Zipo wapi hoja za kumkosoa Rais Magufuli? Kama tumeishiwa bora tuungane naye tu

Kawe Alumni

JF-Expert Member
Mar 20, 2019
8,685
11,987
Kwa huu upepo unavyovuma wapinzani wamebaki solemba
Wamekosa cha kupinga, kila wanapishika wanaishia kupuuzwa tu na Wananchi

Magufuli amepeleka umeme kila kona ya Nchi. Pia, amepeleka barabara kila kona ya nchi hata kwa yale majimbo ya wapinzani.

Tunakuombea afya njema Jemadari wetu Rais Magufuli kuikomboa Tanzania
 
Kwa huu upepo unavyovuma wapinzani wamebaki solemba
Wamekosa cha kupinga, kila wanapishika wanaishia kupuuzwa tu na Wananchi

Umeme kila kona ya Nchi,Magufuli amepeleka
Barabara kila kona ya Nchi Magufuli amepeleka, tena anepeleka hadi majimbo ya upinzani

Tunakuombea afya njem,Jemadari wetu Magufuli kuikomboa Tanzania
Katika hoja za kijinga ni pamoja na hii. Samahani sijasema wewe ni mjinga bali hoja ni ya kijinga mno. Labda mtoa hoja unaweza kusema unanufaikaje na Wapinzani wanapompinga Rais? Hata umeamua kuja na hoja hii ni nini kimekukereketa hasa? Je, kama wapinzani hawana cha kumpinga Rais nawe huoni hawampingi, ungenyamaza kuna ubaya gani? Rais asipoungana na wapinzani anashindwa nini?
 
Katika hoja za kijinga ni pamoja na hii. Samahani sijasema wewe ni mjinga bali hoja ni ya kijinga mno. Labda mtoa hoja unaweza kusema una nufaikaje na wapinzani wanapompinga rais? Hata umeamua kuja na hoja hii ni nini kimekukereketa hasa? Je, kama wapinzani hawana cha kumpinga rais nawe huoni hawampingi, ungenyamaza kuna ubaya gani? Rais asipoungana na wapinzani anashindwa nini?

Jenga hoja usishambulie maoni yake. Kwa nini tumuunge mkono au tusimuunge mkono Rais Magufuli
 
1573006954466.jpeg
 
Mimi naona wapinzani wasipate aibu kumpongeza Mzalendo Magufuli, kwani kwa muda mrefu tumemwomba Mungu atupatie huyu Rais

Kwa mambo mazuri ya serikali, miradi mikubwa hali mzuri ya uchumi na kila kitu ndio ilipaswa kuwa wakati mzuri wa demokrasia hapa tz Yan wapinzani wakose cha kuongea na sio kuwafanya wakose cha kuongea kwa mizengwe
 
Kwa huu upepo unavyovuma wapinzani wamebaki solemba
Wamekosa cha kupinga, kila wanapishika wanaishia kupuuzwa tu na Wananchi

Umeme kila kona ya Nchi,Magufuli amepeleka
Barabara kila kona ya Nchi Magufuli amepeleka, tena anepeleka hadi majimbo ya upinzani

Tunakuombea afya njem,Jemadari wetu Magufuli kuikomboa Tanzania

...utafiti wako uliufanyia wapi!?
Wapinzani hawana cha kupinga, kila kitu kiko mukide, rais kahamia Dodoma, gesi imeshuka bei, umeme ni wa uhakika, ajira za kumwaga reli mpya imekabidhiwa na mengine mengi. Tuwazomee wapinzani, tuwasemee wananchi wanaoendelea kuteseka kwenye awamu hii
 
Kwa huu upepo unavyovuma wapinzani wamebaki solemba
Wamekosa cha kupinga, kila wanapishika wanaishia kupuuzwa tu na Wananchi

Umeme kila kona ya Nchi,Magufuli amepeleka
Barabara kila kona ya Nchi Magufuli amepeleka, tena anepeleka hadi majimbo ya upinzani

Tunakuombea afya njem,Jemadari wetu Magufuli kuikomboa Tanzania
SAA mbovu
 
Sasa aache uchaghuzi huru na wenye haki

Pamoja na kukubalika uko mbona mabavu mengi mpaka kwenye hizi chaghuzi za mitaa,

Shinyanga mjini almost kata zote
Wagombea wenyeviti wa mtaa wa upinzani wamekatwa. CCM imepita bila kupingwa.

Nafikiri kama anakubalika kama unavyosema aache chaghuzi huru ili aone watanzania wanampenda kiasi gani
 
Kwa huu upepo unavyovuma wapinzani wamebaki solemba
Wamekosa cha kupinga, kila wanapishika wanaishia kupuuzwa tu na Wananchi

Umeme kila kona ya Nchi,Magufuli amepeleka
Barabara kila kona ya Nchi Magufuli amepeleka, tena anepeleka hadi majimbo ya upinzani

Tunakuombea afya njem,Jemadari wetu Magufuli kuikomboa Tanzania
Naunga mkono hoja.
P
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom