naomba usiniroge
I support you Mkuu. Sidhani kama hii issue whether it is true or not ina-tija kwa taifa letu.
kwani wewe umesikia zito nifukara mpaka amtegemee mwanamke ktk maisha yake?kwa taarifa yako zito anaingiza zaid ya milion 70 kwamwezi ktk shugulizake ikiwemo na mshahara wa ubunge namarupurupu yakamatiza bunge namambo yake mengine,kwataarifa yako zito sio fukara kama unavyozani wewe.huyo dada anapesa sana!ana NGO yake hivyo ZITTO ndiye anayelelewa kwa mahitaji ya kimaisha!hata hivyo ni aibu kwa mwanaume kulazimishwa kufuata dini ya mwanamke,mwanamke ndie anatakiwa afuate ya mwanaume maana anaenda kwenye ukoo wa KABWE!kwangu mie naona ZITTO HANA MSIMAMO BURE KABISA HUYU JAMAA
. [I said:Ingawa kuna miongoni mwa wakereketwa wa chadema wamesikika wakinung'unika kwamba hii ni janja tuu ya bwana Zitto ili aweze kukwapua madaraka ya juu kabisa ya chamahicho. Chama hicho ambacho kina wafuasi lukuki katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha kimekataa kukanusha au kuthibitisha habari hiz[/I]i.
Hapa sijaelewa, kwani CHADEMA kina uhusiano wowote na Ukatoliki?Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Hatimaye mbunge machachari wa kutoka Kigoma, muheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe ameamua kubadilisha dini yake kutoka kwenye uislamu kuelekea kwenye ukatoliki. Vyanzo vya karibu na muheshimiwa Zitto vimeeleza kwamba, sababu ya bwana Zitto kubadilisha dini ni sababu binafsi na wala siyo za kichama kama inavyodhaniwa na wengi. Inasemekana ndugu Zitto ana uhusiano wa kimapenzi na msichana wa kikatoliki ambaye ndiyo chanzo kikubwa cha muheshimiwa huyo kuachana na uislamu na kuwa miongoni mwa kondoo watakaookolewa na bwana yesu. Kama ambavyo bwana yesu alisema kwamba "mimi ndiyo njia ya kuelekea kwa baba", inasemekana kwamba muheshimiwa Zitto amekubaliana na mpenzi wake wamwabudu Mungu kwa kupitia njia hiyo. Ingawa kuna miongoni mwa wakereketwa wa chadema wamesikika wakinung'unika kwamba hii ni janja tuu ya bwana Zitto ili aweze kukwapua madaraka ya juu kabisa ya chamahicho. Chama hicho ambacho kina wafuasi lukuki katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha kimekataa kukanusha au kuthibitisha habari hizi.
Tunaomba chanzo cha uhakika cha habari hii, vyenginevyo itaelekea kama udaku hivi! Liwe liwalo, iwe kwa ajili ya kufuata mwanamke au rafiki, huu ni uamuzi binafsi na unapaswa kuheshimiwa, kama tunavyowaheshimu wanaobadili majina, makazi, vyama n.k.Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Hatimaye mbunge machachari wa kutoka Kigoma, muheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe ameamua kubadilisha dini yake kutoka kwenye uislamu kuelekea kwenye ukatoliki. Vyanzo vya karibu na muheshimiwa Zitto vimeeleza kwamba, sababu ya bwana Zitto kubadilisha dini ni sababu binafsi na wala siyo za kichama kama inavyodhaniwa na wengi. Inasemekana ndugu Zitto ana uhusiano wa kimapenzi na msichana wa kikatoliki ambaye ndiyo chanzo kikubwa cha muheshimiwa huyo kuachana na uislamu na kuwa miongoni mwa kondoo watakaookolewa na bwana yesu. Kama ambavyo bwana yesu alisema kwamba "mimi ndiyo njia ya kuelekea kwa baba", inasemekana kwamba muheshimiwa Zitto amekubaliana na mpenzi wake wamwabudu Mungu kwa kupitia njia hiyo. Ingawa kuna miongoni mwa wakereketwa wa chadema wamesikika wakinung'unika kwamba hii ni janja tuu ya bwana Zitto ili aweze kukwapua madaraka ya juu kabisa ya chamahicho. Chama hicho ambacho kina wafuasi lukuki katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha kimekataa kukanusha au kuthibitisha habari hizi.
sioni kama ni Tatizo mtu kuwa na mke au mume mwenye dini tofauti....kuna civil marriage nyingi sana......
mimi rafiki yangu ni muislamu safi ana mke mkristo na mara nyingi tu humsindikiza mkewe kanisani na kuingia ndani kushiriki ibada.....lakini bado ni muislamu safi....mambo adimu kama haya ndio yanatufanya tuitwe watanzania ..kuheshimu hisia na imani za wenzetu....mimi binafsi kuna mambo mengi tu nayapenda kwenye uislamu..kuliko yale amabayo siyaafiki..lakini sitabadili dini nitabaki imara kwenye imani yangu..zote hizi ni njia za kumuendea muumba.
Kama Zito kaingia Ukatoliki sababu ya mwanamke, basi hakuwa na dhamira ya kweli ya kumfuata Yesu.[/QUOT
Kafr!