Zimbabwe: The turmoil, reconciliation, and the future!

Zimbabwe: The turmoil, reconciliation, and the future!

Dua,
Ndugu yangu hakuna hata mtu mmoja anaye lazimishwa kukopa hata benki zetu, lakini kama wewe umeishi maisha ya Ulaya unaelewa kabisa kuwa huwezi kwenda mbele bila kuwa na benki karibu yako. Benki ni kama mama yako na kitaifa WB ni mama wa chumi za nchi zote. Na huwezi kusema kabisa kwamba hakuna mtu aliyelazimishwa kwa sababu unajua utaratibu uliowekwa ni sawa kabisa na lazima.
Hakuna mkopo usiokuwa na masharti na ndio mbinu iliyotumiwa na benki zetu hata ktk mikataba ya saccos kwa wananchi (wajariamali)... wananchi wengi hawakuelewa wakidhani mfumo wa JK ulikuwa unatoka kwa mtume. na Ukweli unasimama kwamba mfuko wa JK ulikuwa na malengo ya kutengeneza jina badala ya kusaidia wananchi.
Huwezi kutoa mabillioni ya fedha kiasi hicho bila kuwepo na utaratibu rahisi kwa wananchi ambao wengi wao hawana credit record! hawana nyumba hawana account na kadhalika. matokeo yake fedha hizi zimeishia mifukoni mwa wasiokuwa walengwa! je wananchi hawatakiwi kulalamika ati kwa sababu zilikuwa ni msaada?.. hizi ni kodi zao lakini.
Benki kuu ya dunia IMF zote ni vyombo vimeundwa kwa kutazama interest za nchi za magharibi kwa hiyo huwezi kusema nchi maskini hazitakiwi kulaumu. Kama hizi Benki zingekuwa kwa maslahi ya nchi maskini basi G8 ingekuwa na mwakilishi, nchi maskini zingepewa nafasi ya kujipangia matumizi na mikakati yake.
Kama unakumbuka Mkapa alipokwenda IMF, ni IMF iliyofanya kazi ya kuandaa mikakati yetu na most of the programs tuliwahi kuzifanya zimetoka kwao.
Mimi nakubaliana na wewe unaposema kwamba hatuwezi kuilaumu IMF kwa sababu tunakwenda kuomba msaada sisi wenyewe! Well, huwezi kutembea wima kama wewe ni kilema na uchumi wa nchi zetu hauna tofauti na kilema!.. fadhila ya kupewa msaada wa gari la usafiri sio sababu ya kumpa ruksa mtu amchezee hata mkeo! - Huwezi kupata mkopo benki bila kupitia Saccos!.. tufanye nini tupe solution!
 
leo hii nimesikia kwa taarifa ya habari kuwa sasa jamaa zetu wa zim watakuwa wanapata umeme kwa masaa manne or so kwa siku....ili upelekwe kwenye mashamba ya ngano ati[sijui watavuna ngano kiasi gani].

nikaona kwa aljazeera the other day....kwamba uchumi yao unakuwa kwa -7.something%[yaani minus seven per cent].

kwaufupi....mengi yatasemwa na watu kugombana....lakini it seems like those guys are in hell.
 
Way to go!....Enough is enough...

What Africa can learn from Latin American economic revolutionarism.

2007-05-04 09:08:22
By Mwondoshah Mfanga

Events taking place in Latin America today seem to indicate that there is something fundamental or rather revolutionary taking place in the underdeveloped world, which in a way could lead to real economic emancipation.

What is called the ABLAs-the Bolivarian Alternative for the Americas-comprising now five countries of Bolivia, Venezuela, Ecuador, Nicaragua and Cuba and the actions they take to dissociate from US exploitation cannot be ignored by developmentalists.

First there have been mere verbal exchanges between the US and Cuban President Fidel Castro, and of recent, the Venezuelan President Hugo Chavez.

Now, it is not a question of polemics or rhetorics any more, but it appears there is real action on the ground, and some leaders in Latin America are now determined to be with their people for their development and not with the US like it has been in the past.

First there is the opening up of new natural resources exploitation in many countries including Brazil, Venezuela, Bolivia, Chile, Argentina and even Ecuador and substantial economic transformation has been taking place.

But second there is an attempt to put many of the resources closer to the people than to foreign companies, many of which are from the US.

Third, which is much more important is the formation of a protest movement-the ALBAs-the aim of which is to provide an alternative development to the way Latin American countries have been subjected to for decades, under the US hegemonism.

Speaking during the May Day event this week, Venezuelan President Hugo Chavez had a shocker, when he announced that his country was pulling out its membership from the World Bank and International Monetary Fund.

According to reports, the Latin American country oil riches proceeds would be used to form a bank, in which South American countries would be eligible to borrow instead.

This is not the first time the Venezuelan President or any of the ?rebel leaders? in Latin America is pronouncing such a revolutionary protest against the big capital.

But definitely this time, it sounds to be a tall order, probably never before experienced in any other part of the world because the countries have a movement on their back.

Anybody who is conversant with Latin American historical development should be quite aware that there is something rather special taking place there, which cannot be different from what the Arab world did with oil in the seventies and eighties.

After coming to power, about two years ago, Bolivian President Evo Morales nationalised gas and minerals, which were formerly under private companies.

He was, perhaps imitating Chavez, who has all along been nationalising oil riches of his countries for sometimes now, and has turned the Latin American country into gold from mugs.

Daniel Oterga, after his stay in the bench for a number of years, appears to have graduated about how the US is running the affairs of the Americas, and he now wants change. He is now among those who have joined the ALBAs.

One thing is that this initiative for Latin American economic revolutionarism, appears to be gaining momentum with this new encounter movement, and it shows that there are real steps being taken to try to liberate Latin Americans.

Let it be understood that Latin America has been first in a number of things that have been influential to Africa and the entire world.

One of them is the fundamental theories of underdevelopment, of scholars such as Andre Gunder Frank, Cardoso, Futardo and others were first initiated in Latin America after the theorists learnt that the countries were undergoing through a number of historical torments by the West.

The question is: Et tu Africa and what can the continent learn from Latin Americans? Much of the Asian continent that has made economic breakthrough like Japan, China, India and of late the Malays did not have a big dose of economic colonialism from the West like Africa and Latin America.

That is why it has been easier for them to take off to economic prosperity. Latin America and Africa have had and still are experiencing a protracted path to development, largely because those who subjected them to the current state are still continuing to do so.

If there is a close historical relate, which Africa can learn from, it is definitely Latin America, though not to the same proportion. There is therefore much that the continent can learn from its South American counterpart than from Asia in terms of development.

It is therefore necessary that rich resources Africa should also discover it`s the akin of Chavez, Morales, Noriega, Castro and the like if the continent wants to guard its minerals, peoples and respect and set up its own development direction.

The question is for how long shall African countries stick to the West after so many years suffering from slavery to colonialism and independence?

Already in countries such as Tanzania, the IMF?s Deputy Managing Director Murilo Portugal, says they do not need anymore financial support.

Anyway, one also wonders whether there was a need for the Tanzania government to wait until when it was told that there was no point for it to continue getting financial dosages from the multilateral body.

All along since 1985 Tanzanians have been subjected to IMF and World Bank dosages, said to be bring about economic recovery and enhanced recovery.

Yet Tanzanians have lived for 21 years now, never to witness any the promised recovery anyway.

The advent of the IMF and contrary to that of any other, even that of Ujamaa, has been the longest-in the history of this country, covering over 21 years.

Yet from a social economic point of view, there have been no fundamental changes worth a pride in Tanzania.

We are told that macro economic benchmarks have been achieved-GDP has been upped to almost 6 per cent, inflation brought down to single digit, exports jacked up to cover more than eight months-imports.

But everybody was a witness last year when the country experienced a few months-drought and all the benchmarks were all over sudden wiped out through the window.

It is all duping, because it was the same IMF which was to come in and support the government in jacking up power production that was in taters.

If the economic benchmarks were sound, why then did the IMF come in to support something power production, these are some of the questions that need cogent answers?

Anyway, I am not saying it is now timer for Tanzania to turn its back against the IMF the way Chavez has done.

But I am saying that since the IMF says Tanzania no longer needs the Breton Woods institution, then the best thing is to rely on it at the level of consultancy only.

But as for how Tanzania and the entire continent should relate with the rest of developed world, there is a need to emulate what the ALBAs have done.

Yes, why not an Alternative Economic Development for Africans? In fact that is what the people are looking forward to see.
 
