Zitto adai ripoti ya TISS yaonyesha Rais Magufuli hawezi kushinda 2020

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
10,597
2,000
Nani alikwambia mosaad au CIA wapo huru. Maisha ni kupambania jomba..
Aisee!!
Nauliza tu!? Tiss wanaitumikia Tanzania "umma" au CCM?
Tunaomba hii Taasisi iwe huru kama Mossad, CIA..... Wasiendelee kuwa kitengo ndani ya ccm!! Hatuwatendei haki watanzania na watumishi wenye weledi ndani ya TISS!!
 
Marashi

JF-Expert Member
Apr 14, 2018
1,560
2,000
Hii TISS ni upuuzi gan Tanzania. Nchi ni ya Wananchi, hatuwezi. Agenda yetu siku zote ni HAKI, MAENDELEO na DEMOKRASIA. Shida yetu sio mtu, huyo Magufuli ajiondokee zake tu kwa amani. Tumechoka
 
bob nasta

Member
Apr 25, 2011
89
125
Ukweli tuseme Rais wetu ni mchapa kazi na ana nia nzuli tu ila kuna vitu vidogo ambovyo vinaweza kurekebishika hasa kwa upande wa democracy tumuunge mkono na tumuuombe mungu amuweke sawa ili Watanzania wote tumpende
 
cotyledon

JF-Expert Member
Aug 25, 2018
200
225
Ni kweli sio sawa kusema kwamba hana vya kuonyesha maana hivyo anavyo. Ila hata makuburu wa Afrika kusini walikuwa na maendeleo ya kuonyesha ambayo hata Magufuli awe rais wa maisha hatayafikia, lakini akina Mandela na wenzake waliwakataa.
Wewe mbona unachukia sana maendeleo
 
Wamabere

JF-Expert Member
Jul 19, 2016
844
500
Aisee!!
Nauliza tu!? Tiss wanaitumikia Tanzania "umma" au CCM?
Tunaomba hii Taasisi iwe huru kama Mossad, CIA..... Wasiendelee kuwa kitengo ndani ya ccm!! Hatuwatendei haki watanzania na watumishi wenye weledi ndani ya TISS!!
Kazi za TISS ni pamoja na hayo yote uliyoyataja na kuondoa vigingi vyote vinavyoweza kuhatarisha usalama wa nchi na taifa bila ya kufuata, kusubiri maelekezo au ruksa ya Rais na hata hao wanaolia kuwa serikali imewaumiza si kweli wameshughulikiwa na TISS bila serikali kuwa na habari. Usiwachezee TISS kazi zao ni ustawi wa Taifa.
 
Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
5,360
2,000
Akili za kuambiwa, changanya na zako. Anza kujiuliza Zitto anapata wapi taarifa ya nana hiyo toka TISS. Unadhani ripoti kama anayo angeacha kuirusha kwenye mitandao ili ajipatie umaarufu zaidi? Upuuzi mtupu.
Inaonesha wee ni zuzu tu!
Hivi unafikiri wanaofanya kazi TISS ni malaika? Ujue kuwa walioko TISS Ni Watz wenzetu wengine Wana ndugu zao wako vyama pinzani akiwemo Zitto Kabwe! Sijui unachoshangaa ni nini Zitto kupata info toka TISS.. !!
Try to think big brother!
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
11,014
2,000
Hili Zitto aliingizwa famba. Hakuna namna JPM ashindwe na atashinda kwa kishindo ambacho ni cha kihistoria ...
hii haina tofauti na kushangilia ushindi wa masumbwi kwa bondia anayedai kashinda ilhali anapigana na mpinzani wake ambaye amefungwa mikono!

hivi Watanzania mnakwama wapi?
 
kidambinya

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
1,097
2,000
ZITO atapata wapi ripoti ya TISS hata rais mwenyewe hapewi, ripoti kama hiyo huwa wanapewa kamati ya watu sita tu
Umenichekesha sana Kiongozi...... nakumbuka nilisoma sehemu fulani wakidai kuwa China ikitokea jambo zito limeikumba nchi basi kuna watu 7 tu ndio hukaa na kufanya maamuzi kwa niaba ya 1.6 Billion people
 
Ndekrepha

JF-Expert Member
Jun 4, 2020
793
1,000
Umenichekesha sana Kiongozi...... nakumbuka nilisoma sehemu fulani wakidai kuwa China ikitokea jambo zito limeikumba nchi basi kuna watu 7 tu ndio hukaa na kufanya maamuzi kwa niaba ya 1.6 Billion people
Dunia haijawahi kuwa fair, hata US na demokrasia yao yote, matokeo ya kura ya Uraisi yanatangazwa baada ya kupitiwa na genge la watu wachache.Sio nguvu ya umma kama demokrasia inavyotaka.
 
kmbwembwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
7,050
2,000
Huyu zitto kuna siku atapigwa mawe kwa jinsi anavyoudhi kwa uzushi na uongo. Wenye kujua wanajua uchaguzi huru na haki kwa wapinzani wa ccm ni ule unatoa mwanya kwa ubeberu kuweza kuchezesha hila zao ili waweze kuweke uongozi wa kuendeleza na kulinda maslahi yao. Viongozi wenyewe ni hao vibaraka kina lissu zitto na wengine.
 
Sijijui

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
6,742
2,000
Ukweli tuseme Rais wetu ni mchapa kazi na ana nia nzuli tu ila kuna vitu vidogo ambovyo vinaweza kurekebishika hasa kwa upande wa democracy tumuunge mkono na tumuuombe mungu amuweke sawa ili Watanzania wote tumpende
Wapenda nchi hii wanatakiwa wamuombee huyu mtu afyekwe na corona
 
Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
5,360
2,000
Kazi za TISS ni pamoja na hayo yote uliyoyataja na kuondoa vigingi vyote vinavyoweza kuhatarisha usalama wa nchi na taifa bila ya kufuata, kusubiri maelekezo au ruksa ya Rais na hata hao wanaolia kuwa serikali imewaumiza si kweli wameshughulikiwa na TISS bila serikali kuwa na habari. Usiwachezee TISS kazi zao ni ustawi wa Taifa.
TISS ni vikaragosi wa CCM tu!!
Kama TISS wangelifanya kazi zao kwa weledi TUSINGELIKUWA NA WATU WASIOJULIKANA NJI HII....!!
Nina hakika waliomshambulia Tundu Lissu kwa risasi zaidi ya 30, walio wapoteza Ben Saanane na Azory Gwanda leo wangelikuwa lupango....!
 
Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
5,360
2,000
Huyu zitto kuna siku atapigwa mawe kwa jinsi anavyoudhi kwa uzushi na uongo. Wenye kujua wanajua uchaguzi huru na haki kwa wapinzani wa ccm ni ule unatoa mwanya kwa ubeberu kuweza kuchezesha hila zao ili waweze kuweke uongozi wa kuendeleza na kulinda maslahi yao. Viongozi wenyewe ni hao vibaraka kina lissu zitto na wengine.
Kinachotakiwa ni TISS kujitokeza nakupinga madai ya Zitto Kabwe Kama hayana Ukweli!!
Lakini wanapokaa kimya ni dhahiri shairi kuwa Kuna Ukweli katika hili.

Yawezekana Zitto ana Ukweli na anachosubiri ni TISS wakanuse halafu aweke Mambo hadharani!
Chesea Ruyagwa........Kuna watu walisha aga kwao buana!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom