Zimbabwe: The turmoil, reconciliation, and the future!

Zimbabwe: The turmoil, reconciliation, and the future!

uchaguzi mkuu wa Zimbabwe ukiwa na matatizo kama ule wa Nigeria nakuapia kwamba hatalala mtu. BBC wako wapi kulaani uchaguzi wa Nigeria? Waziri Mkuu wa Australia na yeye mbona yuko kimya?

Kikwete amesema ukweli ambao serikali za magharibi zinaufumbia macho. Ukweli huo ni kwamba Mugabe anashinda uchaguzi kutokana na kura za wananchi wa vijijini. MDC wana-support ya Wandebele wa vijijini lakini hao kura zao hazitoshi kumpa mgombea Uraisi.
 
Wanabodi,

Mimi nakubaliana kabisa na mawazo ya Kikwete pamoja na kwamba ugonvi wa Zimbabwe unazidi kuchochewa na Wazimbabwe wenyewe. Tukumbuke kwamba ule ugonvi wa awali kati ya Washona na Ndebele umeshika moto kabisa sasa hivi. tazama wote wanaompinga ni kutoka kabila jingine na sio swala la kutofautiana ktk siasa!..
hawa jamaa wana chuki baina yao kabla hata hawajapata Uhuru na ni kutokana na juhudi za mwalimu aliweza kuwaweka meza moja. Hivyo Mugabe anatumia saana maamuzi yake kutokana na nguvu ya wingi wa Kabila lake.
Zimbabwe haiwezi kuwa na amani kama vyama vya upinzani na hasa viongozi wataendelea kuundwa kwa kufuata makabila yao. Washona ni wengi sana na sii rahisi Mshona kukubali kutawaliwa na Mndebele ama kinyume.

Mgogoro wa Mugabe unazidi kuchorewa mstari na wazungu na kesho tutakuja sema wazungu hawahusiki kitu ila tu nachosema mimi ni lazima wazimbabwe watumie akili hapa ikiwa ni pamoja na Mugabe mwenyewe maanake njaa kali huondoa watu akili ya kufikiria tena utume wa mtu. Zipo njia anaweza kuzitumia hasa kurudisha baadhi ya sehemu za wazungu ambazo zilikuwa zimetumika ktk kilimo. Kuwatenga kabisa wazungu na kuwaita majina kwa matusi inazidisha sana hasira za wazungu. Watahakikisha anakwenda chini hata kama SADC watakuwepo kumpa support! haitasaidia kitu kabisa tusijidanganye!

Wenzake wa Venezuela, Korea kaskazini na Iran wanao Ubavu wa kujitutumua... atumie akili tu inawezekana kabisa Zimbabwe kuokolewa kwani wanachodai wazungu sii kikubwa sana na wala haitaondoa maana ya UHURU wa mtu mweusi.
 
Morgan Tvangirai siyo mndebele na MDC wapo Harare. Arthur Mutambara ndiye Mndebele na ofisi zao ziko Bulawayo
 
Dua,
Nadhani tunaowazungumzia watu wanaojitokeza kumpiga madongo Mugabe ktk swala hili la njaa!..
Wee jaribu kuangalia sana utakuta mara nyingi madongo yanatoka kwa Wandebele zaidi ya Washona. Na MDC kama CUF makao yake yako Dar na Lipumba hatoki Zanzibar lakini ukipiga mahesabu ya viongozi, sera zao na washiriki wakubwa kisiasa utakuta wanatoka wapi.
Mimi nawajua hawa watu (makabila) chuki zao hazina mpango kabisa yaani inachekesha kama vile unavyoona Wahutu na Watusi. wamejichanganya hivi majuzi tu baada ya Uhuru lakini baada ya kifo cha mzee wao mambo yamerudi kama Kenya! (msemo wa mtaani).
Mugabe kisha zeeka la kufanya ni kuachia nchi na hasa kurudisha mashamba ya hao wazungu yaliyokuwa yakilimwa, sehemu ambazo zilikuwa wazi zipewe wananchi lakini kwa tahadhali kuwa ngozi nyeusi na nyeupe hatuwezi kabisa kuwa majirani!...Mapambano yataanza upyaaa!
 
Mimi kwa maoni yangu naona waafrika tutafute version yetu tofauti ya demokrasia. Siyo tu tofauti for the sake ya kuwa tofauti lakini ambayo itatuunganisha. Najua hiyo italeta kelele nyingi ndani na nje ya afrika, lakini naamini baada ya muda mfupi tutaona faida zake.

Sijui kwa nini wengi hatuoni kwamba idea ya kufanya uchaguzi kama uliopita wa DRC ni mbovu kwa sababu nchi imegawanyika mno, migawanyo ambayo haibase kwenye political ideologies (udini, ukabila...), ambayo badala ya kujenga nchi, hata kama uchaguzi ni huru na haki, inazidi kuigawa.