Dua,
Katika hoja yangu ya mwanzo niliposema Nigeria walitishia kutaifisha visima vya mafuta uliniita MWONGO. Sasa baada ya kukuletea facts zinazoonyesha kwamba INFACT, Nigeria walitaifisha visima hivyo kutokana na uchungu wao ktk suala zima la uhuru wa Zimbabwe, unabadilika na kudai mimi ni mbambaishaji.

Wewe ulikuwa una-dispute hata kuwepo kwa "tishio". I dont have to post that dialogue ili kudhihirisha ninachokisema.

Kuhusu mahusiano ya kijeshi kati ya UK na Zimbabwe sijui unachobisha ni nini. Hivi unafikiri Waingereza wanaweza kutuma askari wao ku-demobilize wapigania uhuru na kutoa mafunzo bila kuwepo kwa MKATABA?

Kupangua vikosi vya wapigania uhuru[Zanu & Zapu] na badala yake kuunda jeshi la kitaifa was one of a kind project in the world. Hata kwa kutambua ukubwa wa project hiyo bado unangangania mkataba?

Nikirudi kwenye hoja yako kuhusu ushiriki wa Zimbabwe ktk vita ya Msumbiji, ulidai majeshi ya Zimbabwe yalikuwa yanalinda reli, na mitambo ya umeme, na mara chache chache they took the fight to Renamo.

Facts zimedhihirisha kwamba Zimbabwe walikuwa wakipigana bega kwa bega na majeshi ya Msumbiji dhidi ya Renamo. Ushiriki wa majeshi ya Zimbabwe ulikuwa ni mkubwa kuliko ulivyoufahamu wewe.

Ili usinipotezee muda wangu, na kunilazimisha kujitetea kwa HOJA, nakuomba ufute kauli yako ya kuniita MWONGO na MBABAISHAJI.
 
jokaKuu

8.Hii MDC ilikuwa kama juwata ya Zanu-PF. Mwanzoni walikuwa wakipinga sana huu mpango wa SAP na athari zake kwa sekta ya viwanda Zimbabwe. Kitu kinachonishangaza ni jinsi walivyogeuka na kuwa pro-west.

Sasa hebu niambie haya maneno ambayo ni yako ni ya kweli? No. Ndio sababu nimesema mbabaishaji. Kwa sababu hata kipofu ukimwambia maana ya JUWATA na ZCTU ataona tofauti kama nilivyoandika.
14.Uingereza walimbwaga Ian Smith baada ya Nigeria/Obasanjo kutishia kutaifisha visima vya mafuta vya British Petrolium[BP] vilivyoko Nigeria. Bila hivyo, "mechi" kati ya Smith na Zanu/Mugabe ilikuwa imalizwe kwa mtutu wa bunduki, kama ilivyokuwa kwa Mreno kule Msumbiji.

Haya ndio maneno yako ya kwanza na sasa unasema hivi:

Massive material and financial aid from Nigeria were constantly channelled into and ultimately guaranteed the success of various liberation struggles. It is for this reason that Nigeria rightly earned the status of a “Frontline State.” Also, in recognition of its stand against South Africa’s apartheid, Nigeria was appointed to permanently chair the UN Anti-Apartheid Committee until the inhumane system was disbanded in 1994.

Nigeria did not hesitate to nationalise the British Petroleum Company in the late 1970s to force the hands of British colonialists and minority white settlers in granting independence to Zimbabwe.

Statement yako ya kwanza umesema Nigeria kutishia lakini hii ya pili ambayo ndio source Nigeria walitaifisha visima tayari in late 1970 sasa unaongea nini? Huu ndio ubabaishaki wenyewe na wala sio tusi. Ukisoma waliokuwa kwenye ule mkutano walivyosema ndivyo mimi nimeandika.

Basis za Zimbabwe kwenda Mozambique ilikuwa ni kwa sababu ya Beira corridor na cabora Basa sasa unarudia yale niliyosema mwanzo na vile vile deal ya uhusiano ambao unausema na UK ulikuwa ni mdogo sana wa few Instructors sio kama vile ilivyo kwenye ushirikiano kama vile Kenya n.k. na vile vile nimekwambia fafanua namna hii: Zimbabwe hawakuwa na mkataba na UK sijui ulitiwa saini lini unaweza kufafanua hili?

13.Waafrika tuna tabia ya kusahau kwa haraka sana. Miaka ya 60/70 Tanzania tulivunja uhusiano wetu na Uingereza kwasababu ya wao kukataa kumuwekea vikwazo vya uchumi na kijeshi Ian Smith.

