Zito abadili dini

Zito abadili dini

Ukweli ni kwamba kwa watz wengi dini lebo.kama vile wachina wanaeza kutengeza jeans ya quality ya chini kueka lebo ya Cavalli au Armani. Ukiweka au ukiondoa lebo it will still remain the same bogus product.

Hebu niambieni dini inawasaidia nini watu kama akina JK,Pinda, Lowasa et al? Hakuna !!

Same to huyo Zitto wenu.
 
Thinker,

Unayo copy ya kitabu cha mama Lowassa? Alichoelezea ziara yake kule Israel na kupita kwenye njia ya Bwana yesu? Vilevile kama unayo copy ya kitabu cha Makamba cha rushwa.
 
Thinker,

Unayo copy ya kitabu cha mama Lowassa? Alichoelezea ziara yake kule Israel na kupita kwenye njia ya Bwana yesu? Vilevile kama unayo copy ya kitabu cha Makamba cha rushwa.

Thinker wa 'Mtoni',

Niwe mkwleli, bninafsi sijawahi kusikia Makamba kaandika kitabu chochote, wewe ndio wa kwanza kunambia.

Hicho cha Misz Lowassa nasikia it is more of a pamphlet na binafsi sijapata mshawasha wa kupoteza dakika 20 za maisha yangu kusoma what is likely to be utumbo.
 
Makamba alitunga kitabu na kutumia mifano ya Biblia na Koran kuonyesha kuwa rushwa ni mbaya. But it has been a while since its publication. As I recall, some people went farther to suggest that the literature should be used in school as a reference material.

https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/9286-kitabu-cha-yussuf-makamba-kutumika-mashuleni.html
 
Ningependa kujua kama ameshabatizwa kabisa!!bcoz yawezekana alionekani kanisani tu wadau wakawaza yao!
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Hatimaye mbunge machachari wa kutoka Kigoma, muheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe ameamua kubadilisha dini yake kutoka kwenye uislamu kuelekea kwenye ukatoliki. Vyanzo vya karibu na muheshimiwa Zitto vimeeleza kwamba, sababu ya bwana Zitto kubadilisha dini ni sababu binafsi na wala siyo za kichama kama inavyodhaniwa na wengi. Inasemekana ndugu Zitto ana uhusiano wa kimapenzi na msichana wa kikatoliki ambaye ndiyo chanzo kikubwa cha muheshimiwa huyo kuachana na uislamu na kuwa miongoni mwa kondoo watakaookolewa na bwana yesu. Kama ambavyo bwana yesu alisema kwamba "mimi ndiyo njia ya kuelekea kwa baba", inasemekana kwamba muheshimiwa Zitto amekubaliana na mpenzi wake wamwabudu Mungu kwa kupitia njia hiyo. Ingawa kuna miongoni mwa wakereketwa wa chadema wamesikika wakinung'unika kwamba hii ni janja tuu ya bwana Zitto ili aweze kukwapua madaraka ya juu kabisa ya chamahicho. Chama hicho ambacho kina wafuasi lukuki katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha kimekataa kukanusha au kuthibitisha habari hizi.

Kwa vile Zitto ni mwanasiasa na tayari amekwisha kutangaza nia kugombea Uraisi mwaka 2015 na wakatoliki ni zaidi ya 40% ya watanzania wote ......si vibaya tukasoma picha kubwa zaidi ya mapenzi na masuala binafsi ya kuoana ...............................Zitto's mouth has done him so much damage in particular kushabikia DOWANS............................sijui wamemuahidi nini?
 
sioni kama ni Tatizo mtu kuwa na mke au mume mwenye dini tofauti....kuna civil marriage nyingi sana......

mimi rafiki yangu ni muislamu safi ana mke mkristo na mara nyingi tu humsindikiza mkewe kanisani na kuingia ndani kushiriki ibada.....lakini bado ni muislamu safi....mambo adimu kama haya ndio yanatufanya tuitwe watanzania ..kuheshimu hisia na imani za wenzetu....mimi binafsi kuna mambo mengi tu nayapenda kwenye uislamu..kuliko yale amabayo siyaafiki..lakini sitabadili dini nitabaki imara kwenye imani yangu..zote hizi ni njia za kumuendea muumba.
 
