Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 5,952
- 10,593
Chupi zote ni nzuri na zinavaliwa na kila mwanamke anayependa vitu vizuri, hizo nguo hazina ubaya wowoteHivyo vyupi vyote vinavaliwa na mashankupe ya mjini.
Mtafutie chupi standard.
Chupi zote ni nzuri na zinavaliwa na kila mwanamke anayependa vitu vizuri, hizo nguo hazina ubaya wowoteHivyo vyupi vyote vinavaliwa na mashankupe ya mjini.
Mtafutie chupi standard.
Usipo kua na akili na bills zako unalipa vizuri inasaidia nini sasa?Mwanaume anayefanya uzinzi Hana akili kabisa....
Sio mimi ni neno la Mungu
😅😅Mnunulie saa kali hata ya laki 5 tu kenge wewe.