Huu niliita ni uongo sasa hebu tuambie ni lini Tanzania tulivunja uhusiano na UK. Na kama hatukuvunja je, huu sio uongo? Uongo hauwezi kubadilishwa leo kwenye JF na kuitwa ukweli na ukisema maneno hayo utaitwa ni muongo - PERIOD!

Kauli sifuti NG'******************ukweli ndio huo huwezi kudanganya hapa. Mimi sio m****** kama ulikuwa unafikiri hivyo umepotea na wala mimi siruki ruki kama k****** kutaka kupotosha ukweli.
 
Guys guys!... vipi mbona tunatoka nje?
Je, kuna mtu anazungumzia hoja hizi kwa maslahi ama?..
Tukate issue hapa kuitana majina haisaidii kitu ikiwa hoja tunaacha hoja zenye maana.
Dua, Jokakuu please acheni mashambulizi binafsi, hakuna haja ya kufikia huko ati kwa sababu ya Queen!
 
Mkandara,
niachie nimshughulie dogo. nimeeleza kwamba kamwe sitomtukana, bali nitamshughulikia kwa hoja.

unajua mimi nilikuwa bondia, lakini nilikuwa napenda kushinda kwa knock-out-- raundi 12. uko mkuu mwenzangu??

Dua,
unadai hakukuwa na mkataba wa kijeshi kati ya Zimbabwe na Uingereza. Sasa kwa mtizamo, wako unafikiri Waingereza wakati wanawasaidia ktk ku-demobilize walikuwa wanafanya hivyo bila mkataba wowote ule?

Vilevile naomba ueleze ushiriki wa majeshi ya Zimbabwe kule Msumbiji kama unavyouelewa wewe.
 
jokaKuu

Unahitaji nikupe miwani? Kwa nini huweki hayo maneno hapa? Unaandikia mate na wino upo? Kauli sifuti na usiweke maneno yako mdomoni mwangu maandishi hayo hapo juu unaweza kunionyesha niliposema hakukuwa na mkataba au unabisha tu? Uongo wako nimeweka bayana hapo juu. Hayo ya ushiriki yako hapo juu clear as cristal!

Uongo wako mwingine ni wa Tanzania kuvunja uhusiano na UK. Je, ni lini na wapi? Hii ndio knock out yako? Endelea kuota ndoto. UKWELI UPO HAPO JUU MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA! MIMI SIWEZI KUWA KIBARAKA.
 
Dua,
tafadhali usinisumbue. naomba ufute kauli yako ya kuniita muongo na mbabaishaji. jamboforums ni mahala pa kujifunza siyo kutukana na kuita watu majina. wewe ni kijana mdogo unaweza kulingana na wanangu, naomba ufute kauli zako.
 
jokaKuu

Siwezi kufuta kauli kwa sababu ni maneno ya uongo na wala usifikiri mimi naweza kuwa kama wanao. Hatuko hapa kuendekeza ufisadi kama unataka forum na watoto wako sio hapa.

JF hawakusema hapa ni mahali pa watoto na baba zao. Nimekwambia hayo ni maneno ya uongo na uongo ukidhihirika unaanza vitisho endelea kwa wakati wako. Je ndio ubondia huu?
 
Dua,
kama kuna jambo hulifahamu ni vizuri ukauliza ufahamishwe. usikimbilie kuita watu waongo na majina mengine mabaya.

hata kama nimesema uongo, kwa umri wangu -- wewe unaweza kulingana na wanangu, nakuomba ufute maneno yako machafu na unitake radhi.
 
Nikuombe radhi kwa maneno ya uongo? Sasa wewe kwa nini husemi hayo maneno siyo sahihi?
 
Dua,
ni kinyume na taratibu na maadili ya jamboforums kutumia lugha mbaya, kuita majina, wachangiaji wenzako.

narudia tena, kama kuna kitu hufahamu basi omba uelekezwe, siyo kuanza kuita watu waongo au wababaishaji.

hivi ni lazima kwamba mimi ni muongo? haiwezekani kwamba wewe Dua hufahamu kwamba, wanajeshi wa Uingereza waliosaidia ktk demobilization, walikuwa pale kwa ombi maalum la serikali ya Zimbabwe? hivi unafikiri Wakorea walipoondoka na Waingereza kuchukua nafasi yao kufundisha 5th Brigade, unaweza kudai bado hakukuwa na mkataba/makubaliano ya aina yoyote ile baina ya UK na UZ?

hivi ni lazima kwamba mimi ni mbabaishaji? hivi haiwezekani katika mawazo yako kwamba labda,labda, Tanzania ilishawahi kuvunja uhusiano wake na Uingereza? hivi haiwezekani kwamba jambo hilo wewe huna habari nalo?

