaa! ccm wanajua hili ndio maana;
tume huru ni 'makufuru' sorry marufuku
Upinzani makufuru kufanya mikutano
MaDED ndio watasimamia uchaguzi ili kurahisisha 'ujangili'
Biashara ya kuwanunua 'makaka poa' ilikuwa kubwa.
Kesi na ubambikiaji kesi kwa upinzani ni kubwa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom