Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erickb52~~~~!

Hivi CUTE Kwanini hapa ulikuwa unaniangalia hivi?

attachment.php
nilikua namuonea huruma sana huyo bidada unavompiga kamba(fix) hapo
 
We si unajua bila fix huwa hamkubaligi?
ndio uanze kusema oohh obama kaka yangu,mengi ni mjomba wangu,alafu mm ndio nalimiki serena hotel ujue
alafu sipendi baba anavonilazimisha eti aninunulie jet wakati mm sitaki kabisa ...then unamgeukia eti we unaonaje au nimuambie anunue then nikupe wewe swt...hahhaha u made ma day
 
mimi napenda kujua;
1.sasa hivi yupo maeneo gani anafanya nini??
2.je Erickb52 unaweza kuungana nami hapa mtekenyo pub wkend hii?
kama majibu yako ni ndiyo basi karibu.

389609_3417612842328_571123435_n.jpg


Mia
 
Last edited by a moderator:
Hivi Bwana Erickb52 ulishawahi kula msuba?
Kama jibu ni hapana. Je unasubiria nini?
Swali kwa hisani ya wananchi wa Oldonyo..
 
Eric, naona ameandamwa sana na kagoma kutokea! Mi nimwulize tuu, amewahi kukwapua kitu sokoni?
 
Back
Top Bottom