ni lazima ukubali kuwa cash cow...hapo nyumba ndogo haitakukimbia. This is the first and foremost principle, the rest is prologue
ukitaka uheshimike na kuitawala nyumba ndogo kwa mfumo wa miaka kumi kumi kama CCM ni mwendo wa kuvunja kibubu tu yani kwa lugha nyepesi kwa nyumba ndogo laki si pesa million uadui..
the best way to find out ni kwa wewe kujitumbukiza kwenye hako kajumba kadogo...uone kisha utathibitisha nilivyokwambia. Also remember Kinywa cha malaya ni shimo refu;Anayechukiwa na BWANA atatumbukia ndani yake. Mithali 23:14Utingo mbona tunaona baadhi ya wadosi wana mkwanja kachaa na wanahudumia lakini watu wanakula nyumba ndogo zao bila chenga tena kwa kigezo cha kutowafikisha? Kanuni yako nimeinote. First anf for most, money
Gozo kama ni hivyo naanza kukata tamaa mimi nilifikiri ukionja tundi basi kama umejituma sana na kufanya makoronjinjo basi unaweza ukapendwa provided sector nyingine upo normal!!!!
the best way to find out ni kwa wewe kujitumbukiza kwenye hako kajumba kadogo...uone kisha utathibitisha nilivyokwambia. Also remember Kinywa cha malaya ni shimo refu;Anayechukiwa na BWANA atatumbukia ndani yake. Mithali 23:14
kama performance yako inalizisha ktk nyumba ndogo ni added advantage but uvunjaji wa kibubu ndo alfa na omega..
Kama ana masikio atasikia, umemnyooshea sana.
Gozo kama ni hivyo naanza kukata tamaa mimi nilifikiri ukionja tundi basi kama umejituma sana na kufanya makoronjinjo basi unaweza ukapendwa provided sector nyingine upo normal!!!!
Subiri wazowefu wafike nishawaita wanakuja............
Mzee wa Rula usifikiri wote wanaopenda kufanya dhambi ni hiari yao, elewa dhambi imepambwa katika ulimwengu wa roho na kama binadamu tunajikuta tunashindwa na ndiyo maana wengi tunaogopa kufa licha ya kujua mbingu ni ujira wa mwenye kutenda mema kwa Mungu.