yasin Gahoile
Senior Member
- Apr 4, 2014
- 119
- 20
bavicha bwana mlitaka agombee majimbo yote mtu mmoja ata ivo bd yote ni yake make akiweka wagombea wake watachukua msihof ahad inatimiaHahahahahahh.....
Kamkimbia Mnyika Ubungo? Kamkimbia Mdee Kawe?
Mtamkimbia Mnyika mmoja baada ya mwingine, alianza Nape, kakimbilia Mtama. Sasa ni NURU YA CHAMA kakimbilia Kgm Mjini? Hapo juzi alikuwa na mbwembwe nyingi oooh, nagombewa na Wananchi wa Ubungo, Kawe, Kahama, Shinyanga.....nk Maweeeeeeee kakimbilia Kigoma Mjini baada ya kuvurunda jimbo lake la Awali..!!!
Poleni wanakigoma Mjini ila si Mbaya anakuja mgombea wa UKAWA hapo mpeni ushirikiano.
BACK TANGANYIKA