hichi kizazi.... Duh! Kinasikitisha sana kabla moyo wampe YESU et... anampa mchumba wake,Hatari sana
SahihiIkiwa unataka kuwa na furaha, jifunze yafuatayo:
- Kujipenda
- Kujithamini
- Kujipa kipaumbele
- Kutoifikiria sana kesho
- Kuachana na yaliyopita
- Kufurahia yaliyopo
- Kukubali kuwa si kila mtu atakupenda