Ahahahahaaaahahhahhaaha najua wanaokota huko wanamsingizia bukhariMshereheshaji mwenyewe ni MSHIA
Muongo asie na mfano katika Dunia hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka hapa Aya mzima ya hiyomy own book!!According to your own books. Nauliza tena, wapi nimeandika UONGO???
Ni UONGO kwa sababu, hiyo Quran 4:24 hivi ndivyo inasema:Hii hapa;
'So those of them [women] whom you enjoy, give to them their appointed wages' (4:24).
PICKTHALL TRANSLATION:-And [also prohibited to you are all] married women except those your right hands possess. [This is] the decree of Allah upon you. And lawful to you are [all others] beyond these, [provided] that you seek them [in marriage] with [gifts from] your property, desiring chastity, not unlawful sexual intercourse. So for whatever you enjoy [of marriage] from them, give them their due compensation as an obligation. And there is no blame upon you for what you mutually agree to beyond the obligation. Indeed, Allah is ever Knowing and Wise.
YUSUFU ALI TRANSLATION:-And all married women (are forbidden unto you) save those (captives) whom your right hands possess. It is a decree of Allah for you. Lawful unto you are all beyond those mentioned, so that ye seek them with your wealth in honest wedlock, not debauchery. And those of whom ye seek content (by marrying them), give unto them their portions as a duty. And there is no sin for you in what ye do by mutual agreement after the duty (hath been done). Lo! Allah is ever Knower, Wise.
SHAKIR TRANSLATION:-Also (prohibited are) women already married, except those whom your right hands possess: Thus hath Allah ordained (Prohibitions) against you: Except for these, all others are lawful, provided ye seek (them in marriage) with gifts from your property,- desiring chastity, not lust, seeing that ye derive benefit from them, give them their dowers (at least) as prescribed; but if, after a dower is prescribed, agree Mutually (to vary it), there is no blame on you, and Allah is All-knowing, All-wise.
MUHAMMAD SARWAT TRANSLATION:-And all married women except those whom your right hands possess (this is) Allah's ordinance to you, and lawful for you are (all women) besides those, provided that you seek (them) with your property, taking (them) in marriage not committing fornication. Then as to those whom you profit by, give them their dowries as appointed; and there is no blame on you about what you mutually agree after what is appointed; surely Allah is Knowing, Wise.
SWAHILI TRANSLATION:-You are forbidden to marry married women except your slave-girls. This is the decree of God. Besides these, it is lawful for you to marry other women if you pay their dower, maintain chastity and do not commit indecency. If you marry them for the appointed time you must pay their dowries. There is no harm if you reach an understanding among yourselves about the dowry, God is All-knowing and All-wise.
Hizo zote hizo ni Aya za Quran 4:24 na sio article citation from Google! Nimekupa 6 different TRANSLATIONS na kote huko sijaona hayo unayodai Quran kwamba:Na pia (mmeharimishiwa) wanawake wenye kuolewa, isipokuwa wale iliyowamiliki mikono yenu ya kuume. Ndiyo sheria ya Mwenyezi Mungu juu yenu. Na mmehalalishiwa (kuoa wanawake) minghairi ya hao, kwamba mwatafute kwa mali zenu, kwa kuwaoa bila ya kufanya zinaa, Na kwa ajili ya faida mnayoipata kwao, basi wapeni mahari zao zilizolazimishwa; wala si vibaya kwenu katika yale mliyoridhiana baada ya (kutoa) mahari. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi,
Mwenye hekima.
Sasa kama sio muongo, hayo maneno umeyatoa wapi?!Hii hapa;
'So those of them [women] whom you enjoy, give to them their appointed wages' (4:24).
We nawe masoud huo sasa ubishi
Umeelewa sasa leta hadithi(Nukuu) , sio maneno ya mshereheshaji, hao washereheshaji ndio wamesababisha mpaka leo kuna wakatoliki, wasabato na walokole, maandiko yana tafsiri nyingi kwa namna ya alietafasiri anavyoona , ndio maana nataka hadithi OG sio maelezo overWe nawe masoud huo sasa ubishi
acha uhuniSoma sahihi bukhari juzuu 6 uk 127 na sahihi bukhari juzuu 5 uk 160
Kuna tafsiri ya upotoshaji na inayotoka nje ya muktadha wa aya hii ya Qur’an kuhusiana na kadhia ya kumuendea mke katika njia nyingine. “Wake zenu ni kama konde zenu. Basi ziendeeni konde zenu mpendavyo. Na zitangulizieni (wema) nafsi zenu; na mcheni Mwenyezi Mungu, na jueni kwamba mtakutana naye, na wapashe habari njema walioamini.” (2:223)![]()
Soma hiyo.![]()
Ahahahahaaaahahhahhaaha uongo hauna maisha marefu, leta hadithi humu tumalizaneSoma sahihi bukhari juzuu 6 uk 127 na sahihi bukhari juzuu 5 uk 160
acha uhuni
Tuma hapa,ili sote tusome
Kwani tunafanya mjadala mimi na ww tu private?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahahaaaahahhahhaaha maelezo kaleta mbio mbio , lakini hadithi anazungukaacha uhuni
Tuma hapa,ili sote tusome
Kwani tunafanya mjadala mimi na ww tu private?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna tafsiri ya upotoshaji na inayotoka nje ya muktadha wa aya hii ya Qur’an kuhusiana na kadhia ya kumuendea mke katika njia nyingine. “Wake zenu ni kama konde zenu. Basi ziendeeni konde zenu mpendavyo. Na zitangulizieni (wema) nafsi zenu; na mcheni Mwenyezi Mungu, na jueni kwamba mtakutana naye, na wapashe habari njema walioamini.” (2:223)
Aya hii inaashiria mikao mbalimbali ambayo wanandoa wanaweza kuendeana kwayo wakati wa kukutana kiunyumba ambapo inaruhusiwa kwao kukaa vyovyote maadam tu jimai ifanyikie ukeni na si kwenye njia nyingine.
