Kuna dada mmoja alikuwa anatusimulia suluari za mme wake nyingi hazina zipu amechunguza akagundua mme wake akipata mwanamke huko nje havui suruali anafungua/anavuta tu zipu anatoa kitu mambo yanaendelea, iwe kwenye gari, ukutani popote kazi inafanyika, tulicheka kidogo mbvu zitoke