Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Aunt Lizzy~~~~!

Maskini, my wi Lizzy hajaonekana jamvini kwa muda sasa, sijui yuko wapi.

Ikifika saa 15:00 hajaja naanza kumjibia maana mie na wifi yangu hatufichani.

Hahahahah. . .wifi unataka useme mpaka yasiyosemeka?
 
Last edited by a moderator:
Bi Zinduna asante sana kwa kunikaribisha kwenye kipindi, na naomba radhi sana kwa kuchelewa maana kipindi kilianza bila mie kuwa nimewasili. Sasa maana muda umeenda naomba nijibu maswali yako haraka haraka kama watazamaji hawajahamia TiBiSii.

Koh koh. . .
Ahsante sana aunt Lizzy kwa majibu mazuri, lakini pia kuna maswali ya wana JF wenzako hapo juu ni vyme aukayapitia na kuyapatia majibu yako.
Kwa muda huu wakati ukiyapitia maswali hayo, ngoja tuwasikilize wadhamini wetu:

Last edited by a moderator:
Da Lizzy, Asante kwa majibu yako ya kina kifupi!

Niña maswali la nyongeza.
-kwa kuwa umesema haujawahi kumastabeti; vipi huwa unaota?
-je huyo naniliu, umeshawahi kumvuta kwenye hisia ili kurahisisha 'ujaji' wako ukiwa na karent boyifurendi wako?

Ni hayo tu, haya maswali nimetipiwa na Kongosho na wala si Bishanga!
 
Last edited by a moderator:
wakati tukiendelea kuwasubiri kina Bishanga , Erickb52 , The Boss , The Finest , Mamndenyi , Preta , Roulette AshaDii , Cantalisia , Kipipi , Smile , Madame B , Bujibuji , ndyoko , gambachovu , Mtambuzi , TaiJike , na wengineo waje na maswali yao hapa, ninayo maswali ningependa kukuuliza:

Je huwa unatumia muda wako wa ziada kufanya nini?
Je ni mwana JF gani au wana JF gani ambao usipowaona mtandaoni kwa siku kadhaa unapata fadhaa?
je ni kitu gani au jambo gani kila ukilisikia au kuliona huwa unasononeka sana?

Ngoja nikupe muda uyajibu haya maswali matatu kwanza
 
Wifi ujibu swali la '# of boifrendiz', manake naona kongosho nae wifi-shemeji wako, Bishanga anaongelea ratiba ya kuoga!

Nilikuonya sie tuna wivu ukoo mzima! Kaka anakuangaliaa hapa kwa scrini seva!
 
Wifi ujibu swali la '# of boifrendiz', manake naona kongosho nae wifi-shemeji wako, Bishanga anaongelea ratiba ya kuoga!

Nilikuonya sie tuna wivu ukoo mzima! Kaka anakuangaliaa hapa kwa scrini seva!
Bi dada King'asti nautambua uwepo wako katika mahojiano haya, ahsante kwa kuja
 
Last edited by a moderator:
hey sisy Lizzy umeshawahi fikiria kugombea nafasi ya kisiasa tz?je huwa unaepukaje hizi kero za BISHANGA.3: eti mumeo mpiga debe pale ARUSHA hii ni LE BISHANGA LE BISHAIJA KASEMA
 
mimi swali langu kwa Lizzy ni kuhusu orodha yake ya 'aliowahi kuwa na crush nao hapa jf'..

nimeisubiri wee lakini wapi.....lol

nataka nichungulie kuona nipo au sipo lol
 
Lizzy ni mentor wangu...
Ila naomba anijibu swali moja,je ana uzito wa Kg ngapi?
Thanks go to you Zinduna
 
Last edited by a moderator:
Kwanza namshukuru bi Zinduna kwa kutupa fursa hii ya kumjua Lizzy kwa undandi (no pun intended). Nina masuali mawili, ajibu in no particular order ila ajibu zote, ikibidi afafanue kwa mifano au picha.
1. Wewe ni msagaji hapo Unga limited? I mean, what is your position?
2. Mnasaga unga gani? Chapati ama?
Asante kwa majibu.
 
Da Lizzy, Asante kwa majibu yako ya kina kifupi!

Niña maswali la nyongeza.
-kwa kuwa umesema haujawahi kumastabeti; vipi huwa unaota?
-je huyo naniliu, umeshawahi kumvuta kwenye hisia ili kurahisisha 'ujaji' wako ukiwa na karent boyifurendi wako?

Ni hayo tu, haya maswali nimetipiwa na Kongosho na wala si Bishanga!

Hahahahhaha. .

Kaunga mie hua naota ndoto za pesa tu mamaake. . .hayo mengine kama yaweza fanywa kweli kwanini nisumbuke nayo ndotoni?

2. Heheheheh hapana, nanii hua ananikaa akilini nikiwa JF tu. . .nikitoka naye anasahaulika narudi zangu 'RealVille' kwa mupenzi.

Wifi ujibu swali la '# of boifrendiz', manake naona kongosho nae wifi-shemeji wako, Bishanga anaongelea ratiba ya kuoga!

Nilikuonya sie tuna wivu ukoo mzima! Kaka anakuangaliaa hapa kwa scrini seva!
Hahahahah wifi umesahau kwamba sio wote wapendao kaka yako afaidi? Umesahau kua Bishanga anasifika kwa uchonganishi? Ye hata nikipost huku nimekumbatiwa na kaka yako bado haoni tabu kusema sijui ndo ananipeleke shopping and what not King'asti.

Konnie yeye hana shida, aliwahi kuwa wifi enzi hizoooooo basi mpaka leo hawezi kuniita vinginevyo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom