Zito hajui kiandika vizuri

Zito hajui kiandika vizuri

kwahiyo mm na zito akili zetu sawa zeni tofautisheni lugha ya chating kwenye cm au jf mladi mtu aelewe lakini si sawa na lugha ambayo eti msomi anaandika kwa bunge.cdm tukimsimamisha zito tumeumia.kwenye chating naweza kuandika................luga badala ya lugha na atavziwi mkaelewa
 
Turudi kwenye suala la msingi, huyu mpiganaji anajaribu kutuonyesha njia sahihi ya matumizi ya fedha za walalahoi walipa kodi. Naomba wanaojua hesabu watukokotolee, mapendekezo haya ya Mheshimiwa Zitto yakifanyika kwa wabunge wote wa Jamhuri ya Tanzania zitapatikana fedha kiasi gani zitakazotumika kwa maendeleo ya majimbo yao?

Mkuu hilo ndilo neno. Sijui kama ni Zito ama ni CHADEMA. Yote sawa. Ila kinachosemwa hapa ni posho za vikao kwamba kikao ni sehemu ya kazi yako kwa nini basi ulipwe? Ikiwa posho za vikao zitaondolewa bungeni basi itabidi zisilipwe kote serikalini kwa maana serikalini sehemu kubwa ya OC inaenda kwenye posho hasa za vikao. Hii ikitokea basi itaokolewa pesa nyingi sana. Kwa sasa siwezi kuwa na figure lakini itakuwa ni pesa ndefu
 
SOMA BARUA YAKE ALIYOANDIKA KUSEMA POSHO ZAKE ZIREKEBISHWE AKAUNTI NA ZIPELEKWE KIGOMA. ETI KIGOMA KATIKA MAENDEKE YAKE CJUI ALIMAANISHA MAENDELEO YAKE AU VIPI? JITAHDDDDDDD KUWA MAKIKI KAKA,UNAONYESHA ATA MAANDISHI YA MKONO YANATIA SHAKA JUU YA USOMI WAKO
mi naona wewe ndio hujui kuandika
 
Huyu jamaa amekuja kufanya vurugu JF!!karibu sana mkuu,vipi umetoroka Milembe?pole sana!!
 
Mkuu hilo ndilo neno. Sijui kama ni Zito ama ni CHADEMA. Yote sawa. Ila kinachosemwa hapa ni posho za vikao kwamba kikao ni sehemu ya kazi yako kwa nini basi ulipwe? Ikiwa posho za vikao zitaondolewa bungeni basi itabidi zisilipwe kote serikalini kwa maana serikalini sehemu kubwa ya OC inaenda kwenye posho hasa za vikao. Hii ikitokea basi itaokolewa pesa nyingi sana. Kwa sasa siwezi kuwa na figure lakini itakuwa ni pesa ndefu

OC za serikalini zaidi ya vikao . Hao wakubwa OC zao ndo wanazipatia kwenye vikao . Sisi wa TGS C OC zetu tunajua tunavyozipata. teh teh teh Na wakiztoa hizo ..........

Wakirogwa wakatoa OC zetu sisi wa TGS C bila kutongozea mishahara cha moto watakiona. teh teh teh
 
Usituletee 'usela nondo' wa shule uliyosomea ya kata hapa JF. Yaani unakurupuka tu kushutumu bila kuwa makini. Napee mkubwa we.
 
anyway, sijaisoma but naweza ona kuwa mpangilio wa barua umekaa kizamani sana, haina umaridadi wa kisomi.
 
Kweli kwani kipi hukikielewa wewe hapo. hayo ndo majungu ati.
 
Mimi naona wewe hujui chochote hasa, na hizo chuki zako binafsi juu ya Zitto hazitakufikisha mbali, unachojua wewe nini? maana hata uichoandika hapo ni vigumu kukuelewa. Peleka porojo zako huko hakuna cha maana ulichoongea hapo
 
Back
Top Bottom