Dua, kuwa muungwana kwa kufuta kauli yako na pia uniombe MSAMAHA.
 
Way to go!....Enough is enough...

What Africa can learn from Latin American economic revolutionarism.

2007-05-04 09:08:22
By Mwondoshah Mfanga

Events taking place in Latin America today seem to indicate that there is something fundamental or rather revolutionary taking place in the underdeveloped world, which in a way could lead to real economic emancipation.

What is called the ABLAs-the Bolivarian Alternative for the Americas-comprising now five countries of Bolivia, Venezuela, Ecuador, Nicaragua and Cuba and the actions they take to dissociate from US exploitation cannot be ignored by developmentalists.

First there have been mere verbal exchanges between the US and Cuban President Fidel Castro, and of recent, the Venezuelan President Hugo Chavez.

Now, it is not a question of polemics or rhetorics any more, but it appears there is real action on the ground, and some leaders in Latin America are now determined to be with their people for their development and not with the US like it has been in the past.

First there is the opening up of new natural resources exploitation in many countries including Brazil, Venezuela, Bolivia, Chile, Argentina and even Ecuador and substantial economic transformation has been taking place.

But second there is an attempt to put many of the resources closer to the people than to foreign companies, many of which are from the US.

Third, which is much more important is the formation of a protest movement-the ALBAs-the aim of which is to provide an alternative development to the way Latin American countries have been subjected to for decades, under the US hegemonism.

Speaking during the May Day event this week, Venezuelan President Hugo Chavez had a shocker, when he announced that his country was pulling out its membership from the World Bank and International Monetary Fund.

According to reports, the Latin American country oil riches proceeds would be used to form a bank, in which South American countries would be eligible to borrow instead.

This is not the first time the Venezuelan President or any of the ?rebel leaders? in Latin America is pronouncing such a revolutionary protest against the big capital.

But definitely this time, it sounds to be a tall order, probably never before experienced in any other part of the world because the countries have a movement on their back.

Anybody who is conversant with Latin American historical development should be quite aware that there is something rather special taking place there, which cannot be different from what the Arab world did with oil in the seventies and eighties.

After coming to power, about two years ago, Bolivian President Evo Morales nationalised gas and minerals, which were formerly under private companies.

He was, perhaps imitating Chavez, who has all along been nationalising oil riches of his countries for sometimes now, and has turned the Latin American country into gold from mugs.

Daniel Oterga, after his stay in the bench for a number of years, appears to have graduated about how the US is running the affairs of the Americas, and he now wants change. He is now among those who have joined the ALBAs.

One thing is that this initiative for Latin American economic revolutionarism, appears to be gaining momentum with this new encounter movement, and it shows that there are real steps being taken to try to liberate Latin Americans.

Let it be understood that Latin America has been first in a number of things that have been influential to Africa and the entire world.

One of them is the fundamental theories of underdevelopment, of scholars such as Andre Gunder Frank, Cardoso, Futardo and others were first initiated in Latin America after the theorists learnt that the countries were undergoing through a number of historical torments by the West.

The question is: Et tu Africa and what can the continent learn from Latin Americans? Much of the Asian continent that has made economic breakthrough like Japan, China, India and of late the Malays did not have a big dose of economic colonialism from the West like Africa and Latin America.

That is why it has been easier for them to take off to economic prosperity. Latin America and Africa have had and still are experiencing a protracted path to development, largely because those who subjected them to the current state are still continuing to do so.

If there is a close historical relate, which Africa can learn from, it is definitely Latin America, though not to the same proportion. There is therefore much that the continent can learn from its South American counterpart than from Asia in terms of development.

It is therefore necessary that rich resources Africa should also discover it`s the akin of Chavez, Morales, Noriega, Castro and the like if the continent wants to guard its minerals, peoples and respect and set up its own development direction.

The question is for how long shall African countries stick to the West after so many years suffering from slavery to colonialism and independence?

Already in countries such as Tanzania, the IMF?s Deputy Managing Director Murilo Portugal, says they do not need anymore financial support.

