Zinaa katika uislamu....

Zinaa katika uislamu....

Unapokuja na tuhuma,huwa una uhakika wa unachokisema

ilikuwa busara kuuliza
Huyo Mtume wao ni yupi?!

kuliko kusema
nimeamua kuwadanganya mchana kweupe!!!!
Sasa umeamua kutudanganya mchana kweupe pee ndugu yangu. Mgawanyiko wa Uislamu kati ya Shiah na Sunni ulitokana na ugomvi wa nani awe Khalifa baada ya Mohammed kufa (Shiah wakishikilia kuwa ndugu wa damu wa Mohammed Ally na wengine wakisema Abubakar mmoja wa masahaba ndie achukue mahali pake). Sasa huyo mtume wao ni yupi tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujui kitu wewe ! Mashia ni wazushi kama wakiristo tu !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Au labda upo kuwatetea haya Majamaa na Uovu wao?!
naomba unifumbue macho Bro!!!!

samahani lkn kwa ukakasi wangu wa maneno
Sasa umeamua kutudanganya mchana kweupe pee ndugu yangu. Mgawanyiko wa Uislamu kati ya Shiah na Sunni ulitokana na ugomvi wa nani awe Khalifa baada ya Mohammed kufa (Shiah wakishikilia kuwa ndugu wa damu wa Mohammed Ally na wengine wakisema Abubakar mmoja wa masahaba ndie achukue mahali pake). Sasa huyo mtume wao ni yupi tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The problem is you are hypocrite umeleta mada ili ueleweshwe sasa badala ya kukaa chini na kusikilza unachoeleweshwa na uulize kwa hoja

kumbe uko na majibu yako unawafanyia watu kebehi na kujifanya unakashifu kiujanja
Alafu kibaya zaidi hujui kitu yani kuhusu dini inabidi ukae chini usomeshwe tena usome vyote mkuu sio nusu nusu

Sent using Jamii Forums mobile app
@Mfiaukweli aliileta hii mada akiwa na majibu yake mfukoni na dhana zake kichwani. Sasa anahangaika kuunga unga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The problem is you are hypocrite umeleta mada ili ueleweshwe sasa badala ya kukaa chini na kusikilza unachoeleweshwa na uulize kwa hoja

kumbe uko na majibu yako unawafanyia watu kebehi na kujifanya unakashifu kiujanja
Alafu kibaya zaidi hujui kitu yani kuhusu dini inabidi ukae chini usomeshwe tena usome vyote mkuu sio nusu nusu

Sent using Jamii Forums mobile app

Unisomeshe nini; kuwa ujira ni sawa na mahari? Don't insult our intelligence, we are not that stupid.
Au labda upo kuwatetea haya Majamaa na Uovu wao?!
naomba unifumbue macho Bro!!!!

samahani lkn kwa ukakasi wangu wa maneno

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi sio Muislamu hadi nimtetee Muislamu mwingine. Mimi ni academician Mkristo na najifunza eschatology.
Umenielewa?
 
Mfiaukweli Chief

Mada ya Mut-aa nadhani imekwisha?!
naomba jawabu ya hili ndg

Shukran sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Imeisha. Na mjadala huu umethibitisha mambo mawili:
1. Wengi wa wanaojiita humu kuwa ni Waislamu ni "Waislamu jina"
2. Wengi wetu humu hatuwezi kujadili hoja zilizopo bila kuwa sentimental na hatuoni umuhimu wa kujadili hoja kama ilivyoletwa ikiwa na references zake badala yake tunatoa sweeping statements (in other words tunafanya denial hata tunapoona facts).
 
Namuamini Mungu Jehovah. Na sisi mimi nilietunga hiyo aya, nimeitoa hapa NA SASA WALA SIPUNGUZI KITU. IT IS A WHOLE PAGE. NIAMBIE UONGO WANGU SASA
Wacha wee! Yaani ndo mfuasi wa Jehova wewe?! Jehova unayemuani, huyu hapa anasema:-
16Kuna vitu sita ambavyo Yehova anachukia; Naam, vitu saba vinavyomchukiza:

17 Macho ya kiburi,+ ulimi wa uwongo,+ na mikono inayomwaga damu isiyo na hatia,+

18 Moyo unaopanga njama za uovu,+ na miguu inayokimbilia haraka uovu,

19 Shahidi wa uwongo anayesema uwongo kila anapopumua,+

Na mtu yeyote anayepanda ugomvi miongoni mwa ndugu.+
Sasa mtu msema uongo kila unapomua unamuamini Jehova yupi?! Unamuani Jehova au ni Mfuasi wa Shetani wewe manake yeye ndie jemadari wa kutunga uongo!!

Swali langu lipo very simple, hili hapa:Nimekuambia uniwekee FULL VERSE ya Quran 4:24 yenye maneno haya:
Hii hapa;
'So those of them [women] whom you enjoy, give to them their appointed wages' (4:24).
Hilo swali nimekuuliza tangia page ya 7 na hivi sasa tupo page ya 20 lakini hujajibu!!

