Zito abadili dini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zito abadili dini

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Nancy Tweed, Jan 9, 2011.

 1. N

  Nancy Tweed Senior Member

  #1
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Hatimaye mbunge machachari wa kutoka Kigoma, muheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe ameamua kubadilisha dini yake kutoka kwenye uislamu kuelekea kwenye ukatoliki. Vyanzo vya karibu na muheshimiwa Zitto vimeeleza kwamba, sababu ya bwana Zitto kubadilisha dini ni sababu binafsi na wala siyo za kichama kama inavyodhaniwa na wengi. Inasemekana ndugu Zitto ana uhusiano wa kimapenzi na msichana wa kikatoliki ambaye ndiyo chanzo kikubwa cha muheshimiwa huyo kuachana na uislamu na kuwa miongoni mwa kondoo watakaookolewa na bwana yesu. Kama ambavyo bwana yesu alisema kwamba "mimi ndiyo njia ya kuelekea kwa baba", inasemekana kwamba muheshimiwa Zitto amekubaliana na mpenzi wake wamwabudu Mungu kwa kupitia njia hiyo. Ingawa kuna miongoni mwa wakereketwa wa chadema wamesikika wakinung'unika kwamba hii ni janja tuu ya bwana Zitto ili aweze kukwapua madaraka ya juu kabisa ya chamahicho. Chama hicho ambacho kina wafuasi lukuki katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha kimekataa kukanusha au kuthibitisha habari hizi.
   
 2. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Kama ni kweli naomba tuheshimu choice yake na let us let bygones be bygones..... Freedom of Choice...., Tuache kama akiamua atangaze basi atangaze mwenyewe... This has got nothing to do na maendeleo ya nchi yetu.
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,495
  Trophy Points: 280
  Freedom of Choice
   
 4. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ungeiandika kwenye page yake ya facebook au twitter Zitto angekuheshimu. Lengo lako hapa halina mshiko
   
 5. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #5
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  when and where?
   
 6. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Nadhani huu umbea
   
 7. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #7
  Jan 9, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  ni mambo binafsi lakini kama kweli basi kwa kuchagua kukaa miguuni mwa Yesu, kachagua fungu lililojema sana ambalo hataondolewa kamwe! ooh God lead him in all your righteousness. amen
   
 8. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #8
  Jan 9, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,859
  Likes Received: 11,978
  Trophy Points: 280
  This has nothing to do with politics kama mleta hoja unavyotaka ieleweke watu tumeanza kubadili dini muda mrefu hata kabla ya CCM na CDM kuwepo, ikiwezekana omba Mods wabadili heading ya thread.
   
 9. NGUZO

  NGUZO JF-Expert Member

  #9
  Jan 9, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 253
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kama Zito kaingia Ukatoliki sababu ya mwanamke, basi hakuwa na dhamira ya kweli ya kumfuata Yesu.
   
 10. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #10
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Imenenwa Mme ataachana na wazazi wake ataambatana na mkewe, nao watakuwa kitu kimoja.
   
 11. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #11
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Hii ni haki yake ya kikatiba. Kimsingi ni suala binafsi zaidi.
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hii thread haina maslahi ya kitaifa!
   
 13. I

  IronLady Member

  #13
  Jan 9, 2011
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  It is freedom of worship...

  Mwee dunia hii kwa udaku.Sina hamu.Kabadili dini lina na wapi. Kanisa gani limempokea?Kwani hivi sasa Zitto anacheo cha chini?hivi Naibu Katibu Mkuu wa chama ni cheo kidogo?kiutendaji kinatofauti gani na Katibu Mkuu au Mwenyekiti?ni kuongoza vikao au status?does the three zinabadilisha status?
   
 14. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #14
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Kama hizi nguvu tungeziweka kwenye kuwapeleleza Dowans.... I Guarantee you tusingeibiwa.....
   
 15. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #15
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  nancy we mzaramu?
  au ulikuwa unasuka pindi ukiandika hii thread?
   
 16. Mhafidhina

  Mhafidhina JF-Expert Member

  #16
  Jan 9, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Sio mara ya kwanza kwa viongozi au watu mashuhuri duniani kubalisha dini/kuoa/kuolewa/kuchika n.k. Ni uchaguzi wake binafsi. Hata alipochagua kuwa Muisilamu hatukumshauri au hatukuhusishwa. Nafikiri tusilikweze hili jambo kisiasa au kiitikadi...! Ni uamuzi binafsi kama mtu unavoamua kuoa au kuolewa tu...!

  Hongera Zitto
   
 17. U

  Unstoppable JF-Expert Member

  #17
  Jan 9, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,049
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  I support you Mkuu. Sidhani kama hii issue whether it is true or not ina-tija kwa taifa letu.
   
 18. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #18
  Jan 9, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,517
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Source please
   
 19. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #19
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Kuna jukwaa la maswala ya imani pengine ingefaa upeleke post yako huko.

  Kujadili dini ya mtu hapa haina tija kwetu maana haina uhusiano na matatizo yetu ya msingi. Dini zimeendelea kuwa maficho ya udhalimu nchini mwetu. Kwa ZK kubadili ama kutobadili imani yake haiwezi kubadilisha udhaifu ama uimara wa uongozi alokuwa nao.

  Mafisadi wote tunaowataja hapa wanakwenda makanisani na miskitini: Kama hiyo ingekuwa dawa tusilia na mafisadi nchi hii
   
 20. N

  Nancy Tweed Senior Member

  #20
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hapana mimi siyo mzaramu, kabla hujaanza kunichukia. Mimi baba yangu ni mfipa na mama yangu ni Hibernian.
   
Loading...