Zitto adai ripoti ya TISS yaonyesha Rais Magufuli hawezi kushinda 2020

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
11,794
2,000
Naweza nikapoteza muda sababu ya uwezo wako wa kuelewa ni mdogo na ukashindwa kuelewa au MAPENZI YA UPINZANI YAMEKUZIDI.

Wao wanatakiwa wahakikishe nchi ni usalama, serikali ya nchi yao ni imara ili Serikali iweze kuwahudumuia wananchi wake.

Wao TISS wakIhakikisha iwe hivyo kama wanavyotakiwa na ni juukumu lao la kwanza. Ni nani anafaidika jukumu hilo likitekelezwa kwa ukamilifu?ni aliyeko madarakani.
Hata upinzani wa leo ungekuwa ndio chama tawala pia ndio upinzani ungefaidika. Sasa sijui nikwambie nini. TISS wasaidie chama cha Mbowe wakati sio Serikali ?.

JITAHIDI KUELEWA MAUDHUI YA MAJUKUMU.
Wewe ndiye unatakiwa ''kujitahidi kuelewa''. Maoni yako yanaonyesha ''huelewi''. TISS wanatakiwa kusimamia maslahi ya nchi. Maslahi ya nchi ni maslahi ya vyama vyote na raia wote. Hata kama leo wakisaidia ''chama cha Mbowe'' kama ulivyosema bado itakuwa ni makosa makubwa. Kuna siku utaelewa madhara yake kwani najua mtu anapokuwa kwenye ulaji analazimisha akili yake kutoelewa. Membe, Lowassa, Sumaye, Kikwete, Kinana, Nape etc wooote hawa kabla ya 2015 walikuwa wanaambiwa umuhimu wa Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba mpya wakajifanya hawaelewi. Lakini sasa wameelewa japo wamechelewa.
 
Gerald .M Magembe

JF-Expert Member
Jul 17, 2013
392
500
Serious majuzi nilikuwa ktk kikao flani cha watu kama 30 hivi baada ya kinywaji kdg kila mmoja alijiachia kuwa kamwe hawezi kuwapa ccm kura hata iweje! hahahaaaaaaaaaaa! ccm wanajua hili ndio maana;
tume huru ni 'makufuru' sorry marufuku
Upinzani makufuru kufanya mikutano
MaDED ndio watasimamia uchaguzi ili kurahisisha 'ujangili'
Biashara ya kuwanunua 'makaka poa' ilikuwa kubwa.
Kesi na ubambikiaji kesi kwa upinzani ni kubwa
Inafurahisha, hali hiyo ilikuwa ipo Kilimanjaro miaka ya nyuma chini ya mwaka 2018. Lakini haipo tena, labda kilimanjaro ambayo siyo ninayo ishi.

Mkuu anaweza kutufahamisha hali hiyo ipo Mkoa wapi ? au Wilaya ipi ? muda huu. Mkiendelea kuamini hivyo na ikawafanya juhudi zisifanyike na kujituma kukapungua ku counter hali ilivyo sasa hivi upinzani Bungeni umekwisha.

Siamini kama kilimanjaro itatoa wabunge wa zaidi ya mmoja msiojua nawafahamisha hata Mbowe harudi. Sina wasi wasi na matokea ya madiwani, naamini watakuwepo na sio wengi. TUNZA HUU MCHANGO HALAFU NIULIZE MWEZI WA 11/ 2020.
 
Nafikiri unatakiwa kueleweshwa zaidi.

Nchi hii inamajeshi sita (6).
Jeshi la ulinzi,
Jeshi la Polisi,
Jeshi la Magereza,
Jeshi la uokozi na Zima Moto,
Jeshi Uhamiaji,
Jeshi la Kiraia (TISS) ( CIA, MOSAD, MASHIRIKA KAMA HAYA NI MAJESHI YA KIRAIA, SIO VYAMA AU JUMUIA. NI MAJESHI)

Jeshi lolote linafuata amri, na Amri Jeshi Mkuu ni mtawala kwa wakati huo, na hii ni kwa nchi yeyote.

Nani atafaidika, Mwenye kutawala wakati huo au mpinzani wake? Yaaani Magufuli atoe amri ya Chama cha Mbowe kisaidiwe kuingia madarakani?
DUNIANI KOTE JESHI LA KIRAIA HUFAIDISHA AMRI JESHI MKUU WAKATI HUO.
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
11,794
2,000
Inafurahisha, hali hiyo ilikuwa ipo Kilimanjaro miaka ya nyuma chini ya mwaka 2018. Lakini haipo tena, labda kilimanjaro ambayo siyo ninayo ishi.

