Zima Moto Updates

Zima Moto Updates

hawa zimamoto bado wapo analojia,ni wao 2 na magazeti badala ya mitandao

izo ni dalili kwamba huko mtasota sana hata kufikia kuchoma nyumba za watu kwa makusudi ili mpate allowance, hayo magari yao tu yamechoka ,hao staff wake pale wawaonaje wanavyotia huruma dili hakuna pale shukuru kukosa nafasi yako ipo sehemu nyingine ukoo wenu hauna hata chembe ya uaskari muulize hata babu yako kama yupo
 
me kwe2 wapo weng
 
Nadhani HAYA maandishi YANATOKA KICHWANI MWA MTU ALIYELAZWA MIREMBE HOSPITAL. KAMA UMESHINDWA INTERVIEW BASI URIWADISCOURAGE WENZAKO WANAOKWENDA KULA SHAVU ZIMAMOTO. MAY BE HUIJUI VIZURI ZIMAMOTO
 
updates za Konstebo zimamoto mwenye taarifa jamani anisaidi herufi M kama unayo.

Kuweni na subra coz bado uchambuzi unaendelea japo
uko ktk hatua za mwisho na ikiwezekana majina yatatoka next week. Watu walioomba ni wengi, wengi, wengi sana kuliko unavyoweza kufikiri.
 
ngoja 2subir 2jue.
 
Nadhani HAYA maandishi YANATOKA KICHWANI MWA MTU ALIYELAZWA MIREMBE HOSPITAL. KAMA UMESHINDWA INTERVIEW BASI URIWADISCOURAGE WENZAKO WANAOKWENDA KULA SHAVU ZIMAMOTO. MAY BE HUIJUI VIZURI ZIMAMOTO

Hata mi siijui vizuri ingawa nimefanya intavyuu,vipi mambo yao?
 
Vipi majina ya waliofaulu usaili zimamoto yatatoka lini jamani?????
Mwenye tetesi atujuze
 
Back
Top Bottom