Zinaa katika uislamu....

Zinaa katika uislamu....

Kula umma umma wamejaliwa kawaida yao ya Ibada na sheria zao
emoji117.png
View attachment 1000971 dhahir eeh
emoji350.png
emoji15.png

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kila uma una namna yao na sheria yao , lakini hakuna maana kuwa Mungu hawezi kurudia sheria ndio maana adamu alioa mpaka wewe leo unaoa, vilevile amri kumi alipewa musa lakini mpaka Yesu alizitumia hivyo usikariri elewa wewe
 
Nimekutumia uikatae maana mmekuwa wabishi kuliko vitabu. Wewe huwezi kuipigania dini uliyoikuta iache ijipiganie yenyewe
 
Hujaleta uthibitisho

huyo mtunzi amenukuu
sisi tunataka asili

Sisi tunasema,alichokinukuu hakipo katika Sahihi Bukhar

KITABU NI CHA MSHIA

Mshia si Muislam

Nimekutumia uikatae maana mmekuwa wabishi kuliko vitabu. Wewe huwezi kuipigania dini uliyoikuta iache ijipiganie yenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekutumia uikatae maana mmekuwa wabishi kuliko vitabu. Wewe huwezi kuipigania dini uliyoikuta iache ijipiganie yenyewe
Nifunze kutofautisha hadithi na maneno ya mshereheshaji, ukilijua hilo litakusaidia sana
 
Back
Top Bottom