1. Nimekupenda ghafla.....Nijiandaeje ili nikuweke mchagoni?
2. Unazungumziaje huu mtandao usio rasmi waliounzisha watu kuwafanyia wadada ( i mean express yourself)
3. Vipi siku ukiamka na usikute kitumbua chako ...yaani kimepotea ghafla uta-react vipi?
loh.....
Toka umwagwe na CL ndo umekua mchezo wako huu?
leo nipo kwenye zinduna live talk show....host wangu nasikia yupo honeymoon ...
be free nitupieni swali lolote nipo hapa full time hadi saa kumi na mbili jioni
Sina nia mbaya.......halafu ufute kauli yako sikubwagwa nilibwaga ebo
Smile,naomba nikuoe please.Yaani jeans yako imetosha kunishawishi uwe wangu wa maisha.Sitakutesa.
loh.....
Toka umwagwe na CL ndo umekua mchezo wako huu?
mimi sipendi my dear hayo mambo ...napenda niwe na mmoja tu anayenipenda