Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 11,988
Katika hoja za kijinga ni pamoja na hii. Samahani sijasema wewe ni mjinga bali hoja ni ya kijinga mno. Labda mtoa hoja unaweza kusema unanufaikaje na Wapinzani wanapompinga Rais? Hata umeamua kuja na hoja hii ni nini kimekukereketa hasa? Je, kama wapinzani hawana cha kumpinga Rais nawe huoni hawampingi, ungenyamaza kuna ubaya gani? Rais asipoungana na wapinzani anashindwa nini?Kwa huu upepo unavyovuma wapinzani wamebaki solemba
Wamekosa cha kupinga, kila wanapishika wanaishia kupuuzwa tu na Wananchi
Umeme kila kona ya Nchi,Magufuli amepeleka
Barabara kila kona ya Nchi Magufuli amepeleka, tena anepeleka hadi majimbo ya upinzani
Tunakuombea afya njem,Jemadari wetu Magufuli kuikomboa Tanzania
Katika hoja za kijinga ni pamoja na hii. Samahani sijasema wewe ni mjinga bali hoja ni ya kijinga mno. Labda mtoa hoja unaweza kusema una nufaikaje na wapinzani wanapompinga rais? Hata umeamua kuja na hoja hii ni nini kimekukereketa hasa? Je, kama wapinzani hawana cha kumpinga rais nawe huoni hawampingi, ungenyamaza kuna ubaya gani? Rais asipoungana na wapinzani anashindwa nini?
Mimi naona wapinzani wasipate aibu kumpongeza Mzalendo Magufuli, kwani kwa muda mrefu tumemwomba Mungu atupatie huyu Rais
Kwa huu upepo unavyovuma wapinzani wamebaki solemba
Wamekosa cha kupinga, kila wanapishika wanaishia kupuuzwa tu na Wananchi
Umeme kila kona ya Nchi,Magufuli amepeleka
Barabara kila kona ya Nchi Magufuli amepeleka, tena anepeleka hadi majimbo ya upinzani
Tunakuombea afya njem,Jemadari wetu Magufuli kuikomboa Tanzania
SAA mbovuKwa huu upepo unavyovuma wapinzani wamebaki solemba
Wamekosa cha kupinga, kila wanapishika wanaishia kupuuzwa tu na Wananchi
Umeme kila kona ya Nchi,Magufuli amepeleka
Barabara kila kona ya Nchi Magufuli amepeleka, tena anepeleka hadi majimbo ya upinzani
Tunakuombea afya njem,Jemadari wetu Magufuli kuikomboa Tanzania
Huyo anakuambia ujiajiri yuko kwenye payroll ya serikali kwa miaka 30Aisee ajira ndo basi tena.
Maana mifumo yote imebadilika, unasoma chuo miaka 5,4,3 lakini unaaambiwa ujiajiri duu
MI yangu macho tuu, kweli mengi yamefanyika
Mzima bunge live, mpeleka muswada wa kubana waandishi wa habari na muomba msamaha.
Naunga mkono hoja.Kwa huu upepo unavyovuma wapinzani wamebaki solemba