Siyo lazima akujuze Kishindo, majina yaliyo toka zimamoto ni ya Mkaguzi msaidizi tu,kumbuka hizi nafasi maombi yalitumwa kwa Katibu mkuu wizara ya mambo ya ndani na kwa ngazi ya Sergeant &Constable ambayo hayaja toka bado yalitumwa kwa Kamishna Jenerali.
Majina haya hapa, zimamoto moto moto....
![]()
Mimi daily news lenye hayo majina ninalo kwa post Assistant Inspector of Fire and Rescue, shida yako hasa ni nini? kuona jina lako au tar ya usaliKwa kweli ninazidi kuuliza mwenye ajina ya awamu ya kwanza atusaidie herufi D...nmeshindwa kabisa kupata gazeti la tar 12.
Mimi daily news lenye hayo majina ninalo kwa post Assistant Inspector of Fire and Rescue, shida yako hasa ni nini? kuona jina lako au tar ya usali
Shida yangu ni hiyo ndugu "Assistant Inspector" kwa maana gazeti lenyewe sijabahatika kuliono niko bush nlipofuatilia ofisini wakadai waesha yaruddisha magazeti, naomba kama unalo walau majini ya herufi D....
Fungua web ya wizara ya mambo ya ndani kila kitu utakipata hapo kiongozi.