Hizi stori zao za kujifariji huwa hazihitaji hata kujibiwa,eti serikali haina cha kuonyesha kwa umma?Akisema serikali haina la kuonyesha kwa umma 2020.
Si kweli. Hata kama hatumpendi lakini si kwa design hii.
Huyu jamaa nimeanza kuamini zile stori kuwa alikuwa anaibua skendo then nyuma ya kapeti anawafuata kutulizwa kuwa ilikuwa kweli.maana siku hizi hiyo kitu hakuna watu wanabanwa waende njia iliyonyooka hakuna kupindapinda.Uchaguzi gani ulishashindwa au kushinda kabla ya kura kupigwa. Zitto una matatizo siyo bure. Nilikuwaga nakuona wa maana enzi zile tunawaona kwenye ITV mligomaga ili muongezewe bumu some one Mkili akakamatwa. Nakumbuka niliona kwenye TV na Omary na mkaka mmoja mweusi anavaa miwani mnasema Mkili must be free na kweli alitoka celo. Sasa naona umegauka na kuwa vuvuzela tu.
Huyo mbona hata hajawahi kushinda uchaguzi wowote ule.
Hii ni kawaida kwa Taasisi za Ujasusi kuwa na report za kila sectors kuanzia siasa,uchumi na maendeleo kwa ujumla. Hata CIA wana report kama hizi.Aisee!!
Nauliza tu!? Tiss wanaitumikia Tanzania "umma" au CCM?
Tunaomba hii Taasisi iwe huru kama Mossad, CIA..... Wasiendelee kuwa kitengo ndani ya ccm!! Hatuwatendei haki watanzania na watumishi wenye weledi ndani ya TISS!!
Akisema serikali haina la kuonyesha kwa umma 2020.
Si kweli. Hata kama hatumpendi lakini si kwa design hii.
Yaani,anatia kinyaa. Atupe hizo data. Yaani anakisia kisia tu. Hivi ile sheria ya mitandao haifanyi kazi?Si bure zitto wehu unamnyemelea!
Unajua maana ya utafiti.Uchaguzi gani ulishashindwa au kushinda kabla ya kura kupigwa. Zitto una matatizo siyo bure. Nilikuwaga nakuona wa maana enzi zile tunawaona kwenye ITV mligomaga ili muongezewe bumu some one Mkili akakamatwa. Nakumbuka niliona kwenye TV na Omary na mkaka mmoja mweusi anavaa miwani mnasema Mkili must be free na kweli alitoka celo. Sasa naona umegauka na kuwa vuvuzela tu.
Utafiti bila data. Tutajua vipi kama umefanya utafiti?Unajua maana ya utafiti.