Jibu la swali linajibika na mistari isiyozidi mitano na wala halihitaji articles za kuchomoa Google! Swali linataka uweke hapa Quran 4:24 yenye hayo maneno yako vinginevyo, wewe ni 19 Shahidi wa uwongo anayesema uwongo kila anapopumua,+ . na kwa mujibu wa MITHALI 6:16, moja kwa moja unaingia kwenye kundi la wanadamu wanaomchukiza Yehova! Ni shetani pekee ndie anayeweza kumchukiza Yehova, na kama ninayosema sio kweli, weka hapa Quran 4:24 yenye hayo maneno yako uliyoweka hapa jamvini!!!

Kwa mara nyingine, as usual, umel-copy na ku-paste irrelevant materials ambayo siwezi kupoteza muda kuyasoma! Ni irrelevant kwa sababu mimi nimekutaka verse na sio hizo online discusssion!!!!
 
Imeisha. Na mjadala huu umethibitisha mambo mawili:
1. Wengi wa wanaojiita humu kuwa ni Waislamu ni "Waislamu jina"
2. Wengi wetu humu hatuwezi kujadili hoja zilizopo bila kuwa sentimental na hatuoni umuhimu wa kujadili hoja kama ilivyoletwa ikiwa na references zake badala yake tunatoa sweeping statements (in other words tunafanya denial hata tunapoona facts).
Hakuna mtu ambae hajui kujadili hoja kama wewe!!! NImekuuliza swali lililopo page ya 7, na hii ni page ya 21, lakini hujajibu! Wakati swali linataka Aya ya Quran kwa sababu ni wewe mwenyewe ndie ulisema hiyo ni aya ya Quran; lakini hadi sasa hujaweka hiyo aya na badala yake mara ulete articles, mara ulete Youtube video... we wa wapi wewe?! Au Kiswahili hukijui?!
 
Unisomeshe nini; kuwa ujira ni sawa na mahari? Don't insult our intelligence, we are not that stupid.

Mimi sio Muislamu hadi nimtetee Muislamu mwingine. Mimi ni academician Mkristo na najifunza eschatology.
Umenielewa?

Sasa mbona ukiambiwa umekuja kukashifu unakataa ndiyo maana nimesema wewe ni mnafiki
Point yako ni hii
Katika research zako ulivyoona hili suala la muta’a ukaona labda unaweza kuanzisha mada ili utumie hoja hii kukashifu au kuchallenge uislam kwa kuwa wewe ni mkristo,,,huku ukiamini kwamba uko na uwezo wa kufanya hivyo kwa dhana na sababu na data ulizonazo kuhusu hili
Kumbe ulikua unajidanganya na kwa bahati mbaya ulisoma hili suala kishabiki ndiyo maana umekurupuka kuleta mada alafu hoja sahihi za kusimamia huna
Kwa msingi wa elimu thabiti huwa hatusomi kishabiki tunasoma hasa kujua ukweli kwa namna yeyote na sio kusoma ili ujiridhishe na matakwa utayo huko ni kuikosea elimu adabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm nilidhani utasema
Mada imekwisha
na mjadala huu umethibitisha kuwa Mut-a kwa sheria ya Kiislaam,ni HARAAM?!!

ila si haba bro
tumekuelewa vema

Barikiwa sana
Imeisha. Na mjadala huu umethibitisha mambo mawili:
1. Wengi wa wanaojiita humu kuwa ni Waislamu ni "Waislamu jina"
2. Wengi wetu humu hatuwezi kujadili hoja zilizopo bila kuwa sentimental na hatuoni umuhimu wa kujadili hoja kama ilivyoletwa ikiwa na references zake badala yake tunatoa sweeping statements (in other words tunafanya denial hata tunapoona facts).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzinzi ni hali ya mtu kufanya tendo la ndoa na asiyekuwa halali yake ama hajamuoa au hajaolewa naye.
Sio lazima uzini nae, hata kumtamani pia ni zinaa tayari. (Kwa mujibu wa Biblia takatifu).
 
Unisomeshe nini; kuwa ujira ni sawa na mahari? Don't insult our intelligence, we are not that stupid.

Mimi sio Muislamu hadi nimtetee Muislamu mwingine. Mimi ni academician Mkristo na najifunza eschatology.
Umenielewa?
Ungejifunza kwanza inakuwaje mungu ana mwana wa pekee kisha anawaachia wahuni wamuwambe mtini !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuuliza swala naona sioni jawabu.

Nakuuliza tena
Waislamu wanafuata maamrisho na makatazo kwa matamanio yao au wanafanya hayo kwa kufuata Qirani yao?

Makafir ni hawa View attachment 1000506 swali dogo Hakuna hadi sasa aliye jibu kwa mujibu wa ayat hizi View attachment 1000522 JEE UNAO WAMILIKI MKONO WA KUUME NI WAKEZO mmebaki kupongezana

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
[/QUOTE]Kumbe mzito kuelewa hadi utafuniwe Maamrisho Ya MWENYEZI MUNGU YAKO WAZI "USIZINI" KUWAINGILIA UNAOWAMILIKI MKONO WA KUUME BILA KUOA UNAZINI HIVYO BASI WAISILAMU WANAFUATA MATAMANIO YAO Dhahir eeh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom