Lekanjobe Kubinika
JF-Expert Member
- Dec 6, 2006
- 3,019
- 580
Kama amechagua kumfuata Yesu iwe kwa sababu yoyote ile basi kachagua fungu lililo jema tena kwa wakati muafaka. Uliza kwa nini mto wa mbu wakristo wameumizwa na kuharibiwa mali zao. Sio mara chache ukisikia mwislam kakristika waislam wanakuja juu sana, lakini mkristo akisilimu wakristo kimya hawana kelele, maisha ni kama kawa.
Hakuna jipya kwa Kabwe kukristika. Tumwombee kwa Mungu amnyoshee mapito yake na kuwa kioo, afanikiwe katika mambo yake kama katika roho yake. Huyo aliyemfanya akatolike naye Mungu ambariki sana. Kama amefanya hivyo kwa kutumia njia mbaya pia Mungu amhurumie na kumsamehe ilimradi amemrudisha kondoo mmoja zizini.