zinduna talk show....smile ndani ya nyumba... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

zinduna talk show....smile ndani ya nyumba...

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Smile, Jul 13, 2012.

 1. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  leo nipo kwenye zinduna live talk show....host wangu nasikia yupo honeymoon ...
  be free nitupieni swali lolote nipo hapa full time hadi saa kumi na mbili jioni
   
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Heheheeeee ngoja nakuja
   
 3. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  uje na zinduna
   
 4. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Smile na Erickb52 nipo curious kidogo, hivi mmeomba ruhusa kwa Zinduna kweli? mbona kama mwachakachua kipindi chake? Ni hilo tu..
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ruhusa tunayo alinialika siku nyingi yeye kapata tatizo dogo but kipindi kipo hewani leo..
   
 6. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  mmh.. hapa kujipendelea kuuliza maswali lazima kuwepo. naomba nijibu haya;

  1. Umeolewa?
  2. Ni mwanaume wa aina gani anakuvutia?
  3. Unapima mafanikio katika maisha yako kwa kutumia vigezo vipi?
  4. Ni member gani wa jf mwenye ID ya kiume ambae anakuvutia sana (sio lazima kimapenzi)
  5. Ni member gani wa jf mwenye ID ya kike amabe anakuvutia sana?
  6. Kitu gani kwa mtazamo wako ambacho wanawake wanakosea sana katika maisha?
  7. Ukipewa nafasi na uwezo wa kuweza kurekebisha/badilisha katika maisha - ni nini utabadilisha?
  8. Hio avatar inaonesha ni msichana mrembo, umetumia vigezo gani kuweka hivo ilivo badala na sura pia?
  9. Are you happy?
   
 7. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Mdogo wangu Smile, host wewe mwenyewe na guest wewe pia?

  Kaa mpaka saa nne usiku ili nipate muda wa kukuuliza maswali; kwa muda ngoja nikatafute mkate wa watoto wangu walioko kwenye testis za Eiyer!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Ye amesema show yake inaisha saa 12 jioni na kesho ndio itakuweo show yenyewe baada ya kuwapa washiriki wa Weekend
  Siunajua Smile ni mdogo wake Zinduna
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45

  Eric acha ujanja, hebu soma swali langu uone kama umenijibu? lolz, jibu swali bana.. una copyrite? Mie ni mwanasheria hapa natafuta kazi, nitamtafuta Zinduna tufungue mashtaka ikionekana kuna mashaka. mwisho wa siku nitakuwa nimevuta kitita.

  Smile nishamuelewa na maswali nimeuliza.
   
 10. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #10
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  asante kwa maswali yako
  1--sijaolewa
  2--mweusi.mrefu..sio saana....awe na umbo la afya asiwe kimbaumbau...kiviile.. Wala asiwe tipwatipwa
  3---satisfaction moyoni mwangu
  4---@invisible
  5---hapo wengi mimi wanawake wote wananivutia humu
  6---nafasi ninayo na ndo hii kila siku ninaishi kwa kurekebisha kule nilikokosea ..naishi kwa ajili ya maisha yangu
  7----hii avatar ni picha yangu niliipiga hii picha siku iyo mama yangu alikuwa icu hapo ni hosptal kama unaweza kuiview vizuri...huwa inanikumbusha kwamba pamoja na mambo magumu tunayopitia katika maisha tuendelee kumtumainia mungu ..maana mama alitoka salama na nipo nae hadi leo
  8...nipo happy sio sana but namshukuru mungu ,,,
   
 11. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #11
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45

  Asante, nimevutiwa na majibu yako, kila la kheri... Ila tu hapo kwa wanaume sio utakuwa umekosea? Invisible naskia ni mwanamke.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  hata mimi nimesikia ni mwanaume
   
 13. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Erickb52 mi sijaelewa hapa inamaana ule usafiri aliougiza Bishanga sitaupanda?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #14
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Smile mtoto mzuri,je ulitolewa bikra ukiwa na umri gani? Je ni kitu gani unakipenda sana?
   
 15. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #15
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  bikra hadi sasa ninayo....ninapenda sana chakula kitamu ....
   
 16. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #16
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Bishanga hana usafiri wala nini kakuingiza mjini The secretary
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #17
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Wewe ni she au he
   
 18. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #18
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Teh copyrite mimi ninayo labda Smile kama hana
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #19
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Kama bado ipo hongera sana, je kwa sasa una umri gani?
   
 20. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #20
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mimi ni she mkuu
   
Loading...