mzizimkavu

  1. ngwayamani

    Sababu zinazo wafanya simba kuingia hatua ya makundi ligi ya mabingwa kuwa rahisi kuliko yanga

    Kama kichwa kinavyo sema hapo juu ,ukiangalia mpira wetu utaona kuwa yanga imekuwa bora kwa miaka 3 sasa ila unajua kwanini bado kuingia makundi inakuwa ngumu basi sababu ni RANKING Simba ilijikusanyia rank nyingi na siku zote wenye rank nyingi upangiwa na timu ndogo ,hata kama timu ndogo nazo...
  2. Sanyambila

    Zipi sababu za vijana wa sasa kukumbwa na mvi, hasa za ndevu?

    Wasalam wadau. Dunia ya Sasa imekumbwa na matatizo au changamoto ya vijana wadogo kiumri KUKUMBWA na MVI kidevuni na imekukwa Kama Natural modelling appearance (handsome) ukikutana na vijana kumi wa umri kuanzia 30 Hadi 40 vijana 6 au 7 Wana mvi kidevuni (white hair). Sasa baada ya MAELEZO...
  3. Rusumo one

    Matokeo ya National Std 4 na Form 2 kutoka kabla ya Krismasi?

    Marhabaa wajukuu zangu kwa salama zenu, nirudi kwenye mada tajwa. Naskia sikia muda wowote kinasomeka ili sikukuuu ya Xmas mwenye kula pilau ale na mwenye kula ngarerimo ale kila mtu atakuwa na lake moyani. Hivi Msonde anafanya nini kutucheleweshea majibu ili wajukuu wafurahi na kupata nguo za...
  4. Panctuality

    Umauti huifika nafsi au mwili?

    Habarini wanaJF Nahitaji kujua kipi ndio huonja au hufikwa na umauti kati ya mwili au nafsi? maana ishazoeleka ikitamkwa "kila nafsi itaonja umauti" ili hali mwili ndio hupoteza uwezo wake kiutendaji pale unapofikwa na umauti au kama kauli hiyo ipo sahihi basi ni nini tafsri yake. Nitashukuru...
  5. Sanyambila

    Fungus za pumbu au korodani dawa yake nini?

    Watanzania kuna jamaa anajikuna sana. Yupo smart ila haipiti dakika 5 lazima aguse pumbu kwani kunamuwasha sasa nauliza ili nikamshauri. Dawa yake ni nini?
  6. Sanyambila

    Maoni: Mikutano ya siasa ifunguliwe kipindi hiki cha uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wanabodi umofia kwenu Nianze kwa kumpa pole na hongera Mh. Rais Magufuli kazi njema anazofanya kila siku, Hoja yangu ni alipokuwa anaingia Madarakani alipiga marufuku mikutano ya kisiasa na kusema tufanye kazi siasa itakuwa kipindi cha uchaguzi. Sasa tupo katika kipindi hiki cha uchaguzi...
  7. Sanyambila

    Maoni juu ya adhabu mashuleni viboko au kusimamishwa masomo na uingiliaji wa wanasiasa kwenye taasisi

    WAJUMBE SALAAM! Hivi karibuni kumejitokeza matukio ya utovu wa nidhamu mashuleni na adhabu mashuleni. Nianze na utovu. Miaka ya leo wanafunzi wameshuka kinidhamu sana. Yapo matukio ya walimu kupigwa, kutukanwa, kukejeliwa na mwalimu anapochukua hatua stahiki wanafunzi huja juu kwa kumtishia...
Back
Top Bottom