Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 10,540
- 31,598
Ntadeal naye we muache tu!Nisaidie my huyu anapanga kunimaliza🤣🤣
Ntadeal naye we muache tu!Nisaidie my huyu anapanga kunimaliza🤣🤣
Faida unayoihitaji kwenye mahusiano ni ipi?Sijaona faida
Asante beibNtadeal naye we muache tu!
Basi wewe wasikupe cheti mwanzoni mwa ndoa! Wakupe mwishoni tu aisee🙌🏾Nikiwa best student kwenye ndoa mtaanza kusema me mwanga sijui nini wakati mlikuwa mnaona jinsi ninavyopambana kwenye kusoma 😂😂😂
Vyovyote vile ila naamini CHETI napataBasi wewe wasikupe cheti mwanzoni mwa ndoa! Wakupe mwishoni tu aisee🙌🏾
Naaminia mkuu!Vyovyote vile ila naamini CHETI napata
🙌🙌Faida unayoihitaji kwenye mahusiano ni ipi?
Nakusikiliza.
Basi mkuu yaisheNakusikiliza.
🤝🤝Basi mkuu yaishe
Huna tatizo baki hivyo hivyo hakuna tabusasa mie mwenzenu na miaka 45 sina mke,sina watoto na sina mchumba.Tatizo langu naogopa watoto wakike.Na tangu kuzaliwa kwangu sijawai kuwa na demu wala kupanda jukwaan.sijui tatizo langu ni lipi?Naomben ushauri wenu wakuu
Kwenye pesa hawataki usawa wa kijinsia. Kanuni yao ni za mwanaume za wote za mwanamke ni za mwanamke peke ake.Na pesa kila mmoja awe na zake
Ewaaaa, kila mtu awe na cha offer nje ya uchiNa pesa kila mmoja awe na zake
Sema hii wanaume tukikaza, wakina dada wengi wataukimbia mji. Maana ukipiga hesabu watakaokosa hela ya kodi ya chumba/nyumba, ada ya chuo, chakula n.k ni wengi sana.Ewaaaa, kila mtu awe na cha offer nje ya uchi