Mkuu anaweza kutufahamisha hali hiyo ipo Mkoa wapi ? au Wilaya ipi ? muda huu. Mkiendelea kuamini hivyo na ikawafanya juhudi zisifanyike na kujituma kukapungua ku counter hali ilivyo sasa hivi upinzani Bungeni umekwisha.

Siamini kama kilimanjaro itatoa wabunge wa zaidi ya mmoja msiojua nawafahamisha hata Mbowe harudi. Sina wasi wasi na matokea ya madiwani, naamini watakuwepo na sio wengi. TUNZA HUU MCHANGO HALAFU NIULIZE MWEZI WA 11/ 2020.
Kitu Magufuli na wapiga wachumia tumbo wake wanachojidanganya nacho ni kuwa wanadhani wakitawala kwa nguvu ya dola na wakifanya uchaguzi kwa kusimamiwa na dola na watu wanaowachukia kama Mbowe and co wasirudi bungeni basi wao watakuwa salama. Huu ni ufinyu mkubwa wa mawazo na sikutegemea miaka ya sasa kuna rais anajiita ana Phd anaweza kuwa short sighted namna hii! Hizi technic mbona ndizo zilizotumiwa na wakina Mobutu, Mzee Kenyatta, Kamuzi Banda etc na hazikufaulu na badala yake ziliangamiza nchi? Ndiyo maana huwa nasema Magufuli alitakiwa kutawala miaka ile ya kina Mobutu.
 
Nikusaidie kidogo : Siasa za Magufuli anachokifanya ni kuondoa umuhimu wa vyama vingi. Ndio maana anatawala kwa msemo Maendeleo hayana chama. Na atafanikiwa kwa kuwa Tanzania haijafikia maendeleo ya kiuchumi ambayo yanaweza ku support Multipartism.

Akianza kuwekeza kwenye viwanda na kutengeneza ajira 8 million, ambazo atazitengeneza kuanzia 2020 to 2030 ambayo ndio ajenda, itaondoa hali ya kutegemea private enterprises. Tuta tawaliwa na mfumo wa Public enterprises.
Punguza kuona kwa ushabiki, hii itakufanya uone kwa upana nchi inaenda wapi. Tutakuwa tunategemea Public Enterprises kwa maisha yetu kama China. HUU NDIO EELEKEO NA NJIA TUNAYOFUATA.

Na kwa taarifa yako CAPITAL ndio inayofanya miradi mingi itekelezwe ama serikali au mtu binafsi. Na Serikali ndio chombo pekee kinachoweza kutengeneza mtaji na kudhaminiwa kirahisi, kwa maana hiyo Government ndio CAPITALIST mkubwa katika nchi yeyote. Hakutimiza hayo kwa kuwa hakuwa na umeme wa kutosha na rahisi.

Baada ya Umeme wa Bwawa na Nyerere alichikuwa anataka kufanya kitakuwa. WEWE ANZA KUKAA MFUMU WA NCHI BILA CHAMA CHENYE NGUVU NA LIKUBALI HILO AMA SIVYO HAUTO WEZA KULISHA WATOTO WAKO.

Sasa hivi tuu, mtu mwenye kufanya kazi na serikali ndio pekee mwenye hakika ya kuishi.

FORCE ACCOUNT NI NJIA YA KUWAPA PESA WATU WOTE NA KILA MIRADI UNAKUMBUSHWA TUMIA FORCE ACCOUNT. Jiulize?
 
Maelezo yako ni just another bla bla...
 
Kataskopos

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
16,302
2,000
Wewe ndiye unatakiwa ''kujitahidi kuelewa''. Maoni yako yanaonyesha ''huelewi''. TISS wanatakiwa kusimamia maslahi ya nchi. Maslahi ya nchi ni maslahi ya vyama vyote na raia wote. Hata kama leo wakisaidia ''chama cha Mbowe'' kama ulivyosema bado itakuwa ni makosa makubwa. Kuna siku utaelewa madhara yake kwani najua mtu anapokuwa kwenye ulaji analazimisha akili yake kutoelewa. Membe, Lowassa, Sumaye, Kikwete, Kinana, Nape etc wooote hawa kabla ya 2015 walikuwa wanaambiwa umuhimu wa Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba mpya wakajifanya hawaelewi. Lakini sasa wameelewa japo wamechelewa.
Nafurahi sana kuona sasa ndugu yangu umeuona mwanga!
Wewe ni kiungo muhimu lakini ulitumika vibaya sana!
 
wa hapahapa

JF-Expert Member
Aug 22, 2012
6,404
2,000
Hana sifa ya kushindana kwa njia ya box la kura. Fuatilia historia yake, na tazama chaguzi zote toka aingie awamu hii, zote ni mapichapicha.
CCM kwa figisu na ubabe wapo juu... Lkn upinzani watumie akili sana, sera madhubuti na mipango sahihi ktk uchaguzi ujao....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom