min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 45,962
- 126,394
Bidada huwa na soma posti zake ni kama mtu alie kata tamaa sana
Bidada huwa na soma posti zake ni kama mtu alie kata tamaa sana
Mkuu tunaweza kuishia hapa?Changamoto yako ni kubwa kidogo , sasa wewe ulikua unataka kuchukua uamuzi gani ?
Nyenzo?Swali zuri nitakujibu hivi:
Kwanza kama kungekua na uwezekano wakuacha kuliwa ilikua best option
Kuliwa na kila mtu ni kinyaa🤮
Kuliwa na mtu mwenye mtu wake nayo ni completed
Kiufupi tu naishiwa power 🙌 au nitajaribu nye,,,,,,o
😁😁😁 astghafirullah hakunaaaweee ujaribu au ndo michezo yako🤭🤨,, huko usiingie hakuna utam,, hizi mambo zinahitaji 2pic💃
Hatuwezi kuishia hapa kama tayari ume reply tu , tungeweza kuishia pale kama ungevunga tuMkuu tunaweza kuishia hapa?
😀Bidada huwa na soma posti zake ni kama mtu alie kata tamaa sana
Naam Nipo class 😂Kama kawaida..
Jamani basi siku nyingine tutaendeleaHatuwezi kuishia hapa kama tayari ume reply tu , tungeweza kuishia pale kama ungevunga tu
Chini ya 30Nyenzo?
Una umri gani?
Mimi nipo free tu labda wewe unipotezee tuJamani basi siku nyingine tutaendelea
Kwanini huyataki mahusiano?Chini ya 30
Unataka kumsaidiaje?Bidada huwa na soma posti zake ni kama mtu alie kata tamaa sana
Mkuuu unaniweka kikaangoni sana naishiwa powerMimi nipo free tu labda wewe unipotezee tu
Sijaona faidaKwanini huyataki mahusiano?
Chukua notes mkuu! Ukipata slides kama 5 usisite kushea🤝🏽Naam Nipo class 😂
Kitaalamu tu , tulia utaona.Unataka kumsaidiaje?
Nisaidie my huyu anapanga kunimaliza🤣🤣Unataka kumsaidiaje?
Sihitaji kuonaKitaalamu tu , tulia utaona.
Hapana sikuweki kikaongoni tuna badilishana mawazo tuMkuuu unaniweka kikaangoni sana naishiwa power
Nikiwa best student kwenye ndoa mtaanza kusema me mwanga sijui nini wakati mlikuwa mnaona jinsi ninavyopambana kwenye kusoma 😂😂😂Chukua notes mkuu! Ukipata slides kama 5 usisite kushea🤝🏽