Anyway, one also wonders whether there was a need for the Tanzania government to wait until when it was told that there was no point for it to continue getting financial dosages from the multilateral body.

All along since 1985 Tanzanians have been subjected to IMF and World Bank dosages, said to be bring about economic recovery and enhanced recovery.

Yet Tanzanians have lived for 21 years now, never to witness any the promised recovery anyway.

The advent of the IMF and contrary to that of any other, even that of Ujamaa, has been the longest-in the history of this country, covering over 21 years.

Yet from a social economic point of view, there have been no fundamental changes worth a pride in Tanzania.

We are told that macro economic benchmarks have been achieved-GDP has been upped to almost 6 per cent, inflation brought down to single digit, exports jacked up to cover more than eight months-imports.

But everybody was a witness last year when the country experienced a few months-drought and all the benchmarks were all over sudden wiped out through the window.

It is all duping, because it was the same IMF which was to come in and support the government in jacking up power production that was in taters.

If the economic benchmarks were sound, why then did the IMF come in to support something power production, these are some of the questions that need cogent answers?

Anyway, I am not saying it is now timer for Tanzania to turn its back against the IMF the way Chavez has done.

But I am saying that since the IMF says Tanzania no longer needs the Breton Woods institution, then the best thing is to rely on it at the level of consultancy only.

But as for how Tanzania and the entire continent should relate with the rest of developed world, there is a need to emulate what the ALBAs have done.

Yes, why not an Alternative Economic Development for Africans? In fact that is what the people are looking forward to see.

......wajua kwanini nasema hivyo? kwa kuwa tamaduni za watu ndizo zinazowaendeleza.....unafikiri adui yetu ni marekani et al? la hasha...ni sisi wenyewe.....kwani nani ananunua vitu vibovu[vyote mjuavyo....kuanzia copters hadi sijui nini]

watu wa asia ni jamii nyingine tafauti[bora hata waarabu wa dubai au emirati wanajua hatma ya mafuta na ndo maana wanawekeza pengine!]na hao walatini amarika....wavuta unga,kula,zalisha na kuuza!

jamii ya wachina na binamu zao ni kizazi hatari....kama wahindi na wayahudi na walebnani.....hawataki maskhara katika kazi na maendeleo.

we jiulize.....hayo mafuta na gasi ya venazuela ni nani anatumia?...halafu china anabashia kwa mbinu za mimi mwenzenu msoshalisti....mwongo mkuu...yu kama basha mzoefu tu....akipata anachotaka hatojali bibi anaishi mazingira gani.

china ananikumbusha....mwizi anayemwibia nduguye akijificha kwenye undugu...mnafki mkuu!...muda utasema yupi mkweli yupi mwongo!

hao walatini amarika na siye pia hatuwezi endelea kwa kukaa jamvini...kuvuta unga...halafu....mijibaba ya ulaya ikitengeneza mashini,silaha na kuzalisha chakula maradufu yetu.

we ngoja....kila msimu ukifika....huonekana nani ana njaa....aleenda shamba au alebaki barazani aki kalaga bao....huyo chavez ka mtoto tu....haoni mbele kuna nini wala hajali...si atakuwa mavumbi by then!...ole wake awe kizee mkongoja!

if you can't fight them,join them!.....
 
jokaKuu

Nikwambie kitu kimoja huwezi kunitisha na wala sibabaiki na watu wenye maneno kama yako. Siwezi kuuza utu wangu wala kuwa kibaraka kama nilivyokwambia mwanzo kwa maneno ya uongo unless maneno hayo yawe ya kweli; kama hulijui hili bora ulifahamu na wala sina muda na wewe kwa suala hili. Naendelea kwenye issue nyingine.
 
Haya haya wazee,
Kuna kipande hiki hapa labda kitasaidia!...Acheni kutiana uchawi, na vidole vya macho wakati kazi ndogo sana - Surf surf U will get the facts!

Britain, the former colonial power, played a pivotal role in Zimbabwe's independence process. Following the Lancaster House Agreement on Rhodesia of December 21, 1979, a British-led Commonwealth team played a central role in Zimbabwe's postliberation struggle cease-fire monitoring, separation, and containment of the highly politicized and mutually hostile forces, initial troop integration, and subsequent transition to independence. The UN was deliberately excluded as Britain desired to exclusively control and influence a short transitional period that would not include a burdensome postconflict peace-building role (Rice 1990:67–68;Ginifer 1995:2).
The Lancaster House Agreement, through a cease-fire agreement by the Rhodesian Security Forces (RSF) and Patriotic Front (PF[ZANLA and ZIPRA]) forces, provided for a demilitarization process. Notwithstanding this, the flawed Lancaster House Agreement did not provide the legal framework for a formal DDR program. DDR was neither a stick nor carrot in the peace negotiations and agreement.

