Asprin na Zinduna hii pic ya mtoto mmenikumbusha utundu wangu wa utoto niliwahi kuchimba shimo na kumkalisha kwa kumfukia mchangani mpaka usawa kiuno, mdogo wangu aliyekuwa anatambaa na kutusimamisha kila tulivyokuwa tukicheza mateka.
Poa Mzee mwenzangu Bishanga. Umesikia kampeni ya watoto wa kiume a.k.a vijana wa JF? Wanasema sisi eti tumepitwa na wakati, kwahiyo mabinti wa JF wasitushobokee. Hawajui wazee ndo wenyewe kwenye kubembeleza na kulea. Hebu ambia kina Yummy, BADILI TABIA, CUTE, charminglady, Kaunga Prishaz, Amynerna Erotica wa come this way wapate madekezo bana.
Anasema wanamfanya ajione kama ana miaka 25.
BADILI TABIA
Sijawahi kufumwa live ila nimewahi bambwa na ndokudom kwenye bag
Sijawahi kuvinjari na jimama
sijawahi kukataa mimba hata moja
Sijawahi kumla bosi wangu coz naogopa memo
Kumcheat Amyner nimewahi na wafuatao
Erotica Madame B TaiJike Remmy Kipipi BADILI TABIA Kongosho na Yummy ambaye ndo kanichelewesha kwenye show
' its over mimi na erick'
Source: Amyner
Nakupenda wewe kwa kuwa
unatunza kumbukumbu.
Sasa toto zuri kama hili, BADILI TABIA utaliacha lioshe vyombo? Acheni nilee banaMbona sura umeivuta kama unaonewa wakati uliyataka mwenyewe?