Nafikiria kufanya small research ya jinsi tunavyoweza kuunda hiyo demokrasia mbadala, lakini kuna umuhimu mfano wa kuwa na symbol ya umoja katika uongozi wa juu wa AU (badala ya hii ya sasa ya mwenyekiti), labda hata ikiwezekana kuwa na King, ingawa anaweza asiwe na mamlaka ya kuendesha shughuli za kila siku. Nikimaliza hiyo research nitaipost humu kupata maoni ya wengine.

Kuhusu kauli ya JK, wengi wanaweza wasione umuhimu wake, lakini tukiitafakari kwa makini tunaweza kujua what is going on behind the scene, kati ya nchi za afrika, na kati ya nchi za afrika na west. Inaweza kusaidia hata kujua what is to come. Kama nilivyosema kwenye ile thread ya Darfur, nadhani tunaelekea kwenye mgogoro mkubwa wenye uwezo wa kubadilisha muelekeo wa dunia kwa kiasi kikubwa.
 
Keynez,

Huko tuendako sijui kabisa! jana katika kupitia calender yangu nimeona kitu hiki - AFRIKA INDEPENDENCE DAY - May 22, sasa nikajiuliza hivi kweli Afrika inafahamu siku kuu hii ama wazungu wa hapa wamejiwekea siku hii wenyewe.
 
Hiyo ni siku ya AU kama sikosei.
 
Unajua tunajichanganya sana waafrika. "Hatuwezi kuupenda mti na hapohapo tukachukia matawi ya mti huohuo". Kama tunawaponda wazungu hawa vilevile tuachane kabisa na misaada yao ikiwemo misaada ya hao IMF na WB. Kuyakataa ya hao UK na USA na wakati huohuo kutaka mahela yao kupitia IMF ni unafiki wa hali ya juu. Yeye Mugabe akaze tu kamba kama alivyosema mwanzoni kwamba hataki hela za wazungu. Sasa hii ya kampeni za kutaka hela za IMF za nini tena?

Wale wenzetu Venezuela, Cuba, n.k, wameachana kabisa na misaada ya wazungu. Na sasa wanafanya udikteta wao bila kupigiwa kelele na mtu yeyote. Madamu sisi tutaendelee kutamani kuishi kama wazungu wa magharibi na huku tukitaka mapesa yao, basi itabidi vilevile tuendelee kuwaruhusu tu watufundishe demokrasia nini!
 
Mkandara,
MDC wanajua kwamba Mugabe akisimama kwenye uchaguzi lazima atawapiga bao. Jamaa anasaidiwa na ukweli kwamba kabila lake ndiyo kubwa Zimbabwe. Vilevile jamaa ni mashine nzito linapokuja suala la kuhamasisha na kampeni.

Wazungu walipata matumaini pale MDC waliposhinda kwenye Referendum ya Katiba. Walisahau kwamba Mugabe na Zanu hawakupiga kampeni. Ushindi ule ndiyo uliowadanganya wakiamini kwamba Mugabe anaweza kuondoka kwa kutumia sanduku la kura.

Zaidi hawa MDC walitumiwa kuipinga katiba iliyokuwa imependekezwa. Walitumiwa na wazungu kwasababu katiba hiyo ilikuwa na masuala fulani-fulani ya ardhi ambayo wazungu hawakuyapenda.

Mapendekezo ya Katiba kama yangepitishwa MDC wasingekuwa na wakati mgumu kama walionao sasa. Hapo ndipo utakapogundua kwamba MDC ni chama cha vibaraka.

Huu mgogoro wa wandebela vs washona unakuzwa kwasababu za kisiasa. tayari ilishaundwa Tume ya Uchunguzi na Upatanishi ya machafuko yaliyotokea Ndebela. Kuunganishwa kwa Zanu na Zapu na kuzaliwa Zanu-PF ni moja ya utekelezaji wa mapendekezo ya Tume hiyo.

Miaka ya karibuni kumekuwa na juhudi za makusudi kutoneka makovu ya machafuko yale. Nia ya kampeni hizo ni kuwafanya wandebele waichukie serikali ya Mugabe.

Ian Smith aliuwa wazimbabwe wengi tu. utawala wake ulitumia hata silaha za sumu kuwaangamiza wapigania uhuru wa zimbabwe. Inachoshangaza hakuna anayetukumbusha mauaji yaliyotokea wakati wa Ian Smith, tunakumbushwa mauaji yaliyotokea wakati wa utawala wa Mugabe.

