Zitto adai ripoti ya TISS yaonyesha Rais Magufuli hawezi kushinda 2020

Victoire

JF-Expert Member
Jul 4, 2008
18,065
2,000
Uchaguzi gani ulishashindwa au kushinda kabla ya kura kupigwa. Zitto una matatizo siyo bure. Nilikuwaga nakuona wa maana enzi zile tunawaona kwenye ITV mligomaga ili muongezewe bumu some one Mkili akakamatwa. Nakumbuka niliona kwenye TV na Omary na mkaka mmoja mweusi anavaa miwani mnasema Mkili must be free na kweli alitoka celo. Sasa naona umegauka na kuwa vuvuzela tu.
 
champline

Senior Member
Dec 3, 2018
182
250
Uchaguzi gani ulishashindwa au kushinda kabla ya kura kupigwa. Zitto una matatizo siyo bure. Nilikuwaga nakuona wa maana enzi zile tunawaona kwenye ITV mligomaga ili muongezewe bumu some one Mkili akakamatwa. Nakumbuka niliona kwenye TV na Omary na mkaka mmoja mweusi anavaa miwani mnasema Mkili must be free na kweli alitoka celo. Sasa naona umegauka na kuwa vuvuzela tu.
Huyu jamaa nimeanza kuamini zile stori kuwa alikuwa anaibua skendo then nyuma ya kapeti anawafuata kutulizwa kuwa ilikuwa kweli.maana siku hizi hiyo kitu hakuna watu wanabanwa waende njia iliyonyooka hakuna kupindapinda.
 
Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
13,436
2,000
Aisee!!
Nauliza tu!? Tiss wanaitumikia Tanzania "umma" au CCM?
Tunaomba hii Taasisi iwe huru kama Mossad, CIA..... Wasiendelee kuwa kitengo ndani ya ccm!! Hatuwatendei haki watanzania na watumishi wenye weledi ndani ya TISS!!
Hii ni kawaida kwa Taasisi za Ujasusi kuwa na report za kila sectors kuanzia siasa,uchumi na maendeleo kwa ujumla. Hata CIA wana report kama hizi.
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
31,815
2,000
Akisema serikali haina la kuonyesha kwa umma 2020.

Si kweli. Hata kama hatumpendi lakini si kwa design hii.
Ni kweli sio sawa kusema kwamba hana vya kuonyesha maana hivyo anavyo. Ila hata makuburu wa Afrika kusini walikuwa na maendeleo ya kuonyesha ambayo hata Magufuli awe rais wa maisha hatayafikia, lakini akina Mandela na wenzake waliwakataa.
 
Uncle Jei Jei

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
1,476
2,000
Tafiti ziwekwe ziwekwavyo, zitoke taasisi gani ila cha msingi tuombe isijetokea ikaja ripoti inayothibitisha kuwa kuna kila dalili inayoonyesha kwamba amesharithishwa ka roho ka hawa viongozi wawili waliotuzunguka ili kujenga utatu mtata.

Ripot ya jana ya dira ya dunia ya BBC Swahili ilimtaja Bob wine alikuwa anamiaka mitatu tu tangu azaliwe wakati kiongozi anayepambana naye kwa sasa alipochukua madaraka
 
Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
6,441
2,000
Ofcourse TISS kabla ya uchaguzi huwa wanafanya utafiti wao kujua nani anakubalika mbele ya wananchi.

Kabla ya uchaguzi wa mwaka 2015, ilikuwa around 2013/2014 na kabla ya Lowasa kuhamia Chadema Ripoti ya "KITENGO" ilionyesha kuwa miongoni mwa possible candidates nchini, Magufuli anakubalika sana kwa wananchi

Sasa sishangai tena ripoti kama hiyo ya TISS kuonyesha kuwa hakubaliki, Huwa wanafanya utafiti kujua hali ya kinchi inakwendaje.

Kinachomkwamisha JPM ni Uchumi uchumi uchumi uchumi uchumi na Demokrasia na haki za binadamu
Maisha ya watu yako duni, biashara zinakufa, Kilimo ambacho kinagusa watu wengi hajakipa kipaumbele, Hali ya usalama wa raia (mambo ya utekaji) ni ya mashaka, uonevu kwa wapinzani, wananchi hawapendi mambo ya maguvumaguvu kwenye siasa, ajira kwa vijana ni ngumu, Maslahi ya wafanyakazi yamesahauliwa, Stahiki za wastaafu zinapigwa danadana etc

Amebaki kuonyesha SGR, Stieglers, Flyover, Uwanja wa Ndege Chato, Daraja la baharini la Salender etc

URAIS NI ZAIDI YA UJENZI
 
Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
18,235
2,000
Uchaguzi gani ulishashindwa au kushinda kabla ya kura kupigwa. Zitto una matatizo siyo bure. Nilikuwaga nakuona wa maana enzi zile tunawaona kwenye ITV mligomaga ili muongezewe bumu some one Mkili akakamatwa. Nakumbuka niliona kwenye TV na Omary na mkaka mmoja mweusi anavaa miwani mnasema Mkili must be free na kweli alitoka celo. Sasa naona umegauka na kuwa vuvuzela tu.
Unajua maana ya utafiti.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom