Zitto achukua fomu Kigoma mjini

Zitto achukua fomu Kigoma mjini

Kauli zake, Nimechoka Ubunge nakwenda kufundisha, Mwaka 2015 Sigombei Ubunge tena ni Urais tu, Nawaaga wananchi wa jimbo langu ubunge basi. Wananchi wa ubungo, segerea, kawe wameniomba niwe mwakilishi wao.
 
Zitto alikuwa anatingisa kiberiti mara Ubungo mara Kigamboni nadhan alijitafakari sana maana angekuja kuanguka kwa kura ugenini kuliko nyumban kisiasa tena ndo ingekuwa pigo kwake zaidi lakini pia amejitafakari kwamba asingekubalika kirahisi ugenini na kwa yeye pia ingekuwa pigo ndo mana ameamua kutupa karata yake huko huko kigoma. Anajifanya mjanja sana

Mh..,binadam mna mambo angechukua ubungo si mngesema sasa ametumwa na CCM , nadhani Uzi huu ungekuwa umebadilik a kabisa , bavicha hamna jema kwa zitto, kila anolofanya lazima mpanue mdomo
 
Kauli zake, Nimechoka Ubunge nakwenda kufundisha, Mwaka 2015 Sigombei Ubunge tena ni Urais tu, Nawaaga wananchi wa jimbo langu ubunge basi. Wananchi wa ubungo, segerea, kawe wameniomba niwe mwakilishi wao.

Hizzo nguvu ungezielekeza kuuliza kwanza chama chako kuwa ilikuwaje cdm mkajiunga na chama Cha mashoga / CCMb kuliko kukomaa na zitto wakti sio mwanachama wenu
 
That's a great move..!! Kumkosa mtu kama zito bungeni ni pengo lisilozibika..!! Tunakutakia kila la kheri comred..
 
Pamoja mzalendo Zitto. Ni kutangaza uzalendo na kutetea walalahoi. Let's go...
 
ZZK alisema anataka kuwa kiongozi mkubwa awatumikie watanzania naona ndo njia hiyo ya kupitia ubunge
 
Kauli zake, Nimechoka Ubunge nakwenda kufundisha, Mwaka 2015 Sigombei Ubunge tena ni Urais tu, Nawaaga wananchi wa jimbo langu ubunge basi. Wananchi wa ubungo, segerea, kawe wameniomba niwe mwakilishi wao.

kwa hiyo...asichukue form? goli hilo
 
Naanza kuona mipango yake na ccm imeshakamilika hilo jimbo la kigoma mjini ccm wamekubali kumwachia Zitto.bado nakumbuka kauli ya Zitto aliyoitoa kwenye kipindi cha dakika 45 baada ya kufukuzwa CHADEMA.alisema ccm imeandaa sh.milioni 500 kwa kila mbunge ambaye alikuwa mjumbe wa kamati ya PAC kuhakikisha hawarudi bungeni kwenye bunge lijalo ngoja tuone Zitto aliongea ukweli au njia ya kujitetea .

Ulitaka akagombee jimbo la ukawa au vipi?
 
Last edited by a moderator:
Hizzo nguvu ungezielekeza kuuliza kwanza chama chako kuwa ilikuwaje cdm mkajiunga na chama Cha mashoga / CCMb kuliko kukomaa na zitto wakti sio mwanachama wenu

Tuko pamoja mkuu wangu hujawahi kuniangusha katika kusimamia haki :thumbup::thumbup::thumbup::thumbup:
 
Mh..,binadam mna mambo angechukua ubungo si mngesema sasa ametumwa na CCM , nadhani Uzi huu ungekuwa umebadilik a kabisa , bavicha hamna jema kwa zitto, kila anolofanya lazima mpanue mdomo

Na hapa ndipo napata shida kuelewa hawa jamaa akili yao kaenda kugombea jimbo la ccm wanalalama je angeenda kugombea jimbo la ukawa ingekuaje? Yaani kiongozi yuna kazi kwelikweli na hiki kizazi.
 
Watu wa mwisho wa reli wachache sana wenye hekima hasa wale waha halisi,ila hawa waha wa kirundi na kikongo ni tatizo sana hujifanya wajuaji sana sasa ndo hawa humu jf.

We hayawani acha kutukana kabila la waha kwa kigezo cha kuwaweka warundi na wakongo. Koma kabisa shoga mkubwa we!!
 
....anamuogopa sanaaaa mnyika....
 
muda wote ztt ni mnafiki. Kafundishe
 
Zitto ni wa kuhurumiwa tu kwa sasa. Ni rahisi sana kujua chochote kile ambacho Zitto anakipanga kama siri katika harakati zake za kisiasa.

Kuweka kumbukumbu sawa, toka mwaka jana mwezi wa sita ilisemwa hivi na wadadisi mbalimbali.
1/Zitto ndio mwanzilishi na mmiliki wa ACT na siku akifukuzwa rasmi CHADEMA atakwenda ACT.

2/Zitto yuko chini ya mkakati wa CCM kuua upinzani, na ifikapo mwaka 2015 ataliacha jimbo la Kigoma Kaskazini na kuja kugombea Kigoma mjini na hapo hapo Peter Serukamba wa CCM atakwenda kugombea Kigoma Kaskazini.
 
Yaani kama wananchi wa Kigoma Mjini watampa huyu mpenda sifa nitashangaa sana wakuu....

Maana huko kwenye jimbo lake la awali hakuna alichofanya....
 
Back
Top Bottom