Mafuqaha wengi wametafsiri maneno ‘kuliendea konde’ kama ni kupanda mbegu za uzazi kwa mwanamke kama mkulima anavyopanda mbegu shambani.
Hivyo, kuliendea konde mtu apendavyo hakuna maana ya kutupa mbegu sehemu nyingine nje ya shamba. Njia nyingine ya maumbile haiwezi kuwa konde kwa sababu yenyewe haioteshi au haileti mazao.
"ᴮᵉˡⁱᵉᵛᵉ ʸᵒᵘ ᶜᵃⁿ ᵃⁿᵈ ʸᵒᵘ'ʳᵉ ʰᵃˡᶠʷᵃʸ ᵗʰᵉʳᵉ"
Mkuu kuambiwa mashia waongo kuna tatizo gani ? mbona hata wakatoliki wanasema wasabato sio WAKRISTO, unajua kwanini ? ukilijua hilo ata hili la mashia alitakupa tabu , hao mashia ni waongo overMbona mnakimbia hoja sasa.
Nukuu mnaikataaa
Mara hao mashia waongo kuliko wote dunian
Sasa mnatuaminisha kwamba waislamu mpo sambuli nyingi
Waongo
Wafiraji kwa mjibu wa vitabu vyenu quran 2:223 na hadhithi yake.
Wasio wafiraji kwa mjibu wa matashi yao
Mbona mnakimbia hoja sasa.
Nukuu mnaikataaa
Mara hao mashia waongo kuliko wote dunian
Sasa mnatuaminisha kwamba waislamu mpo sambuli nyingi
Waongo
Wafiraji kwa mjibu wa vitabu vyenu quran 2:223 na hadhithi yake.
Wasio wafiraji kwa mjibu wa matashi yao
Sisi tukiwakataa mashia wanakua wakali, lakini wasabato wakisema wakatoliki ni waabudu masanamu kimyaaa, wakatoliki wakisema wasabato sio WAKRISTO wamedanganywa na yule mama hellen kimyaaaa, wakisema mashahidi wa yehova wamepotoka kimya, yaani awa wanakumbuka ya mashia wanasahau ya kwao, hili ni tatizo suguWao hawataki haya
Wao na Mashia ni Baba mmoja Mama mmoja,ila hawajuani
Neno la Kiarabu
أنى
lina maana ya
كيفية
Namna/Style
ila kwakuwa,hawapo kusaka ukweli
wapo kushindana
Basi kuna hati hati,ya kutoa amini,mpaka mwisho wa uhai wao
Wao wapo katika ajira ya kupoteza jamii
na si kufundisha jamii
Sent using Jamii Forums mobile app
Usianze kashifa kwa sababu huna ubavu wa kui-defend bible! Watu tulikuwa tunakupuuza kwa sababu unaonekana umedandia treni kwa mbele kwa kutojua mada inahusu nini hasa! Sasa unasema Quran inaruhusu kufi'ra, unaweza kutuambia kwenmu wangapi mmef'irwa na Waislamu?Mbona mnakimbia hoja sasa.
Nukuu mnaikataaa
Mara hao mashia waongo kuliko wote dunian
Sasa mnatuaminisha kwamba waislamu mpo sambuli nyingi
Waongo
Wafiraji kwa mjibu wa vitabu vyenu quran 2:223 na hadhithi yake.
Wasio wafiraji kwa mjibu wa matashi yao
Kunukuu ni kuchukua kauli ya msemaji kama ilivyo bila kuongeza neno ata moja, na kusherehesha ni kuelezea nukuu ile kama akili yako ilivyoelewa overKunukuuu ni nini tofauti ya kunukuu ni nini?
ChiefUsianze kashifa kwa sababu huna ubavu wa kui-defend bible! Watu tulikuwa tunakupuuza kwa sababu unaonekana umedandia treni kwa mbele kwa kutojua mada inahusu nini hasa! Sasa unasema Quran inaruhusu kufi'ra, unaweza kutuambia kwenmu wangapi mmef'irwa na Waislamu?