mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,855
- 8,253
Pacha wa Zitto katika ubora wako,wewe ndie unajua kila kitu na unataka sote tufuate unavyowaza(sio kufikiri,sababu huwezi kufikiri)1. Ndege zinanunuliwa hivi na Rais ili Wanafunzi wawe wanazitumia
2. Ndege zinanunuliwa hivi na Rais ili Marubani wajue jinsi ya Kutua Viwanja vibaya kama vya Kigoma
3. Ndege zinanunuliwa hivi na Rais ili ziwe zinawasafirisha Madaktari kwa haraka kukiwa na shida
Endeleeni ' Kuburudika ' nae Mtangazaji wa Channel Ten Fred Mwanjala akiwa ' mubashara ' eneo la Tukio la Uwanja wa Ndege.
Nawapenda sana Waandishi wa Habari wa Tanzania kwani wengi wao kama huyu Mtangazaji ' mahiri ' wa Channel Ten Fred Mwanjala wanaonyesha kabisa jinsi walivyo ' Weledi ' na ' makini ' kwa Kazi yao lakini pia wanatuonyesha ni jinsi gani walivyo Werevu, Wachambuzi wazuri na Watu ambao wana Ufahamu mkubwa wa mambo mbalimbali kuliko wale Wenzao wa nchi kama za Kenya, Uganda, Marekani, Uingereza, Afrika Kusini, Misri, Algeria na Ufaransa.
This is Tanzania!
Nawasilisha.