Zingatia haya ili uishi kwa furaha

Zingatia haya ili uishi kwa furaha

Ukiwa huna pesa furaha kwako sahau itakuja kwa muda na kuondoka
Hata ukiwa na pesa haimaanishi kua muda wote utakua na furaha,

Happiness is this moment" or "Happiness is being in the moment" watu wasio na hela hua wanaamini kua ukiwa na hela unakua na furaha muda wote,pia ni ngumu sana kuwaaminisha hili jambo,

Nikirudi kwenye mada,

Furaha utaipata kwa kufanya mambo ambayo wewe unayapenda na unaenjoy kuyafanya,kila mtu ana njia zake za kuipata furaha yake.
 
Nikwel mkuu lakn maskini hukosa furaha kwa kuwaza mafanikio unapojipa matumaini na jambo then inakua opposite na matarajio unajikuta hauna furaha lakn maboss mpaka awe na issue zake binafs ndo atakosa furaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom