Zinaa katika uislamu....

Zinaa katika uislamu....

Unataka kujua nikah mutah ? Alafu hapo hapo Unafanya kwa mtazamo wa kikristo!! Wakati ukristo na uislamu vimeachana Mbali. Hapo bado unaona ni sawa??

Nope! Umeelewa tofauti na nilivyokusudia ieleweke. Nimenukuu tu alichokisema sheikh niliemsikia (na hivyo kunifanya nikaanzisha thread hii). Ni yeye aliesema "kuamini kuwa nikah mut'ah ni zinaa ni sawa na kutafsiri ndoa na zinaa kwa mtazamo wa Kikristo".
 
Good. Umejionea mwenyewe hiyo aya.
Kama nilivyokwambia hiyo aya imeqotiwa na washia ili kuendeleza kile walichotaka kujihalalishia, lakini ukiisoma aya nzima ni kua ilikatazwa tayari.

MARRIAGE
Mujahid stated that,
﴿ فَمَا ٱسۡتَمۡتَعۡتُم بِهِۦ مِنۡہُنَّ فَـَٔاتُوهُنَّ أُجُورَهُنَّ فَرِيضَةً۬‌ۚ ﴾
(So with those among them whom you have enjoyed, give them their required due,) was revealed about the Mut`ah marriage. A Mut`ah marriage is a marriage that ends upon a predetermined date. In the Two Sahihs, it is recorded that the Leader of the Faithful `Ali bin Abi Talib said, "The Messenger of Allah prohibited Mut`ah marriage and eating the meat of domesticated donkeys on the day of Khaybar (battle).'' In addition, in his Sahih, Muslim recorded that Ar-Rabi` bin Sabrah bin Ma`bad Al-Juhani said that his father said that he accompanied the Messenger of Allah during the conquest of Makkah, and that the Prophet said,
« يَا أَيُّهَا النَّاسُ إِنِّي كُنْتُ أَذِنْتُ لَكُمْ فِي الاسْتِمْتَاعِ مِنَ النِّسَاءِ، وَإنَّ اللهَ قَدْ حَرَّمَ ذَلِكَ إِلى يَوْمِ الْقِيَامَةِ، فَمَنْ كَانَ عِنَدَهُ مِنْهُنَّ شَيْءٌ فَلْيُخَلِّ سَبِيلَهُ، وَلَا تَأْخُذُوا مِمَّا آتَيْتُمُوهُنَّ شيئًا »
(O people! I allowed you the Mut`ah marriage with women before. Now, Allah has prohibited it until the Day of Resurrection. Therefore, anyone who has any women in Mut`ah, let him let them go, and do not take anything from what you have given them.) Allah's statement,
﴿ وَلَا جُنَاحَ عَلَيۡكُمۡ فِيمَا تَرَٲضَيۡتُم بِهِۦ مِنۢ بَعۡدِ ٱلۡفَرِيضَةِ‌ۚ

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
 
angalia Waarabu walivyotafsir katika Kamusi zao
Hawa ni wenye Lugha yao

معاصر ،الرائد ،لسان العرب ،القاموس المحيط. قاموس عربي عربي

أُجورهُنًّ :

مهورهن
سورة : المائدة ، آية رقم : 5

المعجم: كلمات القران

أجورهنّ :

مهورهنّ
سورة : النساء ، آية رقم : 24

المعجم: كلمات القران

أجورهنّ :

مُهورهنّ
سورة : الممتحنة ، آية رقم : 10

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pili

Jambo la Mut-a lipo kwa Mashia

Na Mashia sio Waislam
kwann unataka kulazimisha jambo ambalo halipo ndani ya Uislam

Kisha

Nimekupa Dalili,kwa Mut-a,imeharamishwa Kisheria

kwa maneno ya Mtume wetu
Kwann ww unalazimisha kuwa Halali?!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
MARRIAGE
Mujahid stated that,
﴿ فَمَا ٱسۡتَمۡتَعۡتُم بِهِۦ مِنۡہُنَّ فَـَٔاتُوهُنَّ أُجُورَهُنَّ فَرِيضَةً۬‌ۚ ﴾
(So with those among them whom you have enjoyed, give them their required due,) was revealed about the Mut`ah marriage. A Mut`ah marriage is a marriage that ends upon a predetermined date. In the Two Sahihs, it is recorded that the Leader of the Faithful `Ali bin Abi Talib said, "The Messenger of Allah prohibited Mut`ah marriage and eating the meat of domesticated donkeys on the day of Khaybar (battle).'' In addition, in his Sahih, Muslim recorded that Ar-Rabi` bin Sabrah bin Ma`bad Al-Juhani said that his father said that he accompanied the Messenger of Allah during the conquest of Makkah, and that the Prophet said,
« يَا أَيُّهَا النَّاسُ إِنِّي كُنْتُ أَذِنْتُ لَكُمْ فِي الاسْتِمْتَاعِ مِنَ النِّسَاءِ، وَإنَّ اللهَ قَدْ حَرَّمَ ذَلِكَ إِلى يَوْمِ الْقِيَامَةِ، فَمَنْ كَانَ عِنَدَهُ مِنْهُنَّ شَيْءٌ فَلْيُخَلِّ سَبِيلَهُ، وَلَا تَأْخُذُوا مِمَّا آتَيْتُمُوهُنَّ شيئًا »
(O people! I allowed you the Mut`ah marriage with women before. Now, Allah has prohibited it until the Day of Resurrection. Therefore, anyone who has any women in Mut`ah, let him let them go, and do not take anything from what you have given them.) Allah's statement,
﴿ وَلَا جُنَاحَ عَلَيۡكُمۡ فِيمَا تَرَٲضَيۡتُم بِهِۦ مِنۢ بَعۡدِ ٱلۡفَرِيضَةِ‌ۚ

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
 
Kama nilivyokwambia hiyo aya imeqotiwa na washia ili kuendeleza kile walichotaka kujihalalishia, lakini ukiisoma aya nzima ni kua ilikatazwa tayari.

MARRIAGE
Mujahid stated that,
﴿ فَمَا ٱسۡتَمۡتَعۡتُم بِهِۦ مِنۡہُنَّ فَـَٔاتُوهُنَّ أُجُورَهُنَّ فَرِيضَةً۬‌ۚ ﴾
(So with those among them whom you have enjoyed, give them their required due,) was revealed about the Mut`ah marriage. A Mut`ah marriage is a marriage that ends upon a predetermined date. In the Two Sahihs, it is recorded that the Leader of the Faithful `Ali bin Abi Talib said, "The Messenger of Allah prohibited Mut`ah marriage and eating the meat of domesticated donkeys on the day of Khaybar (battle).'' In addition, in his Sahih, Muslim recorded that Ar-Rabi` bin Sabrah bin Ma`bad Al-Juhani said that his father said that he accompanied the Messenger of Allah during the conquest of Makkah, and that the Prophet said,
« يَا أَيُّهَا النَّاسُ إِنِّي كُنْتُ أَذِنْتُ لَكُمْ فِي الاسْتِمْتَاعِ مِنَ النِّسَاءِ، وَإنَّ اللهَ قَدْ حَرَّمَ ذَلِكَ إِلى يَوْمِ الْقِيَامَةِ، فَمَنْ كَانَ عِنَدَهُ مِنْهُنَّ شَيْءٌ فَلْيُخَلِّ سَبِيلَهُ، وَلَا تَأْخُذُوا مِمَّا آتَيْتُمُوهُنَّ شيئًا »
(O people! I allowed you the Mut`ah marriage with women before. Now, Allah has prohibited it until the Day of Resurrection. Therefore, anyone who has any women in Mut`ah, let him let them go, and do not take anything from what you have given them.) Allah's statement,
﴿ وَلَا جُنَاحَ عَلَيۡكُمۡ فِيمَا تَرَٲضَيۡتُم بِهِۦ مِنۢ بَعۡدِ ٱلۡفَرِيضَةِ‌ۚ

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.

Okay; kwa hiyo kuna hadith iliyoharamisha japo kwenye Qur'an haipo (na ndio asili ya Washia kuendelea nayo mut'ah). Well and good
 
Nope! Umeelewa tofauti na nilivyokusudia ieleweke. Nimenukuu tu alichokisema sheikh niliemsikia (na hivyo kunifanya nikaanzisha thread hii). Ni yeye aliesema "kuamini kuwa nikah mut'ah ni zinaa ni sawa na kutafsiri ndoa na zinaa kwa mtazamo wa Kikristo".
Jombaa hiyo Nikah sijui Mutaah ilishapigwa ban kitambo mno..... nadhani ushahidi nishakutafutia na wewe unaweza kuutafuta ili uridhike zaidi,
NOTE: Unapotafuta info hakikisha upo kwenye right site, sasa kama unatafuta info kwenye sites za mashia unategemea nini lakini pia hiyo link yako kama umeisoma vizuri inajieleza kabisa na watu gani wanayoiperfom hiyo ndoa na watu gani wameikataa sasa sijui kwanini hukuliona hilo kabla.

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
 
Aya zote zinatambulika kwa namba ya aya yenyewe na sura itakapo. Hii yako isiyo na namba umeipata wapi, au umeshushiwa peke yako na hivyo unatuletea sasa?
Mshenzi wewe,nia yako ni kukashifu mjaa laana wewe.
uislamu una njia kuu mbili za mafundisho.
1.Qurani.
2.Hadithi(mwenendo/utaratibu/vitendo/maneno aliyosema Mtume Muhammad SAW).

Sasa wewe unaambiwa hiyo ni hadithi ya mtume wewe hutaki kukubali na unadai aya.
Wewe si muislami na huujui uislamu,unafundishwa na waislamu wenyewe unakataa,maana yake ni nini kama siyo kukashifu ?
Ulianza vizuri sana hapo mwanzo kwa kuuliza swali ambalo ni la msingi sana watu kufahamu na nadhani wengi walikuwa hawafahamu.
Unaquote aya fupi ili kuleta maana unayoitaka wewe.
Naomba Allah akulaani na akuingize motoni,
panya wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okay; kwa hiyo kuna hadith iliyoharamisha japo kwenye Qur'an haipo (na ndio asili ya Washia kuendelea nayo mut'ah). Well and good
Ukishawasoma mashia wala hawatakupa tabu wenzio wana hadi Msahafu wao, kama watu wanajikata kata na majambia utasema wana akili hao?
Kuna mtu aliniletea Msahafu una picha ya mzee mmoja ana ndevu kama brash ya chachandu, the guy alikua shocked inakuaje kitabu cha dini kikawa na picha ya mtu kuja kukisoma vizuri ni mashia hahaha wameweka picha ya mtafsiri wao kama shukran zao kwake.... sasa kama mtu huwajui unaweza ukaongea maneno mengi sana.

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
 
Ni vibaya na hiari hiyo ninayo kwa sababu hilo jambo lilishakatazwa tayari na Mtume wa Allah kwa maana lilikuwepo kisha akalikataza.

Sasa sio kwamba sina hiari tu,bali ni lazima kusema kwamba hilo jambo limekatazwa na mtume na hakuruhusu mpaka kufa kwake.

Sikatai kwamba liliruhusiwa na mwenyewe mtumee,lakini akalikataza baadaye ikawa haramu moja kwa moja,kama ambavyo ilikatazwa pombe na vitu mfano wa hivyo.

Kosa langu liko wapi?
Mpaka hapa nawashukuru sana Safuha na Mfiaukweli kwa mahojiano yenu. Nimenufaika!!
====
Safuha, nikilejea maelezo yako kuwa ruhusa ya ndoa ya mkataba ilitolewa na Mtume (S.A.W) kwa sababu maalumu (vita) kwa sababu ya kukaa muda mrefu nje ya familia na baadaye alikataza (labda baada ya vita kuisha... [naomba maelezo ya ziada sababu ya kusitisha ruhusa hiyo ]).

Je. huoni kuwa sasa ni muda muafaka kurejea ruhusa hiyo kwani siku hizi kuna vita mbali mbali zinazowafanya waumini /wafuasi wa dini wana kuwa mbali na familia zao kwa muda mrefu!? Mfano, kuna vita za ugaidi miaka zaidi ya kumi na tano bado haijaisha.

Pia kuna vita ya kiuchumi watu wako kwenye misheni za vita hii kwa muda mrefu sana tena wengine karibu umri wao wote wa ujana wako kwenye vita hii na hili linaoneka katika familia nyingi hata hapa nchini. Unakuta mama anapigana vita ya kiuchumi Lindi baba anapigana vita ya kiuchumi Kagera ama Baba yupo Katavi vitani mama yupo Tanga ama Kilimanjaro naye anapigana vita ya uchumi kuinusuru familia.... Tena wengine unakuta, Baba yupo Marylland /Detriot (US) na mama yupo Msasani ama Bunju (Tanzania) wote wanapigana vita ya kiuchumi kuinusuru familia!!!

Katika Mazingira haya, huoni kuna haja ya kurejea ruhusa ya ndoa ya mkataba?
 
Mshenzi wewe,nia yako ni kukashifu mjaa laana wewe.
uislamu una njia kuu mbili za mafundisho.
1.Qurani.
2.Hadithi(mwenendo/utaratibu/vitendo/maneno aliyosema Mtume Muhammad SAW).

Sasa wewe unaambiwa hiyo ni hadithi ya mtume wewe hutaki kukubali na unadai aya.
Wewe si muislami na huujui uislamu,unafundishwa na waislamu wenyewe unakataa,maana yake ni nini kama siyo kukashifu ?
Ulianza vizuri sana hapo mwanzo kwa kuuliza swali ambalo ni la msingi sana watu kufahamu na nadhani wengi walikuwa hawafahamu.
Unaquote aya fupi ili kuleta maana unayoitaka wewe.
Naomba Allah akulaani na akuingize motoni,
panya wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza hasira kaka mkubwa, hapa tunajadiliana kwa upole tu mpaka ifike hitimisho.
Na tayari swali lake limeshapata jibu labda kama akiamua kutokukubali tu.

MARRIAGE
Mujahid stated that,
﴿ فَمَا ٱسۡتَمۡتَعۡتُم بِهِۦ مِنۡہُنَّ فَـَٔاتُوهُنَّ أُجُورَهُنَّ فَرِيضَةً۬‌ۚ ﴾
(So with those among them whom you have enjoyed, give them their required due,) was revealed about the Mut`ah marriage. A Mut`ah marriage is a marriage that ends upon a predetermined date. In the Two Sahihs, it is recorded that the Leader of the Faithful `Ali bin Abi Talib said, "The Messenger of Allah prohibited Mut`ah marriage and eating the meat of domesticated donkeys on the day of Khaybar (battle).'' In addition, in his Sahih, Muslim recorded that Ar-Rabi` bin Sabrah bin Ma`bad Al-Juhani said that his father said that he accompanied the Messenger of Allah during the conquest of Makkah, and that the Prophet said,
« يَا أَيُّهَا النَّاسُ إِنِّي كُنْتُ أَذِنْتُ لَكُمْ فِي الاسْتِمْتَاعِ مِنَ النِّسَاءِ، وَإنَّ اللهَ قَدْ حَرَّمَ ذَلِكَ إِلى يَوْمِ الْقِيَامَةِ، فَمَنْ كَانَ عِنَدَهُ مِنْهُنَّ شَيْءٌ فَلْيُخَلِّ سَبِيلَهُ، وَلَا تَأْخُذُوا مِمَّا آتَيْتُمُوهُنَّ شيئًا »
(O people! I allowed you the Mut`ah marriage with women before. Now, Allah has prohibited it until the Day of Resurrection. Therefore, anyone who has any women in Mut`ah, let him let them go, and do not take anything from what you have given them.) Allah's statement,
﴿ وَلَا جُنَاحَ عَلَيۡكُمۡ فِيمَا تَرَٲضَيۡتُم بِهِۦ مِنۢ بَعۡدِ ٱلۡفَرِيضَةِ‌ۚ

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
 
Chief
tatizo ni nini?!

Amtazamaye mwanamke kwa kumtamani anakuwa keshazini nae. So, uzi wowote wenye demu mkali ukiuangalia kwa tamaa ushazini na adhabu ni sawa na aliyegegeda live!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka hapa nawashukuru sana Safuha na Mfiaukweli kwa mahojiano yenu. Nimenufaika!!
====
Safuha, nikilejea maelezo yako kuwa ruhusa ya ndoa ya mkataba ilitolewa na Mtume (S.A.W) kwa sababu maalumu (vita) kwa sababu ya kukaa muda mrefu nje ya familia na baadaye alikataza (labda baada ya vita kuisha... [naomba maelezo ya ziada sababu ya kusitisha ruhusa hiyo ]).

Je. huoni kuwa sasa ni muda muafaka kurejea ruhusa hiyo kwani siku hizi kuna vita mbali mbali zinazowafanya waumini /wafuasi wa dini wana kuwa mbali na familia zao kwa muda mrefu!? Mfano, kuna vita za ugaidi miaka zaidi ya kumi na tano bado haijaisha.

Pia kuna vita ya kiuchumi watu wako kwenye misheni za vita hii kwa muda mrefu sana tena wengine karibu umri wao wote wa ujana wako kwenye vita hii na hili linaoneka katika familia nyingi hata hapa nchini. Unakuta mama anapigana vita ya kiuchumi Lindi baba anapigana vita ya kiuchumi Kagera ama Baba yupo Katavi vitani mama yupo Tanga ama Kilimanjaro naye anapigana vita ya uchumi kuinusuru familia.... Tena wengine unakuta, Baba yupo Marylland /Detriot (US) na mama yupo Msasani ama Bunju (Tanzania) wote wanapigana vita ya kiuchumi kuinusuru familia!!!

Katika Mazingira haya, huoni kuna haja ya kurejea ruhusa ya ndoa ya mkataba?
Vita ya kiuchumi??????oa wanne unaruhusiwa na ni sunna......mtaarifu mkeo aliyembali huko kwamba unaoa mke wa pili....sio kwa muda lakini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshenzi wewe,nia yako ni kukashifu mjaa laana wewe.
uislamu una njia kuu mbili za mafundisho.
1.Qurani.
2.Hadithi(mwenendo/utaratibu/vitendo/maneno aliyosema Mtume Muhammad SAW).

Sasa wewe unaambiwa hiyo ni hadithi ya mtume wewe hutaki kukubali na unadai aya.
Wewe si muislami na huujui uislamu,unafundishwa na waislamu wenyewe unakataa,maana yake ni nini kama siyo kukashifu ?
Ulianza vizuri sana hapo mwanzo kwa kuuliza swali ambalo ni la msingi sana watu kufahamu na nadhani wengi walikuwa hawafahamu.
Unaquote aya fupi ili kuleta maana unayoitaka wewe.
Naomba Allah akulaani na akuingize motoni,
panya wewe

Sent using Jamii Forums mobile app

Duh! Naona umechemka kweli kweli. Well; siwezi kulaanika mie na Allah, kwanza hawezi na hana sababu. Hata Qur'an inathibitisha. Soma Surah 2:62.

Ila pamoja na hilo; SITAKI kwenda kwenye jannah kama kwenda huko ni kufanyiwa haya yaliyoandikwa hapa (ila ukihiari kwenda huko kila la heri na uende salama):

It was narrated from Abu Umamah that the Messenger of Allah (ﷺ) said:
“There is no one whom Allah will admit to Paradise but Allah will marry him to seventy-two wives, two from houris and seventy from his inheritance from the people of Hell, all of whom will have desirable front passages and he will have a male member that never becomes flaccid (i.e., soft and limp).’”

HATA KAMA MNADAI NAKASHFU; NDIO HIVI JAMENI???
 
Punguza hasira kaka mkubwa, hapa tunajadiliana kwa upole tu mpaka ifike hitimisho.
Na tayari swali lake limeshapata jibu labda kama akiamua kutokukubali tu.

MARRIAGE
Mujahid stated that,
﴿ فَمَا ٱسۡتَمۡتَعۡتُم بِهِۦ مِنۡہُنَّ فَـَٔاتُوهُنَّ أُجُورَهُنَّ فَرِيضَةً۬‌ۚ ﴾
(So with those among them whom you have enjoyed, give them their required due,) was revealed about the Mut`ah marriage. A Mut`ah marriage is a marriage that ends upon a predetermined date. In the Two Sahihs, it is recorded that the Leader of the Faithful `Ali bin Abi Talib said, "The Messenger of Allah prohibited Mut`ah marriage and eating the meat of domesticated donkeys on the day of Khaybar (battle).'' In addition, in his Sahih, Muslim recorded that Ar-Rabi` bin Sabrah bin Ma`bad Al-Juhani said that his father said that he accompanied the Messenger of Allah during the conquest of Makkah, and that the Prophet said,
« يَا أَيُّهَا النَّاسُ إِنِّي كُنْتُ أَذِنْتُ لَكُمْ فِي الاسْتِمْتَاعِ مِنَ النِّسَاءِ، وَإنَّ اللهَ قَدْ حَرَّمَ ذَلِكَ إِلى يَوْمِ الْقِيَامَةِ، فَمَنْ كَانَ عِنَدَهُ مِنْهُنَّ شَيْءٌ فَلْيُخَلِّ سَبِيلَهُ، وَلَا تَأْخُذُوا مِمَّا آتَيْتُمُوهُنَّ شيئًا »
(O people! I allowed you the Mut`ah marriage with women before. Now, Allah has prohibited it until the Day of Resurrection. Therefore, anyone who has any women in Mut`ah, let him let them go, and do not take anything from what you have given them.) Allah's statement,
﴿ وَلَا جُنَاحَ عَلَيۡكُمۡ فِيمَا تَرَٲضَيۡتُم بِهِۦ مِنۢ بَعۡدِ ٱلۡفَرِيضَةِ‌ۚ

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.

Wote wangekuwa sober-minded kama wewe mbona majadiliano yangekuwa murua kila siku! Tatizo kuna wengi miongoni mwetu huchukulia kama ugomvi pale inapotokea mtu akawa na mtazamo tofauti.
 
Vita ya kiuchumi??????oa wanne unaruhusiwa na ni sunna......mtaarifu mkeo aliyembali huko kwamba unaoa mke wa pili....sio kwa muda lakini

Sent using Jamii Forums mobile app
Vita nyingine ya kiuchumi inakulazimu uwe unasafiri karibu zaidi ya maeneo sita kabla ya kurudi makao makuu ya familia; na hizo sehemu unaweza ukawa ukaa zaidi ya wiki tatu sehemu mmoja kabla ya kwenda nyingine. Mzunguko huu wa hizi sehemu waweza kuwa unajirudia mwaka mzima!!! Vita ya kiuchumi ni ngumu sana.

Sasa mpiganaji huyu wa vita ya kiuchumi aoe wanawake sita! Hapana, dini hairuhusu mwisho ni wa nne. Na Je. Mizunguko hii kama inamkabili mpiganaji wa kike, hali inakuwaje, yaani mpiganaji huyu wa kike afanyeje !?
 
Back
Top Bottom