Usanii mtupu. Dini yake nadhani haimruhusu kubadili dini.
 
Ni njia iliyobora, kwa maisha yake binafsi
 
Zito ni member wa JF. Tusibiri atueleze kama ni kweli. Ikiwezekana tumtumie PM kumdirect kwenye hii tread ili siku aki-login ajue kinachosemwa juu yake.Hata hivyo swala la kumfuata Yesu ni uamuzi binafsi, tunatakiwa kuuheshimu kama ni kweli.

Wasiwasi wangu ni kwamba wasije wakatokea Waisilamu wakajaribu kumuua wakifuata mafundisho ya Allah wao.
Whoever changes his Islamic religion, kill him. Sahih Al-Bukhari (9:57)
- I will instill terror into the hearts of the unbelievers, Smite ye above their necks and smite all their finger tips of them. (Quran 8:12)
 
kama ni kweli, yeye si mtanzania? Si ana uhuru wa kuabudu anachotaka? Mwacheni atumie uhuru wake. He may well go back, remain there or switch to somewhere else! I defend his right to choose...
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Hatimaye mbunge machachari wa kutoka Kigoma, muheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe ameamua kubadilisha dini yake kutoka kwenye uislamu kuelekea kwenye ukatoliki. Vyanzo vya karibu na muheshimiwa Zitto vimeeleza kwamba, sababu ya bwana Zitto kubadilisha dini ni sababu binafsi na wala siyo za kichama kama inavyodhaniwa na wengi. Inasemekana ndugu Zitto ana uhusiano wa kimapenzi na msichana wa kikatoliki ambaye ndiyo chanzo kikubwa cha muheshimiwa huyo kuachana na uislamu na kuwa miongoni mwa kondoo watakaookolewa na bwana yesu. Kama ambavyo bwana yesu alisema kwamba "mimi ndiyo njia ya kuelekea kwa baba", inasemekana kwamba muheshimiwa Zitto amekubaliana na mpenzi wake wamwabudu Mungu kwa kupitia njia hiyo. Ingawa kuna miongoni mwa wakereketwa wa chadema wamesikika wakinung'unika kwamba hii ni janja tuu ya bwana Zitto ili aweze kukwapua madaraka ya juu kabisa ya chamahicho. Chama hicho ambacho kina wafuasi lukuki katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha kimekataa kukanusha au kuthibitisha habari hizi.

Mi naona mambo ya dini na uongozi wa juu wa chama haviendani na hata kama yeye kabadili dini kwa mawazo hayo atakuwa amechemka vibaya mno.

Au ni njama za mashakumbembe kuhamisha hoja ya kutuulia wananchi wetu kule Arusha na kuingiza masuala ya kidini ili tusiendeleze huu mbinyo ambao unamnyima usingiza Mkwere
 
Usanii mtupu. Dini yake nadhani haimruhusu kubadili dini.

Hata mimi nina mawazo hayoSijawahi kusikia muislamu akabadili dini kuwa mkristo au dini nyengine yoyote.

Ikiwa hii habari si umbea,basi Huyu mtu hata kabla hakuwa muislamu.,ni msanii tu anayependa umaarufu.
 
huyo dada anapesa sana!ana NGO yake hivyo ZITTO ndiye anayelelewa kwa mahitaji ya kimaisha!hata hivyo ni aibu kwa mwanaume kulazimishwa kufuata dini ya mwanamke, mwanamke ndie anatakiwa afuate ya mwanaume maana anaenda kwenye ukoo wa KABWE!

kwangu mie naona ZITTO HANA MSIMAMO BURE KABISA HUYU JAMAA
 
Back
Top Bottom