Mugabe ameshatoa tamko, na siyo mara moja, kuwaomba radhi wandebele kwa mauaji yaliyotokea. Ian Smith hajawahi kuomba radhi kwa matendo ya ukatili yaliyotokea wakati wa utawala wake.

Katika Afrika kuna nchi kibao ambazo hazina wakulima wakubwa. Mbona nchi hizo hazikabiliwi na njaa? Mbona nchi hizo uchumi wao hauporomoki kama huu wa Zimbabwe?

Sasa hivi kuna habari kwamba MDC wamemuandikia barua Thabo Mbeki wakimuomba azuie uchaguzi usifanyike 2008. Mugabe tayari ameshaeleza nia yake ya kugombea katika uchaguzi huo. Sasa chama chenye kuungwa mkono kama MDC kwanini kiogope uchaguzi kiasi hicho?
 
Zimbabwe police assault lawyers

_42586035_203police-ap.jpg


Riot police were waiting for the lawyers


Police in Zimbabwe have broken up a march by lawyers in the capital, Harare, beating up several of them. "They asked us to lie on our stomachs and then they started assaulting us," the law society's president, Beatrice Mtetwa, told the BBC.

The lawyers were protesting about what they said was police harassment after two lawyers were arrested last week.

The men - who were subsequently freed on Monday - are representing opposition activists accused of detonating bombs. In March, a prayer meeting in Harare attended by opposition leaders and activists was broken up by police, leaving two people dead. Scores of activists, including Movement for Democratic Change (MDC) leader Morgan Tsvangirai, were arrested and assaulted in police custody.

President Robert Mugabe has accused the opposition of "creating a state of anarchy".

Shouting

Ms Mtetwa said there was a large turnout in the town centre where many riot police had already assembled.

"The [commanding] officer then arrived and told us that we must disperse: he'll count to three and if we don't disperse when he's finished three his officers were free to beat us up," she told the BBC's Focus on Africa programme.

Some of the lawyers then began walking towards the Ministry of Justice's offices, she said. Lawyers could then be heard shouting as police bundled several of them into a truck. "They physically forced us onto a truck drove about three or four kilometres and asked us to disembark... Four lawyers were assaulted," she said.

"A lot more lawyers were beaten up outside the High Court itself," she said.
Public demonstrations in Zimbabwe require police clearance and unauthorised gatherings are frequently broken up. But Ms Mtetwa said that the march was legal.

"There is no law that says police must approve the march. It only says they have to be notified, and we have done that," she is quoted as saying before the demonstration.

Escalation

On Monday, the International Bar Association said the arrest of lawyers Andrew Makoni and Alec Muchadehama was "another example of the precarious situation in which human rights lawyers work in Zimbabwe". Their detention was ruled illegal, but the police twice defied orders to free them - they are now out on bail. "President Mugabe's government has escalated attacks on political dissenters in recent weeks," Mark Ellis of the International Bar Association said.

"And no effective international action is being taken to stop the flagrant violation of international law in that country."

Zimbabwe has the world's highest annual rate of inflation - 2,200% - and only one person in five is in full-time work. Mr Mugabe blames the country's problems on a Western plot to remove him from power.

Story from BBC NEWS:
http://news.bbc.co.uk/go/pr/fr/-/1/hi/world/africa/6635151.stm

(Hawa Lawyers wametumwa na Blair Bush campaign kumwondoa madarakani) Samahani kwa wale wasiopenda source ya BBC naona watuletee source yao ya udaku.(joke)

Ilikuwa Pakistan sasa Zimbabwe whose next?
 
Dua,

Mimi nakubaliana sana na Jokakuu. Tena sana kwa sababu huo ndio ukweli uliosimama ardhini huko Zimbabwe. Tatizo ni pale sisi wenyewe tunaposhindwa kuamini kwamba matatizo ya Zimbabwe chimbuko lake linatoka nchi za magharibi.
Kibaya ni kwamba tumecholewa mstari na sisi wenyewe tunashindwa kufikiri kwa akili zetu kipi cha kufanya.
Tazama vizuri hiyo habari hapo juu uliyoitoa BBC kisha nambie kuna nchi gani Afrika haina matatizo kama hayo?...Wakimbizi kila siku ndio story zao huku nje hata Wa TZ wakijipa Uhamiaji husema hivyo wakijifanya wao Wakongo ama Wasomali!
hao POlisi hata sisi ukichukua picha za FFU, maadam imetangulia na hadithi chafu dunia nzima itasisimka hasa pale media za Ulaya wameipamba. Chaguzi zetu Tanzania zilikuwa na machafuko ambayo yangeweza kupewa picha kama hii kama wazungu wangependa. Huko Kongo na Nigeria ndio maisha ya kila siku yanaendelea lakini aghalabu kusikia chini ya Mtawala anayekubalika.
Mugabe anayo makosa ambayo ni waafrika wenyewe wanatakiwa kuyatolea macho na hata kufikiria kumwondoa madarakani. He is not worse than anyother African leader tatizo lake ni kuleta NJAA. Ni kweli Mugabe katumia madai ya maslahi ya taifa kujinufaisha yeye na Uongozi wake jambo ambalo sii geni ktk Uongozi wa Kiafrika. hapa Bongo nyumba zote zilizotaifishwa zimenunuliwa tayari na baadhi viongozi wa CCM lakini sidhani kama kuna mwananchi hata mmoja kesha uziwa hizo nyumba zaidi ya watu kupangishana!... Kodi halali ya nyumba hizi zote haijulikani isipokuwa kwa hesabu ya msajili. haya tazama mashamba na ardhi inamilikiwa na akina nani?.... sisi bado tunaambiwa sheria bado haijapita lakini wao tayari wameisha kamata ardhi kubwa zenye madini na nafaka nzuri za ukulima. Wengine tulishapoteza ardhi za mababu zetu na kesi hazifiki mahakamani ila sheria ni kwamba tuli-lease ardhi! serikali ndio mwamuzi. Viongozi wetu wana tofauti gani na hao wa Zimbabwe?...

