Zipo wapi hoja za kumkosoa Rais Magufuli? Kama tumeishiwa bora tuungane naye tu

Serikali kuleta maendeleo kwa wananchi wake sio hisani au matakwa ya MTU Bali ni wajibu wake kufanya hivyo haipaswi kusifiwa na isipofanya hivyo inapaswa kulaumiwa.
 
Naisikitia Nchi yangu unaendelea kuzalisha wajinga wengi kama we
Kwa huu upepo unavyovuma wapinzani wamebaki solemba
Wamekosa cha kupinga, kila wanapishika wanaishia kupuuzwa tu na Wananchi

Umeme kila kona ya Nchi,Magufuli amepeleka
Barabara kila kona ya Nchi Magufuli amepeleka, tena anepeleka hadi majimbo ya upinzani

Tunakuombea afya njem,Jemadari wetu Magufuli kuikomboa Tanzania
 
Umekula Jana? Au uki humu kutetea ujinga tu ilihali ukiwa na life Gumu san la kuungauunga
Kikubwa ni kwamba siku hizi Magufuli hawajibu, amewaacha anafanya yake, wanaompinga wamebaki kubweka bila kumtisha kwa lolote, yeye amekomaa kwenye kuboresha maisha ya Watanzania.
 
Inawezekana wewe ni mzazi na hii ndiyo ajira inaweka mezani chakula na ada ya watoto wako. Ninakusamehe.

Huyu ndugu hakuna habari inahusu utawala asichangie yaan anatetea hadi analeta kero.. alafu cha ajabu kila hoja unakuta yeye wa kwanza kuijibu sijui hana kazi nyingine .. Sema ndo hivyo mwenzako ndo maisha yanaenda ukimlaumu ni kumuonea tu.
 
Kwa huu upepo unavyovuma wapinzani wamebaki solemba
Wamekosa cha kupinga, kila wanapishika wanaishia kupuuzwa tu na Wananchi

Umeme kila kona ya Nchi,Magufuli amepeleka
Barabara kila kona ya Nchi Magufuli amepeleka, tena anepeleka hadi majimbo ya upinzani

Tunakuombea afya njem,Jemadari wetu Magufuli kuikomboa Tanzania
Haya ndiyo matatizo makubwa ya Praise team yaani timu ya kusifu na kuabudu wana matatizo makubwa sana maana mara zote kwenye masuala ya kitaifa wao huvaa miwani ya mbao.Hawaoni kabisa hata yanayoendelea kwenye zoezi zima la chaguzi linavyoendelea wao wanasubiri tu kusema wameshinda kwa KISHINDO!!!!!!Hii ni hatari sana huwezi kujivunia umeme wakati wananchi haki zao zinaminywa.Hata majimbo ya upinzani yananyimwa haki wananchi wakilalamika wanaambiwa na mkuu wa kaya eti kuwa walikosea kuchagua Upinzani wakati ni wajibu wa serikali iliyoko madarakani kupeleka huduma kwa wananchi wake haijalishi jimbo liko upinzani au la.
 
Kikubwa ni kwamba siku hizi Magufuli hawajibu, amewaacha anafanya yake, wanaompinga wamebaki kubweka bila kumtisha kwa lolote, yeye amekomaa kwenye kuboresha maisha ya Watanzania.
Wana bweka?? Labda ni kweli.

Ibada ya kusifu na kuabudu imekukaa vilivyo.

Lakini unamsifuje mwanaume mwenziyo?

Kuna shida mahali,si bure.
 
Kwa huu upepo unavyovuma wapinzani wamebaki solemba
Wamekosa cha kupinga, kila wanapishika wanaishia kupuuzwa tu na Wananchi

Umeme kila kona ya Nchi,Magufuli amepeleka
Barabara kila kona ya Nchi Magufuli amepeleka, tena anepeleka hadi majimbo ya upinzani

Tunakuombea afya njem,Jemadari wetu Magufuli kuikomboa Tanzania
Praise Team aka MATAGA endelea kusifu tu , kila awamu inakuja na wapiga pambio wake.
 
Kwa huu upepo unavyovuma wapinzani wamebaki solemba
Wamekosa cha kupinga, kila wanapishika wanaishia kupuuzwa tu na Wananchi

Umeme kila kona ya Nchi,Magufuli amepeleka
Barabara kila kona ya Nchi Magufuli amepeleka, tena anepeleka hadi majimbo ya upinzani

Tunakuombea afya njem,Jemadari wetu Magufuli kuikomboa Tanzania
Kabisa unasema umeme kila kona ya nchi?? Hapa hapa DSM umeme tu hakuna mimi tangia mwaka 2016 tuliambiwa tunaletewa umeme mpaka sasa haujafika na ni DSM.
 
Tatizo wapinzani wamebaki kuokoteza maneno mabaya na ya uwongo kumsema Rais baada ya kuishiwa hoja
Katika hoja za kijinga ni pamoja na hii. Samahani sijasema wewe ni mjinga bali hoja ni ya kijinga mno. Labda mtoa hoja unaweza kusema una nufaikaje na wapinzani wanapompinga rais? Hata umeamua kuja na hoja hii ni nini kimekukereketa hasa? Je, kama wapinzani hawana cha kumpinga rais nawe huoni hawampingi, ungenyamaza kuna ubaya gani? Rais asipoungana na wapinzani anashindwa nini?
 
Back
Top Bottom