Zitto achukua fomu Kigoma mjini

Zitto achukua fomu Kigoma mjini

ataingia kwa nguvu zote ikiwezekana hata kwa ushirikina dhidi ya wapinzani wake
 
ataingia kwa nguvu zote ikiwezekana hata kwa ushirikina dhidi ya wapinzani wake

Unastahili zawadi kama whistle blower.Amon Mpanju achukuwe tahadhari kwa wanachama wake.Serikali hiyo tip ya kufanyia kazi.
 
Angechukua unapotaka wewe ungekuja na wimbo mpya wa kuwa anatumwa na ccm akauwe upinzani, nyinyi bavicha sijui vichwani kwenu kumejaa grisi au makamasi

Mkuu Pakachua taratibu basi, siyo kupakachua utafikiri uko kichakani na mambo yako yale. Hatuko Lindi hapa eboooooh

Siye mimi niliyesema nagombewa na wananchi wa Ubungo, Kawe, Shinyanga nk, Ni huyo. Kamanda wangu wa kale. Mimi nilitarajia kwamba atakwenda kule alikogombewa na Wananchi kumbe kumekuwa kugumu kwake? Sasa ikiwa nilichojadiri mimi hapo juu ndo kamasi sasa wewe hapa ubongoni mwako kuna nini? Ma.vi siyo?

Pakachua kwanza Akili kabla hujapakachua Mdomo...!!!

BACK TANGANYIKA
 
Hahahahahahh.....

Kamkimbia Mnyika Ubungo? Kamkimbia Mdee Kawe?

Mtamkimbia Mnyika mmoja baada ya mwingine, alianza Nape, kakimbilia Mtama. Sasa ni NURU YA CHAMA kakimbilia Kgm Mjini? Hapo juzi alikuwa na mbwembwe nyingi oooh, nagombewa na Wananchi wa Ubungo, Kawe, Kahama, Shinyanga.....nk Maweeeeeeee kakimbilia Kigoma Mjini baada ya kuvurunda jimbo lake la Awali..!!!

Poleni wanakigoma Mjini ila si Mbaya anakuja mgombea wa UKAWA hapo mpeni ushirikiano.

BACK TANGANYIKA
hizi ni stress za kupotteza jembe chadema!
Angetangaza kugombea jimbo lolote povu lingekutoka tuu!
Tulia mzlendo ajenge nchi, unaweza unamchukia sana zito ila ukweli unabaki zzk ni jembe kama unabisha acha kusoma hii comment!
 
Siasa hizi za akina Zitto na Serukamba ni za kihuni sana!Wanajua majimbo yao hawakufanya kitu sasa wanahama wakitumia ukwasi walio jilimbikizia kuhadaa wapiga kura wapya!

Dr Mwakyembe nae anafikiria kuja Kawe sababu Kyela hawezi shinda hata kura za maoni ndani ya CCM na pia hawezi mshinda Abraham Mwanyamaki wa UKAWA
 
Zitto kaenda kupambana kwenye jimbo la CCM angeenda kugombea kwenye jimbo la upinzani tungesikia lawama nyingi tu Zitto anauwa upinzani.

Mkuu leo umenena jambo la msingi sana.......kuna watu wana chuki sana na hawasamehi.
 
hizi ni stress za kupotteza jembe chadema!
Angetangaza kugombea jimbo lolote povu lingekutoka tuu!
Tulia mzlendo ajenge nchi, unaweza unamchukia sana zito ila ukweli unabaki zzk ni jembe kama unabisha acha kusoma hii comment!

Sasa we Pakacha unaninukuu halafu unasema acha kusoma hii Comment...!!!!!!!

Kweli takataka za Lumumba ni zaidi ya Msiba!

Hivi ni mimi niliyemtuma kusema anagombewa na wananchi wa maeneo hayo? Mimi nilifikiri mnakuja hapa na kusema namsingizia kwamba hakusema maneno hayo badala yake unaniambia hizi ni Stress za kukosa Mipini sijui...!!!!? Hivi nyie watu akili zenu mmeweka kwenye unyayo?

Pakachueni kwanza Akili kabla hamjapakachua vinywa vyenu Ebooooo.!!

BACK TANGANYIKA
 
Anatapatapa tu, ubunge atauskia tu kwa sasa kwani haaminiki tena.Hachelewi kuwauza wananchi was kigoma kwa tamaa yake ya Pesa na umaarufu wa kijinga
 
Karibu sana msaliti tukutane kwenye sanduku la kura....

Hivi yule msaliti mwenzie alberto msando alihamia pia ACT au nae anasubiria lowassa akihamia ndo pia aende. Maana kuna watu wengne wapo wapo tu
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh teh.....

Maneno ya akiba? Ninayo mengi mkuu mengi sana.. Na ndiomaana ninachokiandika hapa ni tofauti na nilichokiandika hapo mwanzo tulipokutana na wewe somewhere..!! Kama unabisha weka ushahidi hapa wa kufanana kwa naneno yangu na ya hapo mwanzo ambayo hata hivyo ulikosa majibu na kutokomea kusikojilikana..!!

Mkuu wangu Ritz, Chochote anachokifanya Zitto mimi ninakifurahia na ndiomaana unaona hapo mwanzo (ktk post uliyoninukuu) nimeanza kwa kucheka..!! Hivi ulitaka kuiona faraha gani nyingine toka kwangu zaidi ya hiyo?

Halafu Mkuu hukumsikia Zitto akisema Anagombewa na Wananchi wa Ubungo, Kawe, Shinyanga, Kahama na kwingineko?

Labda hasira zangu hapo ziko wapi mpaka unitake nifurahi kwa kile atakachokifanya Zitto?

BACK TANGANYIKA

Unaendeshwa na chuki wewe
 
Sasa we Pakacha unaninukuu halafu unasema acha kusoma hii Comment...!!!!!!!

Kweli takataka za Lumumba ni zaidi ya Msiba!

Hivi ni mimi niliyemtuma kusema anagombewa na wananchi wa maeneo hayo? Mimi nilifikiri mnakuja hapa na kusema namsingizia kwamba hakusema maneno hayo badala yake unaniambia hizi ni Stress za kukosa Mipini sijui...!!!!? Hivi nyie watu akili zenu mmeweka kwenye unyayo?

Pakachueni kwanza Akili kabla hamjapakachua vinywa vyenu Ebooooo.!!

BACK TANGANYIKA

We una kichaa aise, kwani kigoma mjini hakuisema? Yeye ameamua kwenda kigoma we inakuuma nini? Au basi tu unataka afanye lipi.. Chuki zako za kijinga sana
 
mbona mwanzoni ilisemwa kwamba yeye na ccm ni kitu kimoja kakataa kabisa,tena anasema ukitaka ubunge kigoma lazima uhamie ACTCCM. LEO WANABADILISHANA MAJIMBO NA WANACCMACT. BAADA YA KUKANUSHA LEO YAMETIMIA. HUU UNDUMILA KUWILI WA ZITTO NDIO UNAWAFANYA WATANZANIA WENGINE KUMKATAA KWA NGUVU ZOTE KWA SABABU MAMBO YAKISEMWA ANAKANUSHA LAKINI MWISHO WA SIKU INAKUWA KWELI

ZITTO BUNGE UTAKUWA UNALISIKIA TU KWENYE REDIO
 
Werema alimkaribisha kwenda kufundisha akakimbia..Werema sasa hivi anafundisha School of Law Tanzania.Jamaa mwongo sana huyu
Werema anafundisha school of laws?na ukilaza wote ule?
 
Naanza kuona mipango yake na ccm imeshakamilika hilo jimbo la kigoma mjini ccm wamekubali kumwachia Zitto.bado nakumbuka kauli ya Zitto aliyoitoa kwenye kipindi cha dakika 45 baada ya kufukuzwa CHADEMA.alisema ccm imeandaa sh.milioni 500 kwa kila mbunge ambaye alikuwa mjumbe wa kamati ya PAC kuhakikisha hawarudi bungeni kwenye bunge lijalo ngoja tuone Zitto aliongea ukweli au njia ya kujitetea .
 
Last edited by a moderator:
Werema anafundisha school of laws?na ukilaza wote ule?

Kama umemfuatilia vizuri Werema yupo kichwani vizuri ila siasa ilimharibu huwezi mlinganisha na huyu Masaju ambae siasa hajui na sheria pia zinampiga chenga..tena pale School of Laws anafundisha Ethics
 
Back
Top Bottom