Mr Mhando
Member
- Nov 2, 2018
- 21
- 34
Leo nimekaa nimemkumbuka baba mwenye nyumba yangu, kipindi nipo chuo huko mkoa Xy nilikuwa mlevi sana na baba mwenye nyumba yangu alikuwa ni mlevi sana, lakini walevi wastaarabu, tuliivana sana,
Sasa ilikuwa kila ikifika muda wa kodi lazima pesa nimpe siku ya ijumaa, nitamtegea muda yupo nyumbani nitaenda kununua bia 4 mbili zangu mbili zake basi namuita nje tunakunywa, then najifanya nina stress sana kisha nampa hela yake ya kodi, wakati huo nimeshampa kiu ya pombe,
Utasikia anasema john hebu twende hapo tukanywe moja moja, aisee tukitoka sasa nilikuwa nahakikisha kodi yangu naitumia vizuri kuna muda tunarudi hadi asubuhi yaani, ikawa ndio utaratibu wangu huo alikujaga akanistukia bana, 😂
Nimemis sana moment za kutumia kodi yangu