Tofauti kubwa ya Zimbabwe na sisi ni kwamba wenzetu kisiasa wameiva na upinzani wao unasimama kutetea maslahi ya wananchi wake lakini malengo ya Mugabe hayakuwa mabaya kabisa.
Msimamo wa Mugabe unapata lawama kubwa sawa na zile za Nyerere, lakini sii kweli ZANU PF haipendwi ama Utawala wa Mugabe ni mbaya kiasi kwamba tusimame sote kuwafurahisha wazungu.
Wee sikiliza siku ZANU PF wakifanya maandamano yao na chant zao za Kishona....mji haupitiki na kunahitajika Polisi kuliko maandamano yoyote yale.
Tatizo dogo sana, Mugabe hana haja ya kushindana na nchi za magharibi hata kidogo wala hakuna haja ya kuweka vikao vya usuluhishi. Yeye akubali kuwapa ardhi wale wazungu waliokuwa wakizalisha kwa masharti mafupi na kuutambua uraia wao. Wazungu walikuwa wakimiliki ardhi kubwa sana, sasa baada ya kuichukua wamegewe upya ardhi yao kulingana na mahitaji yao ya uzalishaji. Na mwisho apunguze matusi kwa hasa UK maanake wazungu inawauma zaidi kusikia mnyonge akitukana.
Mchezo umekwisha!...hutamsikia
 
I can feel right in my bones kwamba kuna kinachoendelea....sitaki kusema mengi lakini naomba tuwaombee viongozi wetu wa kiafrika busara (kama nyimbo zetu za taifa zinavyosema)...bila kuwaonyesha ushirikiano, wata 'bow down' kwa pressure, the devil is on the loose (mnakumbuka pakistani walitishwa kwamba wangerudishwa kwenye stone-age, na hatukujua hivyo mpaka hivi karibuni?).

Mtarajie kuona afrika inapata negative press kwa jinsi siku zinavyokwenda. Wakati waafrika wameamua kubadilisha 'status quo' inayotufanya tuendelee kunyanyaswa na kunyang'anywa maliasili zetu for nothing, nguvu za nje ziko desperate kutuingilia kwa nguvu.

Nani anaamini report kama hii kwamba ina ukweli? Je si njia nyingine ya wao kubakisha majeshi yao au kuingiza mengine afrika?



http://news.yahoo.com/s/ap/20070508/ap_on_re_eu/africa_and_drugs

Colombian drug barons and criminal gangs are trying to turn Africa into a hub for shipping cocaine to Europe, the head of the U.S. Drug Enforcement Administration told The Associated Press on Tuesday.

In an exclusive interview, DEA administrator Karen Tandy said drug interdiction officials battling the $300 billion-a-year global drug trade also worry about Africa's new role as a waystation for Europe-bound heroin from southwestern Asia, particularly Afghanistan.

"Africa will be, in terms of a drug hot bed, one of our worst nightmares if we don't get ahead of that curve now," Tandy said during a major international anti-drug conference hosted by the DEA and Spain's government.

Lured by Europe's high demand for cocaine, the strength of the euro and lax law enforcement in poor African countries, Latin American drug gangs are "setting up shop" in Ghana, Nigeria, Guinea-Bissau and Ivory Coast in the continent's west and Kenya in the east, Tandy and other DEA officials said in the interview.

Africa "has emerged as a drug hot spot, a hub, in just the last several years," she said.

In the case of cocaine, the drug is shipped ready-to-consume by boat to Africa and sent on to Europe by land, plane or ship, said Russell Benson, the DEA regional director for Europe and Africa.

Traffickers are also using traditional smuggling routes, with Spain as the main gateway for cocaine entering Europe. But Africa has become a tempting additional conduit because of its spotty law enforcement and porous borders.

"They are looking for a vulnerable spot," Benson said. "It is the path of least resistance."

Europe's appetite for cocaine is strong and growing — Tandy said it is similar to the cocaine craze of the 1980s in the United States.

And users on the continent pay in euros, the European Union currency that has risen sharply against the dollar in recent years, making Europe's users an irresistible target for Colombian cartels, the DEA officials said.

The cash flow has traffickers smuggling euro notes back home in bulk — millions of bills at a time, the officials said.

In Colombia, traffickers sell euros to currency traders at a rate slightly below the market rate. They lose a bit in the transaction but don't care because they obtain clean Colombian pesos.

Euros from drug profits then trickle their way into the economy. There are so many euros floating around Latin America that of the $2.3 billion worth of euros that entered the United States last year, 90 percent came from Latin America, Tandy said.

Tandy was in Madrid to attend the International Drug Enforcement Conference, a 25-year-old forum that the DEA holds each year to meet with colleagues from around the world to discuss the war on illegal drugs.

This is the first time the conference has been held outside the Americas, and Spain was chosen because of its role as the main gateway for drugs entering Europe and what DEA officials call its tenacious effort to fight the onslaught.

Spain leads Europe for cocaine seizures and is fourth in the world, and it accounts for half of all hashish seizures, Spanish Interior Minister Alfredo Perez Rubalcaba said.

It and other countries face increasingly ingenious traffickers. Among current techniques, gangs drop loads of cocaine fitted with radio-transmitting buoys into the Atlantic and have boats pick up the drugs, said Maria Marcos Salvador, head of Spain's Organized Crime Intelligence Center.
 
Keynez,
Sifahamu lini sisi waafrika tutaweza kujifunza maanake toka Cuba ambayo ilitakiwa kuwa mfano mzuri sana kwa nchi zetu lakini bado hatuamini kwamba nchi za magharibi hutafuta kila njia kutawala uchumi wa nchi maskini. Walijaribu kila njia huko Cuba, walitumia majeshi wakamkuta mzee mzima kajiandaa vya kutosha. Wakamwaga nzige ili kuua mazao yao... wapi wacuba wamesimama imara hadi leo hii na Marekani bado hajakata tamaa kabisa. Hivi sasa wanasubiri tu kifo cha Castro wakianzishe upyaaa!
Zimbabwe haiwezi ku- survive kama Cuba, watakuwa wanajiweka kitanzi. Ni jukumu letu waafrika kuwa nao bega na kuwashauri yaliyo bora kwao bila kupoteza maana ya taifa lao. Tumeisha poteza tamaduni zetu,ustaarabu wetu, imani zetu tulichobaki nacho ni ardhi...Mama Africa. Otherwise we have nothing!
 
Mkandara

Majority of Zimbabweans do not want Mugabe to continue to be their leader, that is why the opposition in Zimbabwe managed to scoop more parliamentarians under difficult circumstances of violence orchestrated by the Police and Mugabe thugs. When will we stand up as Africans and condemn one of us? This has nothing to do with UK or USA, if we mess our own economy that is our problem not theirs. Remember during liberation Smith and Zimbabwe were under sanctions but somehow they managed. What about Cuba? They have been under sanction for how many years now? But we haven't heard Fidel Castro torching houses of the native Cubans? beating lawyers etc.

Mugabe is wrong to torch poor people homes and destroy whatever they have got - remember his campaign to clean the city? Inflation hitting record numbers and yet Zimbabwe economy was good. They never needed any money from WB or IMF.

Merciless Zanu PF criminals sink economy

WHY is Zimbabwe, once the jewel and icon of Africa, in deep economic meltdown? Zimbabwe, once the envy of the world, has fallen far into the pit and is now the world's fastest shrinking economy exceeding the collapse in war-torn countries like Somalia.

To explain this surprising phenomenon, I use a criminal metaphor, as an illustration of the calculated, evil and self-interested use of cohesive power by Zanu PF directed on the defenceless masses, the hardworking, caring and loving Zimbabwe people. With the aid of this metaphor, I will try to let the reader see beneath the surface and increase an understanding of the suffering on Zimbabweans inflicted by Zanu PF over the past 27 years.

Consider the incentives facing an individual criminal in a society. Other things being equal, a criminal is always there to steal. When resources are abundant, there is more to steal. Criminals do not care who they steal from, they have no mercy they even steal from the hand that feeds them.

