Mie sioi sumari
ahahaha u mini wanaume wa Rombo ni isembo? Cc: Asprin na Jiwe Linaloishi.
Wadada wa Rombo wanafahamika famously kama makubota...u know em tractors? siju kama nyie wa dot.com mnafit huku lakini!!!
Kumbe kuna wapelestina na wa israel
Mbona umeegemea upande mmoja wa shilingi em geuza na wapili basi! Au viceversa is true????
Ukitaka majungu OA MHAYA. Ukitaka Mapenzi ya ujanja ujanja OA MCHAGA. Ukitaka Uchawi OA MFIPA. Ukitaka maneno OA MZENJI. Ukitaka mapishi OA MTANGA. Ukitaka Uume wenza OA MZARAMO. Ukiwa na shamba OA MSUKUMA. Ukitaka mapenzi ya kuona aibu oa MHEHE, Ukitaka kubana matumizi OA MPARE. Ukitaka Kisukari OA MWARABU mara tende mara halua!!! Ukitaka kuji-mix, oa mkerewe au mjita. Na kama unataka kuwachanganya m2 na dadake, OA Mrangi. Ukitaka kubishana na kupigana OA Mnyilamba,.Ukitaka kuzaa sana Oa Muha na ukitaka kubembelezwa na kudanganywa Oa mnyamwezi.
Hapo kwenye red sijaelewa na nimecheka sana. Hebu nijuzeUkitaka majungu OA MHAYA. Ukitaka Mapenzi ya ujanja ujanja OA MCHAGA. Ukitaka Uchawi OA MFIPA. Ukitaka maneno OA MZENJI. Ukitaka mapishi OA MTANGA. Ukitaka Uume wenza OA MZARAMO. Ukiwa na shamba OA MSUKUMA. Ukitaka mapenzi ya kuona aibu oa MHEHE, Ukitaka kubana matumizi OA MPARE. Ukitaka Kisukari OA MWARABU mara tende mara halua!!! Ukitaka kuji-mix, oa mkerewe au mjita. Na kama unataka kuwachanganya m2 na dadake, OA Mrangi. Ukitaka kubishana na kupigana OA Mnyilamba,.Ukitaka kuzaa sana Oa Muha na ukitaka kubembelezwa na kudanganywa Oa mnyamwezi.