Zipi tamu na chungu za ndoa?

Zipi tamu na chungu za ndoa?

Oa kwa ajili yako mwenyewe kama hujisikii kabisa usioe kwa ajili ya hao jamaa zako maana utajuta kwasababu halitakua pendekezo lako ni msukumo wa wawatu wengine mi naona ndoa sio lazima sana 😒 mimi hata mahusiano tu bila ndoa sio muhimu sana😏 mimi kama ningekuwa sijawahi kufanya sex nisingefanya kabisa ningekua mtawa maana mapenzi sitaki ila sex nataka☹️
Sasa kama unapenda sex hata ungekuwa mtawa si ungeruka ukuta?
 
Sasa umefikiria kufanya nini , kuliwa tu na kila mtu? Au kutafuta mmoja akule hata kama anakula pengine?
Swali zuri nitakujibu hivi:
Kwanza kama kungekua na uwezekano wakuacha kuliwa ilikua best option
Kuliwa na kila mtu ni kinyaa🤮
Kuliwa na mtu mwenye mtu wake nayo ni complected
Kiufupi tu naishiwa power 🙌 au nitajaribu nye,,,,,,o
 
Hizo hapo
 

Attachments

  • FB_IMG_1771142720256.jpg
    FB_IMG_1771142720256.jpg
    12.3 KB · Views: 2
  • FB_IMG_1771142720256.jpg
    FB_IMG_1771142720256.jpg
    12.3 KB · Views: 2
Si ndio heh niwe ng'ang'ari

Swali zuri nitakujibu hivi:
Kwanza kama kungekua na uwezekano wakua kuliwa ilikua best option
Kuliwa na kila mtu ni kinyaa🤮
Kuliwa na mtu mwenye mtu wake nayo ni completed
Kiufupi tu naishiwa power 🙌 au nitajaribu nye,,,,,,o
weee ujaribu au ndo michezo yako🤭🤨,, huko usiingie hakuna utam,, hizi mambo zinahitaji 2pic💃
 
Swali zuri nitakujibu hivi:
Kwanza kama kungekua na uwezekano wakuacha kuliwa ilikua best option
Kuliwa na kila mtu ni kinyaa🤮
Kuliwa na mtu mwenye mtu wake nayo ni completed
Kiufupi tu naishiwa power 🙌 au nitajaribu nye,,,,,,o
Changamoto yako ni kubwa kidogo , sasa wewe ulikua unataka kuchukua uamuzi gani ?
 
Back
Top Bottom