Zipu za suruali yangu kuharibika!!

Zipu za suruali yangu kuharibika!!

cheeter

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2011
Posts
475
Reaction score
155
Wakuu,suruali zangu zote huwa zinaharibikia kwenye zipu,ssa hadi nimechoka kuzipeleka kwa mafundi.7bu huwa ni nn haswa??
 
Inaonekana mwenzetu unafanya mazoezi mengi ya kufungua na kufunga zipu ktk suluali zako.Ushauri wangu upunguze frequencies ya zoezi hilo.
 
Labda jaribu kuvaa sketi kama zile wavaazo wanaume wa Kiskochi huwa hazina zipu...

Au kama vipi tupiamo kivazi cha msuli...
 
Asante,unatakiwa ufungue zipu mara ngp kwa siku?
 
Shipa? Embu acha masihara...
 
Naombeni msaada,7bu yani fundi ashanikariri...ananiita kjna wa zipu..
 
Naombeni msaada,7bu yani fundi ashanikariri...ananiita kjna wa zipu..

Hahaha...
umenichekesha sana bwana Zipu (samahani)...
hapa ushauri upewe tu na wenzako, wanaweza kujua tatizo lako kirahisi.
 
Naombeni msaada,7bu yani fundi ashanikariri...ananiita kjna wa zipu..


Huyo fundi kwa kuchagua majina yuko vizuri,ukienda tena mwambie akuwekee zipu ya begi
 
acha wazi tu kwani kuna nini unayoificha we jiachie watanzania tuna uhuru wetu bwana
 
Tatizo we we unataka tuuzungumzie uume wako inamaana huvai boxer ndan ndo tatizo LA kuanza kuvaa suluali ukubwan ludisha uliko azima
 
Uhuru pia una kikomo,unataka niachie wazi halafu iweje? Uhuru huo walikua nao Adam $ Eve tuu
 
Mkuu haya mambo ni ya kueleweshana tuu,nimekupagawisha nn?
 
Jaribu kutumia vifungo badala ya zipu. Navyo vikiwa vinakatika ..nitafute.
 
Tehe tehe teheeeee,majibu ya jf ni nomaaa,aisee mimi naona utumie za jinzi zaidi
 
Back
Top Bottom