Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 11,988
- Thread starter
- #41
Mbona tumeambiwa wiki ijayo kampeni za uchaguzi zinaanza? Hiyo sio demokrasia?
Kwa mambo mazuri ya serikali, miradi mikubwa hali mzuri ya uchumi na kila kitu ndio ilipaswa kuwa wakati mzuri wa demokrasia hapa tz Yan wapinzani wakose cha kuongea na sio kuwafanya wakose cha kuongea kwa mizengwe