Zitto adai ripoti ya TISS yaonyesha Rais Magufuli hawezi kushinda 2020

Aisee!!
Nauliza tu!? Tiss wanaitumikia Tanzania "umma" au CCM?
Tunaomba hii Taasisi iwe huru kama Mossad, CIA..... Wasiendelee kuwa kitengo ndani ya ccm!! Hatuwatendei haki watanzania na watumishi wenye weledi ndani ya TISS!!
MTASHINDANA LAKINI HAMTASHINDA ..MAGUFULI ATABAKI JUUU SANA 20202 ANAPITA BILA KUPINGWA NA NYIE WABABAISHAJI
 
Wewe ndio umegeuka Kuwa msaka madaraka,
Uchaguzi gani ulishashindwa au kushinda kabla ya kura kupigwa. Zitto una matatizo siyo bure. Nilikuwaga nakuona wa maana enzi zile tunawaona kwenye ITV mligomaga ili muongezewe bumu some one Mkili akakamatwa. Nakumbuka niliona kwenye TV na Omary na mkaka mmoja mweusi anavaa miwani mnasema Mkili must be free na kweli alitoka celo. Sasa naona umegauka na kuwa vuvuzela tu.
 
Aisee!!
Nauliza tu!? Tiss wanaitumikia Tanzania "umma" au CCM?
Tunaomba hii Taasisi iwe huru kama Mossad, CIA..... Wasiendelee kuwa kitengo ndani ya ccm!! Hatuwatendei haki watanzania na watumishi wenye weledi ndani ya TISS!!

Ili tiss this time bila kadi ya ccm bweni uendi sasa utakua umepata picha mkuu na kamwangaza kwa mbali zitto anazungumzia tiss gani mana sio ile ya kina mwinyi na ndo mana vifo tata vingi sana
 
Bila hata ripoti ya TISS, Magufuli hawezi kushinda chochote kwa haki. Hata historia yake inaonyesha hakuwahi kushinda ubunge kwa haki. Na hata yeye hilo analifahamu ndio maana hataki ushindani wowote uwe wa haki au kinyume chake.
HAYO NI MANENO YA MLEVI MMOJA
 
MTASHINDANA LAKINI HAMTASHINDA ..MAGUFULI ATABAKI JUUU SANA 20202 ANAPITA BILA KUPINGWA NA NYIE WABABAISHAJI
Magufuli hahitaji hata kampeni. Kishashinda tayari. Zitto alizoea kupewa ma project na DR Dau sasa hayupo tena Dau. Zitto lete data tuone huo utafiti ulifanyika wapi na wapi. Kama Twitter na JF hapo sawa.
 
hahahaha ameshasema uchaguzi huru na haki, hiyo hata haiitaji report ya TISS we all know. Ila kwa kuwa hakuna uchaguzi huru na wa haki jamaa lazima atapita tu
kwa mambo makubwa aliyoyafanya hata kusipokuwa na uchaguzi poa tu kwani kuna shida gani
 
MTASHINDANA LAKINI HAMTASHINDA ..MAGUFULI ATABAKI JUUU SANA 20202 ANAPITA BILA KUPINGWA NA NYIE WABABAISHAJI

Anapita bila kupingwa au anatamani apite bila kupingwa maana hawezi ushindani?
 
Uchaguzi gani ulishashindwa au kushinda kabla ya kura kupigwa. Zitto una matatizo siyo bure. Nilikuwaga nakuona wa maana enzi zile tunawaona kwenye ITV mligomaga ili muongezewe bumu some one Mkili akakamatwa. Nakumbuka niliona kwenye TV na Omary na mkaka mmoja mweusi anavaa miwani mnasema Mkili must be free na kweli alitoka celo. Sasa naona umegauka na kuwa vuvuzela tu.
Duuh hilo 'kunji' la kitambo kweli.
Nadhani 2000 huko.
 
Back
Top Bottom