Zinaa katika uislamu....

Zinaa katika uislamu....

Alijua tuu kwan kila mwaka kutakua na vita? yaan kama kitimoto tuu...afu Allah hakutaka tupate taabu alijali sana sisi wanaume wa kiislam kuhakikisha tuna kua satisfied huoni nyie mnavobaka na kulana mnaruhusu hadi ugay?

Kama nyie ni vidume mfuateni Yesu maana yeye hakugonga kabisa mpaka anapaa zake..

Wewe hustahili hata kuitwa muislamu jina.
 
Mimi uislamu wangu ni wa aya na hadithi,sikamati aya peke yake niaziwacha hadithi.ama nikamate hadithi peke yake niziwache aya.

Kwa hivyo kigezo cha kutokuwepo aya hakimati sana upande wangu kwa kuwa aliyeteremshiwa hizo aya nayeye ana nafasi ya kufuatwa kama aya zinavyotaka afuatwe.

Weka aya ambayo imeruhusu
Alafu weka aya ambayo imelazimisha.mana usije changanya kati ya uruhusa na ulazima.

Aya inayo ruhusu zinaa kwenye uisilamj hii hapa
IMG_20181231_073027_309.jpg
jee inao WAMILIKI mikono ya KUUME NI WAKE ZAO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mduara wa nini Mimi nimekuuliza wakezo umepewa jee UNAO WAMILIKI MKONO WA KUUME NI WAKE ZAKO jibu hapo Mkuu safuha

Sent using Jamii Forums mobile app
Swali lako ni busara zaidi nikajibu kwa swali.

Nakuuliza hivi.

Waislamu wanaposema pombe haramu,au kamari haramu,au liwati haramu jee huwa wanasema kwa matashi yao au wanaifuata Qurani imesemaje?
 
Kama ambavyo tumeruhusiwa kuwaingilia wake zetu katika aya mbali mbali,basi kwani kuna aya imesema kwamba zinaa maana yake ni kumuingilia asiyekuwa mkeo tu(hata awe mmilikiwa wa mkono wa kuume)?

Kama ipo ilete hapa ili tuone kwamba Qurani inajichanganya,mara iseme kumuingilia asiyekuwa mkeo ndo zinaa,alafu huku inakuja kuruhusu kumuingilia mtumwa ambae sio mkeo,hiyo aya ipo wapi?
Mduara wa nini Mimi nimekuuliza wakezo umepewa jee UNAO WAMILIKI MKONO WA KUUME NI WAKE ZAKO jibu hapo Mkuu safuha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo unaemuuliza zaidi,ndio Mwalimu wa uongo na mchafuzi wa mazingira

Mgen
Anapoingia katka mjadala hususan wa Kidini,Basi hana zaidi isipokuwa uharibifu

Sifa yake kuu
Ni Uongo,kama alivyomwenzake
Swali lako ni busara zaidi nikajibu kwa swali.

Nakuuliza hivi.

Waislamu wanaposema pombe haramu,au kamari haramu,au liwati haramu jee huwa wanasema kwa matashi yao au wanaifuata Qurani imesemaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo unaemuuliza zaidi,ndio Mwalimu wa uongo na mchafuzi wa mazingira

Mgen
Anapoingia katka mjadala hususan wa Kidini,Basi hana zaidi isipokuwa uharibifu

Sifa yake kuu
Ni Uongo,kama alivyomwenzake

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu uzuri wa huyu mtu muelewa,ataleta uongo unamletea ukweli atahama hapo ataenda pengine,nako ataleta mafhum siyo unampa mafhum yasawa ataishia kusema "we msemee Allah tuu" huyoo atahama.

Sasa na hapa mkuu kaja na hoja zake sikilizia atakavyo uacha huu mjadala utashangaa ndo huyu alikuja kwa spidi ya 4G
 
Back
Top Bottom