Zitto achukua fomu Kigoma mjini

Zitto achukua fomu Kigoma mjini

Ameamua kulibakiza CCM hilo jimbo la Kigoma mjini. Maana Dr. Kabour anarudi kugombea, na alichokifanya Serukamba ni kumpisha Kabour wala siyo kumpisha huyo jamaa.
Ukawa, ACT, CCM wote watasimamisha wagombea, make calculations and find out who stands the chance to win.
 
Huyu dogo tulishamzowea ukigeugeu na uongo wake,hiyo Bandari ya nchi kavu hapa katosho niipi mbona siijui au yawachawi wanapokutana?.Kwahiyo tumuamini kwa kusema atagombea kipindi kimoja tu kama alivyosema 2015 hatagombea Ubunge tena?,au ndio Sarakasi mpya ya Urais tena
 
Ameamua kulibakiza CCM hilo jimbo la Kigoma mjini. Maana Dr. Kabour anarudi kugombea, na alichokufanta Serukamba ni kumoisha Kabour wala siyo kumousha huyo jamaa.
Ukawa, ACT, CCM wote watasomamisha wagombea make claculations and find out who stands the chance to win.

Immigration fanyeni kazi yenu.
 
Ameamua kulibakiza CCM hilo jimbo la Kigoma mjini. Maana Dr. Kabour anarudi kugombea, na alichokufanta Serukamba ni kumoisha Kabour wala siyo kumousha huyo jamaa.
Ukawa, ACT, CCM wote watasomamisha wagombea make claculations and find out who stands the chance to win.
Nakubaliana na wewe kwamba jimbo litabaki CCM, maana kura za upinzani zitagawanyika kati ya ACT na UKAWA na CCM atapata ushindi kwa tofauti ndogo ya kura.
 
Back
Top Bottom