Zingatia kabla ya kuoa

Zingatia kabla ya kuoa

haahaahaahaa umekosea mkuu boflo sio OA ni WOA teh teh
 
Aisee... Mentor bado nipo nipo sana!!!

Ila heri msukuma (ingawa ana sifa zifananazo na Wa-rombo)... Boflo we msukuma nini? Maana wahenga walisema, "Kila mwamba ngoma..."

Mento tafadhali naomba nijuze sifa za Wa-Rombo wanawake maana mm ni Mrombo nijijue nina sifa gani aiseee. Maana wanaume ni Masembo.
 
Mento tafadhali naomba nijuze sifa za Wa-Rombo wanawake maana mm ni Mrombo nijijue nina sifa gani aiseee. Maana wanaume ni Masembo.

ahahaha u mini wanaume wa Rombo ni isembo? Cc: Asprin na Jiwe Linaloishi.

Wadada wa Rombo wanafahamika famously kama makubota...u know em tractors? siju kama nyie wa dot.com mnafit huku lakini!!!
 
Last edited by a moderator:
napita tu...lakini sielewielewi....nitarudi nikipata stimu.
 
ahahaha u mini wanaume wa Rombo ni isembo? Cc: Asprin na Jiwe Linaloishi.

Wadada wa Rombo wanafahamika famously kama makubota...u know em tractors? siju kama nyie wa dot.com mnafit huku lakini!!!

Daa inamaana cc ni forklift (mafokolifti) kuna kaukweli kidogo nafanya kazi c mchezo c wa dot .com mm. Mentor inamaana Asprin na huyo jiwe ni Isembo mm sipo ujue sitaki uchokozi mentor. Ni kaka zangu naogopa kuwatanaia.
 
Nimezunguka sana nchi hii kwakweli kwa ujumla kila kabila lina umalaya (samahi kwa neno hilo) sema ni jinsi gani wanawake/wanaume ulivyowakuta na wanajiheshimu vipi. Pengine mtoa post hiyo kila kabila ulilo itaja hapo ulisha pitia na ukatoa wazo hilo maana msimulia mvua. Haya makabila yana watu wengi sana na wewe ulifikiri bila hivyo wangepatikana vipi? Mie nadhani siyo muhimu sana kujaji sana makabila bali watanzania kwa ujumla tu tubadilike na kuheshimu misingi ya dini na huenda hata magonjwa ya zinaa ya kapungua kama siyo kwisha kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom