NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,840
- 5,097
Uislamu uko wazi kabisa kuwa hukumu ya zinaa ni nini.Ukiristo wenyewe unasema tu ni dhambi hawasemi huku duniani adhabu yako nini.
Uislamu uko wazi kabisa ila sipingani na dini za watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Uislamu uko wazi kabisa ila sipingani na dini za watu
Sent using Jamii Forums mobile app
jee UNAO WAMILIKI MKONO WA KUUME NI wakezo
sitakulaumu abadan ukisema hujui