happiness win
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 2,461
- 1,394
na wale wanaoweka kipande cha nyama kwenye papuchi siku mbili halafu anaipika na nyama nyingine kisha anakulisha ili usimwache ni kabila gani!!?
Tooba! kipande cha nyama kwenye papuchi!!!?? mmmh hii haijakaa sawa, hebu nifafanulie kiduchu