Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 10,185
- 7,368
Uzinzi ni hali ya mtu kufanya tendo la ndoa na asiyekuwa halali yake ama hajamuoa au hajaolewa naye.
Na wake zao waliruhusiwa kuolewa kwa muda?Hyo ndoa ya mutaa ipo kwa shia mpska leo wanaitumia,kwa upande wangu mimi kwa sasa haifai ksbisa kwa sababu yamekuja mskstazo kukataza jambo hilo.
Lakini mwanzo iliruhusiwa baada ya masahaba kwenda vitani wakakaa mda mwingi huko mpaks wakataka wajitoe nguvu za kiume(wajihasi)ili wasishughulishe na matamanio,mtume akaona hapo watafikia kubaya ndo akaruhusu hiyo ndoa kwa wakati alafu baada ya hapo hakuiruhusu kwa sababu ilikuwa dharula na hali ilifkia hivyo.
Kwa wakti huu wapo wanaokubali ila kwa upande wetu wengi hatuikubali hiyo ndoa.
Lakini hiyo mutaa bado wahusika wanakuwa ndani ya ndoa ila shida yake ni huo mkataba ndiyo shida ilipo
... Boko Harama wana-practice hii kitu sana. Wale mabinti wanaotekwa kila mara ni kwa matumizi hayo. Wanaitumia vizuri sana hiyo aya kama ilivyotumiwa na Mtume na wapiganaji wake enzi zile ......
Je. huoni kuwa sasa ni muda muafaka kurejea ruhusa hiyo kwani siku hizi kuna vita mbali mbali zinazowafanya waumini /wafuasi wa dini wana kuwa mbali na familia zao kwa muda mrefu!? Mfano, kuna vita za ugaidi miaka zaidi ya kumi na tano bado haijaisha.
...
Mkuu mada umeianzisha mwenyewe leo hii huijui Tena ...unanipa wasiwasi"Nimejiviwa" swali gani nililiouliza na nikajibiwa na najadili maada gani nyingine ambayo haihusiani?
Kwahio uliskia kwenye uislamu watu wameambiwa wanunue wanawake Bar?
Kulipa Mahari kwaajili ya kuowa mwanamke ni Lazma katika uislamu, iwe dhahabu, Pesa, Furniture Au chchte mwanamke atacho demand km mahari yake...
... yapo sana hayo matukio! Wale mabinti wanaotekwa na Boko Haram huko Nigeria ni katika kutekeleza muta'h. Wanawachukua kwenda kutimiza matamanio yao wakiwa vitani huko kisha wanawarudisha halafu wakizidiwa tena, badala ya kujihasi, wanakuja tena kuchukua wengine. Wanatekeleza sawia alivyofanya Mtume na wapiganaji wake vitani maana mazingira yao yanafanana....
Lakini kwenye suala la Mutaa, sijui mazingira yapi ya siku hizi yanaweza kuhalalisha hii ndoa ya muda??? Sijui, kama ni haramu moja kwa moja? Ukweli ni kwamba sijawahi kusikia hata tukio mmoja ya ndoa ya namna hii!
Kujifurahisha na mshahara ni tafsiri ya huyo aliyefasiri Kiarabu kuwa English. Mwandishi amekosa msamiati sahihi. Tafuta fasiri zingine usome vizuri.Kuna neno "kujifurahisha" na "mshahara". Hayo maneno yanafaa yakitumika kwa context ya nikah mut'ah na musta'jara. Katu haiwezekeni ikawa mahari.
Mtoa mada nadhani ungekuja na hoja ya kutaka kujua "Quran inasema nini kuhusu ndoa ya Muta'a"Japo ni maelezo marefu lakini naomba usome hapa hapa urudi unipe jawabu kama aya hiyo haikusudii nikah mut'ah.
The Four Pillars Of Mut'a
Dhambi Chief
Ndoa ya Mut-aa
Imeharamishwa kisheria
Narudia tena
Imeharamishwa
kwasababu ya Uharibifu katka jamii
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mm niliskia hii. Ila hua napata wasiwsi kuliuliza wasije sema nakashifu dini ya Mtume.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chief
naomba nikuulize
Hii mada,umeifungua kwa lengo la kuja kupewa jawabu sahihi au unajibu lako mfukoni?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya Mtume.Kwa ni Dini ya Mtume au Allah
Binafsi kama mfuatiliaji wa hii mada sijaona jibu la maana mpaka sasa
Ya Mtume.
Haiezekan islam iwe dini ya Mungu halafu Yesu mtoto wa Mungu asiwe kwenye dini hiyo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Umwahi kumsoma Yesu katika Quran au Hadith ?.