Soon afterwards, a core force was agreed to - of about 33 000 men and women from between 80 to 100 000 available.6 A majority was former Zimbabwe African National Liberation Army (ZANLA) and Zimbabwe Peoples Revolutionary Army (ZIPRA)7 combatants with several thousand African troops from the former Rhodesian Security Forces. The ratios emerging would influence aspects of force design and the desired political orientation of the force. The latter aspects also took into account the colonial inheritance as well as military aid through the British Military Aid Training Team (BMATT) that was extended toward the remaining core force. In order to cater for those away from the armed forces, a Demobilization Agency - the Demobilization Directorate, operating under the Ministry of Labour and Social Welfare, was established.
 
At last africa tunaonyesha tunasauti moja na kustick pamoja, for better or for worse, hiyo ni hatua ya kwanza, hayo ya kurekebisha uchumi yanaweza kufanyika, lakini I'm impressed kwamba for once tunaonyesha tuna uwezo wa kuungana.

West waache kuwa selfish, wapunguze matumizi yao, wanaimaliza dunia. Wanaact kama wapo peke yao. Nafikiri waafrika wameona hamna better country to voice that opinion loud enough now than z'bwe, they have nothing to lose. We should tell them this, and ask them, why it is they who consume the most of world resources, and it is they who affect the most of the world environment, but is is us, poor countries feeling the most of global warming? Is there a conspiracy? If Africa were to have the same level of production and consumption as them, the world will collapse in a very short time. So what does that tell us?

Zimbabwe has been elected to head the UN's commission on Sustainable Economic Development (CSD) despite strong objections from Western diplomats.

They had said Zimbabwe was unsuitable because of its human rights record and economic problems. It is suffering food shortages and rampant inflation.

But Zimbabwe has dismissed such criticism, calling it an insult.

The country was chosen by other African nations. The CSD post rotates every year between the world's regions.

Hii safi sana watume salamu sasa!!!
 
.........pamoja na wao kuipata hiyo nafasi[waafrica wenzao wasingewapinga]hawatafaidika nayo kwasasa,bali hao waafrika wenzao wajanja.

zim iko katika hali mbaya sana kiuchumi[-7.6 au -7.9 in growth,umeme masaa nne kwa siku,na kadhaa mengine]

na hii yote si kwasababu ya vikwazo pekee,bali pia mismanagement ya uchumi[jamaa wameshika mashamba hawayalimi...wamefanya maeneo ya picnic,hii ni according to zim central reserve bank govr.]na kadhaa mengineyo yaliyopo ndani ya uwezo wa sirikali na viongozi wake[wako kama wanacheza dance yao ya mwisho].

we acha tuwashabikie mpaka pale watakapodondoka wakiwa wanatembea!..zim needs economic order! which is currently missing! potelea mbali hivyo vikwazo!

sasa waafrika na wazungu wamegeuza zim jamvi la kutiana vidole usoni...
 
Mkandara,
.......thank you, I was just playing with this fellow. You know this is just a discussion forum and there is really no need of calling each other names.

Dua,
Kuishi kwako Zimbabwe kunaweza kukufanya ujue mengi kuhusu nchi hiyo, lakini siyo kila jambo kuhusu Zimbabwe.

Kama kuna kitu hukifahamu ni vizuri ukauliza, au ukafanya utafiti kidogo, kuliko kukurupuka na kuita watu majina ya hovyo-hovyo.

Hivi nilivyokuwa nakusumbua ilikuwa ni kuona tu kama utafanya kautafiti kadogo. Ungefanya utafiti kidogo ungejua kwamba,ZIM na UK walikuwa na mkataba wa mafunzo ya kijeshi, vilevile Tanzania iliwahi kufunja uhusiano wa kidiplomasia na Waingereza.

DUA said:
Tanzania hatukuvunja uhusiano na UK huu ni uongo siku zote Tanzania imekuwa ikionekana as bad boy kulinganisha na Kenya kwa sababu ya policies za JK Nyerere (RIP)......