Likewise, when Zanu PF took control of power at independence they took on the minds of criminals - squander, loot and steal the vast natural resources of our economy. Corruption, scandals, embezzlement, nepotism and shady deals have been slogans of Zanu PF since it took power. Most Zanu PF cronies expropriated state enterprises for free. As thieves they stripped the assets, sold them, only to buy mansions in Western countries and invest in foreign banks. This substantially reduced our capacity to produce more output, reduced incentives to invest, negatively affected upstream and downstream industries and set the stage for the economic meltdown that we have today.

Likewise Zanu PF thugs were, are and will continue to steal every resource that our country has, since they know that they are not the ones who pay the price for their evil deeds. The majority of Zimbabweans today are paying for this mismanagement of the economy by Zanu PF. As with this metaphor, the regime has used brutality, cohesion, instigating fear on its citizens, threats of war, repression, murder and torture to evade punishment from the people of Zimbabwe. Zimbabweans have watched and taken no action while this Mafia gangster called Zanu PF robbed them, terrorised their families and subjected them to inhumanity.

Zanu PF is truly a Mafia family or a criminal gang that continues to monopolise crime and terrorise Zimbabweans. This Mafia family has incentives
and will do all it can to evade punishment for its crimes and keep sensible Zimbabweans away from the economy. Who in his right mind would continue to say there is no vacancy at State House when one's performance results are inflation 1 700%, unemployment 80%, poverty 90%, and shortages of basic foodstuffs and fuel?

While other countries are busy trying to realise the full potential of every one of their citizens, Zanu PF elites are busy torturing and killing Zimbabweans who want this madness to stop and return sanity to our land.
Laramie, Wyoming

USA.

For more info go here: http://www1.zimbabwesituation.com/apr8_2007.html
 
Mkandara, kuhusu Cuba, kwa jinsi castro alivyosaidia sana mapambano afrika, sidhani kama tutaitupa cuba, hata baada ya kifo chake, it will be interesting to see what happens. Nadhani west hawakutegemea uteuzi wa Migiro UN, nadhani hiyo inaweza kuwa silaha kubwa kwa nchi ndogo iwapo hizi nchi zitataka kuwa aggresive kwa nchi masikini. Vilevile, sidhani hatua za kuanzisha EA political federation itaenda popote bila kuaddress kuwepo kwa majeshi ya marekani huko mombasa, je kuna uwezekano marekani imeombwa iondoke, na how easy will that be?

Issue ya Kabila kuwa mtanzania, si ajabu utaiona hizo story zaidi na zaidi kutoka kwenye western press, sidhani kama ni wacongo wenye kutoa allegations hizo. Finally congo inaongozwa na pro-lumumba people, na west wanaogopa. I still do get chills when I read a story of lumumba. Ni story ambayo waafrika hawataisahau kamwe.

Kama SADC walivyosema kwamba hawataitupa z'bwe. Swali, hiyo inamaanisha uhusiano kati ya west na nchi nyingine za sadc utakuwa vipi? Je west wataweza kuafford kuexpand sanctions hadi namibia, south africa, tz etc.? Nadhani JK alitoa hint kwamba tunaweza kuwa tunaelekea huko alipotolea mfano wa tz. Mkandara, Mimi nadhani viongozi wa afrika sasa hivi wamekuwa commited kuresist. Pande zote mbili zinajaribu kumake the best chess move, kwa sababu wakati sehemu kama tanzania inaendelea kutoa deals za madini na mafuta kama njugu, west wanawekwa kwenye kona kurethink their strategies, kwa sababu wakiondoka mchina anaingia.
 
Dua, Sifahamu umri wako lakini unaposema hujawahi kusikia habari mbaya kuhusu Castro na Cuba inanishangaza. Cuba imepakwa vibaya na kwa muda mrefu nadhani kuliko nchi yoyote ile duniani hadi western wamechoka. As a fact Marekani tu ndio bado wameng'ang'ania lakini nchi nyingine nyingi zimeisha sema basi inatosha!...

Vikwazo vya Castro na Cuba ni sawa kabisa na vikwazo vya Mugabe na Zimbabwe. sababu zinafanana sana kwani interest zote za wazungu zilitaifishwa.....(including ardhi).

Tuyaache hayo ya western hivi kweli wewe unaamini kwamba Zimbabwe leo hii watu wanauawa kiasi kwamba hakuna amani kabisa?... Je, matukio yote yanayozungumziwa kweli hayatokani na wakati wa Uchaguzi nchini humo na hasa 2000 maanake 2006 Mugabe na ZANU PF wame sweep mbele ya macho ya dunia. Hawa wazungu na hasa NGO leo hii wanaonyesha picha za maisha mabaya Tanzania wakitumia picha za watoto zilizochukuliwa miaka 10 iliyopita. Story haziishi na wala sijaona wakisema mazuri kuhusu TZ. Picha hazibadiliki hata siku moja na ndio kusema Mkapa na JK ni viongozi wabaya sana Afrika!

Mugabe kashinda bila hata kumwaga damu na ungewaona waandishi wa habari wa nchi za magharibi baada ya Mugabe kutangazwa mshindi ungecheka sana... walichokaaa!.

Zimbabwe leo hii unaweza kufanya lolote, kutembea popote ila usijiingize ktk 18 za wanasiasa, hali hii ipo nchi zote Africa. Na kibaya zaidi ni kwamba Mugabe bado ana siasa zile za Nyerere!... mzalendo kupita kiasi kwamba anawatesa watu wake.

Akiweza kujirekebisha kidogo lakini akawa na Upendo wa watu na nchi yake nadhani Zimbabwe wanaweza kwenda mbele vibaya sana. Tatizo ni pale watakapofikiria kuwa MDC ni waokozi kumbe hao jamaa ni NJAA tupu inayowasumbua.

Dua, tunasimama kila siku hapa kuwalaumu viongozi wetu lakini pia kuna kati yetu wanaounga mkono propaganda zinazotengenezwa nje. Kwa nini Marekani na UK wasituachie sisi tuamue wenyewe jinsi ya ku deal na Mugabe? Walisema hivyo miaka yote na hadi leo wanasema hayo kuhusu Kongo, Somalia, na baadhi ya nchi isipokuwa zile zenye interest zao.

Mugabe ni problem ya waafrika na hasa Wazimbabwe ambao walimchagua kwa kura nyingi mbele ya utaratibu ulioandaliwa na mataifa. He won the election!
 
Mkandara

Huna sababu ya kujua umri wangu lakini nakuhakikishia sasa hivi Zimbabwe wanaishi maisha mabaya hata kuliko alipokuwa Smith. Wenyewe ndio wanasema hivyo. Zimbabweans mpaka leo hii hawana ardhi bado wanaendelea kuishi kwenye sehemu ambazo hazina rutuba kwenye vilima vilivyojaa mawe. Mashamba wamepewa cronies wa Mugabe ambao wameshindwa kulima kwa kuwatumia wazimbabwe na malawians ambao ndio waliokuwa wengi kwenye mashamba yale. Wanaamka saa 11.00 asubuhi kwenda kuwalimia hao wazungu na kumaliza kazi saa 12.00 jioni kwa mshahara wa kima cha chini.

Zimbabwe walikuwa na system ya kununua unga hata kama uko kijijini, yaani kila kitu maziwa n.k. Lazima uende supermarket huwezi kununua kwa mfugaji n.k. Hao wafugaji wa ng'ombe walikuwa wazungu kama unakumbuka Tanzania kulikuwa na maziwa yanatoka Zimbabwe Diaryboard. Sasa kwa Sababu Zimbabweans hawana mashamba na cronies wa Mugabe hawawezi kulima ndio sababu leo kuna njaa kwa sababu system ime-colapse. Muulize mtu yeyote yule aliyeishi ile nchi, kulikuwa na Lawyers kutoka Tanzania walipopata uhuru pamoja na wanajeshi wa TZ ukiwapata waulize. Uchumi wa Zimbabwe ulikuwa mzuri na walikuwa na kiwanda chao wenyewe cha kuchapisha noti sio kutegemea nchi za nje kama sisi.

Unasema Zimbabwe unaweza kwenda popote - nafikiri wewe ndio unasoma propaganda za Mugabe nenda uliza leo hii yuko wapi Rashiwe, nenda uliza yuko wapi yule waziri aliyejiua kwenye scandal ya magari jina nimesahau alilazimishwa kunywa sumu WAULIZE OPPOSITION NI WATU WANGAPI WAMEPOTEA KINYEMELA LICHA YA MAUAJI YA 5TH BRIGADE KULE BULAWAYO walikuwa na mkuu wao anaitwa Perence Shiri waulize kazi aliyokuwa ametumwa. Unafahamu kuhusu Zimbabwe road genocide? Gukurahundi?


Mimi sikubali kushabikia viongozi wa serikali ambao ni wezi na wabadhirifu ambao ukiwaambia wanaiba wanakimbilia kusema wanaosema hivyo ni wazungu WHAT A HYPOCRIT Mugabe alipoona mambo yanakwenda kombo ndio akaanza na issue ya land lakini uliza leo Wazimbabwe wangapi wasio na land wamepewa? (Utakuta mashamba mazuri yamekwenda kwa marafiki zake). Uliza kwa nini aliamua kuwatimua Wazimbabwe kwenye mashamba aliyowapa walipopata uhuru? Hapa naona huna data za ndani kabisa. Kama huyu mzungu anasema ukweli nitakubali lakini kama ni propaganda siwezi kukubali.