FACTs say...:
source:http://www.answers.com/topic/julius-nyerere

Close relations ensued between the two countries, and the Chinese agreed to finance and build a new railroad to connect the Tanzanian capital and major seaport, Dar es Salaam, with the neighboring, landlocked country of Zambia.

Nyerere's shift toward the East continued when he broke off diplomatic relations with England in 1965 over Rhodesia--Britain had allowed white settlers in that African colony to declare independence, thereby thwarting the wishes of the black majority. Nyerere organized five African nations to officially oppose white-minority rule in that runaway colony as well as in South Africa, Namibia, and the Portuguese colonies of Mozambique and Angola.

DUA said:
Zimbabwe hawakuwa na mkataba na UK sijui ulitiwa saini lini unaweza kufafanua hili?..... Kitu ambacho hakina ubishi ni wanajeshi wa Tanzania ambao walikuwa kule baada ya uhuru anbao walikaa hadi mwaka 1987 na kuanza kupunguzwa pamoja na wahandisi wa simu kutoka Tanzania.

FACTS say...:

source:http://www.iss.co.za/ASR/5NO4/ExpandingTorrent.html
Britain, through the British Military Advisory Training Team (BMATT), has emerged as a central role-player in the process throughout the Southern African region, including the former Portuguese territories of Angola and Mozambique.1 This pervasive involvement raises questions about the nature of the security structures that will emerge and whether there is ultimately a hidden agenda in Britain's attention to the military professionalism of the region. Military assistance and training are effected on the basis of theory or national doctrine, and demonstration, and are reinforced through constant peer emulation. Such external intervention has implications for local structures.

There are BMATT contingents in Ghana, Kenya, Lesotho, Namibia, South Africa, Swaziland and Zimbabwe at present, reflecting concentrated interest in Southern Africa. Elements of BMATT Zimbabwe, jointly with Zimbabwe National Army instructors, are also responsible for the training of Mozambican forces at Border Camp, Nyanga, in Eastern Zimbabwe.

DUA said:Sio kweli kwamba waingereza walishirikiana kuwafundisha para wa kizimbabwe....

FACTS say...:
source:http://www.iss.co.za/ASR/5NO4/ExpandingTorrent.html

BMATT's entry into Zimbabwe occurred at a time of global political division as a result of the Cold War, coinciding with regional destabilisation attempts. While London successfully stayed the hand of Pretoria to undertake more drastic military escapades against Zimbabwe, the Zimbabwe Government's broader perception, however, was to strengthen itself. Internal political disagreements further heightened concerns over the security of government incumbents. Against this background, North Korea offered military equipment, which was accepted with 106 instructors, to constitute the Fifth Brigade. However, once its training was completed and elements deployed to hunt down dissidents in the south-west of the country, adverse reports on its discipline and general conduct forced the Government to withdraw the units. These were eventually placed under BMATT for re-training.
 
source:http://allafrica.com/stories/200705150770.html

Take the US government, for instance. On December 21, 2001, President George W. Bush signed into law Zimbabwe Democracy and Economic Recovery Act of 2001 with the aim of cutting off all financial aid to Harare, including all debt cancellations that Zimbabwe would otherwise have been eligible to! This piece of legislation was sponsored by Senator William Frist and co-sponsored by four others including Senator Hillary Clinton.

How could this deliberate freezing of grants and aid not have negatively impacted Zimbabwe's financial standing, even marginally, within a global economy? With such measures, should it then surprise anyone that Zimbabwe would churn out the highest inflation rate in the world? By contrast, would the British economy survive under similar sanctions and assault?

They have done these not because they question the land redistribution programme as inherently unfair, but because the ultimate losers within the programmes' framework are their kin. Had the US been so objectively concerned with "human rights abuses" across the world, it would have passed similar legislation before the Rwandan genocide spilled out of hand.

In the 21st Century global economic situation that is racially-inclined, Mugabe's Zimbabwe presents a classical case of the bleak odds confronting a black-led African nation struggling to survive against the relentless onslaught of the West's economic might.

Clearly, the target of the economic sanctions is the crippling of his government, as though Zimbabwean "problems" lie with Mugabe himself. Perhaps they do. But this reasoning deliberately fails to differentiate between the government and its policies, managed by Mugabe on the one hand, and the Zimbabwean economy on the other, which is manned by a heterogeneous mix of actors, majority of whom have completely no say in, and are actively removed from engineering his policies.
 
Back
Top Bottom