Leo hii South Afrika wanalia kwa sababu wana kazi kubwa ya kuwarudisha Zimbabweans kwao kisa Robert Mugabe, Uliza Botswana wamefunga ubalozi wao Harare wazimbabwe wamekwenda kule na wanaendesha uhalifu ili waweze kuishi, Botswana ina population kama laki kumi na tatu tu. Hali ni mbaya sana Zimbabwe sasa kama sisi hatutaki kusema tunategemea mzungu ndio aseme halafu tunalalamika. Mwizi ni mwizi tu hata kama ni Mugabe lazima tuseme.

UK wanasema kwa sababu mbili kubwa moja wameadhirika na vitega uchumi vyao kule Zimbabwe na pili Wazimbabwe wengi wamekimbilia UK kuomba hifadhi. Ni sawa na sisi Tanzania ati tuna huruma ya kuwasaidia wakimbizi, hii hurumu ndio imetufikisha kubaya kutaka misifa ambayo inawaumiza WTZ. Kama uchaguzi ukifanyika leo free and fair kwa standard hata ya Tanzania tu Mugabe hashindi achilia mbali standard za ulaya.
 
Dua,
Huna sababu ya kujua umri wangu lakini nakuhakikishia sasa hivi Zimbabwe wanaishi maisha mabaya hata kuliko alipokuwa Smith. Wenyewe ndio wanasema hivyo. Zimbabweans mpaka leo hii hawana ardhi bado wanaendelea kuishi kwenye sehemu ambazo hazina rutuba kwenye vilima vilivyojaa mawe. Mashamba wamepewa cronies wa Mugabe ambao wameshindwa kulima kwa kuwatumia wazimbabwe na malawians ambao ndio waliokuwa wengi kwenye mashamba yale. Wanaamka saa 11.00 asubuhi kwenda kuwalimia hao wazungu na kumaliza kazi saa 12.00 jioni kwa mshahara wa kima cha chini.

Nafikiri hukuelewa vizuri nachojaribu kusema hapa. Haya ndio mapungufu ya viongozi wote wa Afrika!... Ubinafsi!
Tofauti na Mugabe ni kwamba nchi nyingine akina sisi tuna mawasiliano mazuri na nchi za magharibi na tunatumiwa kama vibaraka wao na kweli matokeo yake ni tofauti ambazo zimejitokeza wazi.. sisi tunapeta na mali za nje.
lakini sasa hivi hata Tanzania viongozi wetu wanayafanya haya chini ya mwavuli wa wazungu na sifa tunapewa. wanachukua majumba na ardhi kama hao cronies wa Mugabe.. nenda supermarket huoni mali zetu zaidi ya mali zinazoagizwa nje toka juice, matunda hadi unga. Kisha fikiria kama kesho tutafungiwa kuagiza mali hizo, hizo supermarket zitaonekana vipi?

Mauaji yanatokea Afrika nzima kwa wanasiasa na tukianza kuorodhesha wanasiasa waliokufa nadhani kenya na Tanzania tunaweza kuwa na orodha kubwa zaidi ya Zimbabwe!...
Nitarudia kusema tatizo la Zimbabwe ni NJAA, njaa ndiyo inayowafunga raia wake na sababu kubwa ya njaa hiyo ni wazungu (nchi za magharibi)kuitenga Zimbabwe!.
Dua, kama hujawahi kuishi ktk nchi iliyotengwa na nchi za magharibi ni rahisi sana kulaumu utawala lakini usiombe!...Hii haina cha kiongozi mzuri wala Mzalendo mtamchukia wote! Hata venezuela leo hii wananchi wake wanalia ile mbaya na wanaanza kukimbia nje kama wakimbizi!
Mugabe anayo makosa mengi tu kama viongozi wengine wa kiafrika ktk kuweka maslahi yake mbele ya wananchi na ukiweza kutafsiri maneno yangu haya utaelewa ya kwamba simpi pongezi ila nayaona mapungufu yake.
Zimbabwe haina shida zaidi ya kufungiwa kiuchumi.. Mugabe is the problem kwa sababu kachukua ardhi ya wazungu...Mugabe ni rais wa Zimbabwe toka 1982.. Huo utawala usije onekana kuwa ni wa kidikteta hadi pale alipowapokonya wazungu ardhi yao? For 20 years he was a good leader ila pale alipopokonya ardhi ndio mabaya yanajitokeza!
Kupokonya ardhi lilikuwa kosa kiuchumi, yet morally right to the people of Zimbabwe. Alichoshindwa ni kwamba - morals know no change of circumstance and what changed in Zimbabwe are the means to moral goals.
Hakufanya homework!
 
Back
Top Bottom